Raia masikini Watanzania ni sehemu ya wanaochochea wizi wa mali za umma na ufisadi kwa mitazamo yao.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Raia wengi Watanzania huwa wanashangaa na kukejeli mtu (mtumishi wa umma, mfanyabiashara au mtu maarufu tu) aliyefariki mjini au aliyefiwa pale ambapo wanaenda kuzika na kukuta nyumba au mazingira duni msibani.

Ni upumbavu kufikiri ni jambo rahisi sana kwa Watanzania wengi hasa waajiriwa kuwa na uwezo wa kujenga nyumba mbili kwa kipato chao. Kujenga nyumba moja tu ya maana kwa Mtanzania wa kawaida ni mtihani mkubwa wa jasho na damu.

Mtazamo huu ukichanganya na ule utamaduni wa kiAfrika kwamba watoto wanapaswa kuhudumia wazazi wao kama jukumu lao la msingi ni mzigo mkubwa sana ambao sio ajabu hupelekea watu kuwa wezi wa mali za umma ili kutopatwa na aibu za aina hii zinazosababishwa na mitazamo potofu ya kijamii.
 
Mtazamo huu ukichanganya na ule utamaduni wa kiAfrika kwamna watoto wanapaswa kuhudumia wazazi kama jukumu lao la msingi ni mzigo mkubwa sana ambao sio ajabu hupelekea watu kuwa wezi wa mali za umma kutopatwa na aibu za aina hii zinazosababishwa na mitazamo potofu.
Swali je ukijenga hiyo nyumba nzuri ukifa utaondoka nayo na hao watakao Iona itakuwa ya kwao

Huwa inapendeza tukiwa na uwezo kuwakumbuka wenzetu hata huko kijijini siyo kwa majengo tu hata kuwawezesha waweze kupata elimu na kiuchumi
 
Binafsi nimeshangaa sana.

Watu wanamshangaa marehemu kutojenga kwao eti kisa alikuwa na nyadhifa kubwa.

Kwanini waliopita hawakujenga yeye ajenge?

Ana watoto 15 na wake wawili, nani aandae future za hawa watoto kama tunamlazimisha afanye home works za wengine.
 
Swali je ukijenga hiyo nyumba nzuri ukifa unaondoka nayo na hao watakao Iona itakuwa ya kwao
Mh! mkuu mbona unaongelea vitu viwili tofauti!, zone ya kufa ni kufa tu huko hakuhitajiki nyumba na swala la mtu kuwa hai kuna mahitaji yake pamoja na hiyo nyumba na kumbuka watu wakifa huacha uhai (watoto, ndugu n.k).
so kama umeacha watoto ni jukumu lako kuwaachia mahali pakuishi, nayeye mtoto atapambana awezavyo kutafuta kwake ila mwisho wasiku ana kitu kinaitwa starting point ambapo ndio hapo nyumbani!.

Nafikiri umelinganisha zone mbili tofauti mfu sio hai na hai sio mfu!.
 
Binafsi nimeshangaa sana.

Watu wanamshangaa marehemu kutojenga kwao eti kisa alikuwa na nyadhifa kubwa.

Kwanini waliopita hawakujenga yeye ajenge?

Ana watoto 15 na wake wawili, nani aandae future za hawa watoto kama tunamlazimisha afanye home works za wengine.
Bila shaka Mkurugenzi atakayefuta kama hajajenga ghorofa kwao lazima ataiba sana au kuna mambo mengi atapindisha ila ajengee hadi wajomba na wapwa.
 
Mh! mkuu mbona unaongelea vitu viwili tofauti!, zone ya kufa ni kufa tu huko hakuhitajiki nyumba na swala la mtu kuwa hai kuna mahitaji yake pamoja na hiyo nyumba na kumbuka watu wakifa huacha uhai (watoto, ndugu n.k).
so kama umeacha watoto ni jukumu lako kuwaachia mahali pakuishi, nayeye mtoto atapambana awezavyo kutafuta kwake ila mwisho wasiku ana kitu kinaitwa starting point ambapo ndio hapo nyumbani!.

Nafikiri umelinganisha zone mbili tofauti mfu sio hai na hai sio mfu!.
Niliendeleza kuandika kabla sijamaliza kuandika nilipigiwa simu soma tena muendelezo wangu
 
Sawa kuna story ya mtwaliwa mmoja ndio inasambaa hapa kuwa hajajenga kwao na anamshahara mkubwa km huo
Kwao ni pale alipokuwa anaishi na familia yake(mke/wake na watoto)
 
Raia wengi Watanzania huwa wanashangaa na kukejeli mtu (mtumishi wa umma, mfanyabiashara au mtu maarufu tu) aliyefariki mjini au aliyefiwa pale ambapo wanaenda kuzika na kukuta nyumba au mazingira duni msibani.

Ni upumbavu kufikiri ni jambo rahisi sana kwa Watanzania wengi hasa waajiriwa kuwa na uwezo wa kujenga nyumba mbili kwa kipato chao. Kujenga nyumba moja tu ya maana kwa Mtanzania wa kawaida ni mtihani mkubwa wa jasho na damu.

Mtazamo huu ukichanganya na ule utamaduni wa kiAfrika kwamba watoto wanapaswa kuhudumia wazazi wao kama jukumu lao la msingi ni mzigo mkubwa sana ambao sio ajabu hupelekea watu kuwa wezi wa mali za umma ili kutopatwa na aibu za aina hii zinazosababishwa na mitazamo potofu ya kijamii.
Kwani yule Rais wao wa wanyonge si aliwanunilia ndege hawajaanza kupanda? 😂😂
 
Yoda mbona hakuna uhusiano wowote hapo tunaambiwa hela zilizokusanywa hazikupelekwa bank tena zaidi ya 2T masikini hapo wanahusika vip kama ujambazi tu.
 
Ndg zake na nyamhanga mbona mmecharuka inaonekana nyie kujenga kwenu ni tatizo si unaona na mzee wa mwitongo nyumba alijengewa na jeshi
 
Yoda mbona hakuna uhusiano wowote hapo tunaambiwa hela zilizokusanywa hazikupelekwa bank tena zaidi ya 2T masikini hapo wanahusika vip kama ujambazi tu.
Wakwapuaji wengi wanaiba wakajenge kwao pia, kumbuka bado wana michepuko ya kuhudumia pia na watoto wanaotaka kuwasomesha International.
 
Back
Top Bottom