Nchi yangu nini hiki, aliyesema tutakunukisha ni muhaini, ila wanaoiba mali za umma kila uchwao waone aibu.
Hawa wezi wa mali za umma ndio wahaini sasa, ukiachana na baadhi ya maeneo mijini, zunguka vijijini uone hali ilivyo, ulinganishe na rasilimali za nchi hii. Ni huzuni.
Kama jiji la Dar...
Naomba tu Majibu. Au ndo Ile mtu yupo ofsni lakini KAZI alishasusa kitambo sana.
Naomba watanzania tuwasaidie majukumu viongozi wetu waliotuteua kwa moyo wa dhati kwasababu wametuamini wametuona tunafaa tuache legacy kwenye utumishi wetu badala ya kususa susa ili hali hakuna kitu tunafanya...
Mimi ukinikuta mtaani ni kada wa chama kweli kweli huwa najitahidi kukusanya maoni ya wananchi wengi vijiweni kwa mabodaboda kwa mama ntilie machinga wafanya biashara maana Wakandarasi wanangu sana walimu kiasi kwamba Mimi wa mtaani akikutana na mimi JF watapigana sana...
Tangu yalipofanyika maandamano na baadaye vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya hapo, kumekuwa na hofu kubwa kwa wananchi kutokana na kuongezwa kwa ulinzi wa polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Maandamano yaliyokabiliwa kwa nguvu na polisi na JWTZ yalisababisha...
Rais Samia umekosea sana kutoa msamaha kwa wahalifu wa October 29.
Unadhani utapendwa na watu wote?
Unadhani wapinzani watabadili mtizamo wao juu yako?
Wewe ndiye uliwapa kupumua wapinzani baada ya kibano kitakatifu cha miaka 6 mfululizo bila kupumua.
Ulipoingia ndipo ukawapa uhuru, hata...
Kwa nini hapa Tanzania akitokea mtu akipambana na wezi wa mali za umma anatolewa uhai
Naomba kila mtanzania ajiulize hili swali
Kama bado hatujitambui tumpe nchi Trump
Kuharibu Mali za Umma au za mtu yeyote sio njia nzuri ya kufanya demonstration.
Hizi Mali za Umma, ni kodi zetu ndio zinatumika kujenga.
KWa akili ya kawaida tuu kituo cha mwendokasi au kituo cha polisi hakuna faida yoyote ukikichoma moto, zaidi ya hasara.
Maandamano kwa watu waliostarabika...
Ninakaa natafakari sana Je, hii ni CCM iliyopogania uhuru wa taifa hili?
Kwa nia njema kabisa mtu anatoa taarifa kuwa kuna mtu alikwapua bil zaidi ya 60 kwa kusambaza sare hewa. Ni kosa la jinai pia pesa hii iliyokwapuliwa ingeweza kujenga vituo vya afya zaidi ya 20.
Kusema ukweli kuwaa katiba...
Wakati wewe unaimbishwa wimbo wa "OKTOBA TUNATIKI" mnao waimbia wako busy kujiwekeza kiuchumi wao na watoto wao pamoja na familia zao kwa ujumla kupiti mgongo wa ninyi mnao imbishwa huo wimbo.
Nimesikitika sana nimeenda kituo cha afya kimoja kikubwa tu na kinahudumia zaidi ya kata tatu au zaid...
Wakuu
Hayati Magufuli kuna wakati hakuwa na mchezo na wabadhilifu wa mali za umma, ingawa kwa sasa tunasikia wamerudi kwa kasi ya 5 G wakiendelea kujitanua
Hayati aliwahi kusema yeye hajali kupendwa kwa sababu akishampenda mkewe inatosha bali yeye amechaguliwa ili kuwaaibisha waliokuwa wanaiba...
Nimeambiwa na mzee mmoja kuwa Polepole anajua mengi.
Jinamizi limekuwa likimsumbua juu ya hujuma alizofanyia Thomas Sankara wa Tanzania
Tusubiri. Maana kila kitu kitawekwa wazi
Fisadi anaweza kulala muda wowote anaoutaka, anaweza kulala mahali popote, anaweza kutembea hadharani muda wowote bila bughuza.
Ila wazee wa NO REFORMS NO ELECTION lazima watembee kwa machale makali.
Rais Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi wateule ikiwemo wa Tume ya Maadili leo Mei 24, amewataka kusimamia maadili kwa watumishi wa umma kwa nguvu na uadilifu.
"Sisi viongozi ni watu na wanadamu, kuna miiko tumewekewa. Ukitufanyia tathmini leo unaweza ukatukuta asilimia 30 tu kweli...
Raia wengi Watanzania huwa wanashangaa na kukejeli mtu (mtumishi wa umma, mfanyabiashara au mtu maarufu tu) aliyefariki mjini au aliyefiwa pale ambapo wanaenda kuzika na kukuta nyumba au mazingira duni msibani.
Ni upumbavu kufikiri ni jambo rahisi sana kwa Watanzania wengi hasa waajiriwa kuwa...
Chama Kikuu cha Ushirika Mkoani Shinyanga (SHIRECU) inadaiwa kipo kwenye mchakato wa kuuza maghala yake yaliyopo Kurasini Jijini Dar es Salaam kwa bei ya 'kutupa' (bei hisiyo na thamani halisi) huku yakiwa ndiyo tegemeo kubwa la mapato katika ushirika huo.
Hali hiyo ambayo inahofiwa kuwa ina...
Katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini Tanzania, kuna changamoto kubwa ya viongozi wa kisiasa kutenda makosa bila kuwajibishwa kisheria. Hii inasababishwa na sababu kadhaa za kimfumo na kisheria, kama ifuatavyo:
1. Ulinzi wa Kikatiba na Kisheria
Katiba ya Tanzania inatoa kinga kwa viongozi...
Kuna mambo wengi tuliyaona hususan katika suala la Umeme, kuna nchi kama Bangladesh baada ya ADANI kwenda bei za Umeme zikaongezeka....
https://www.jamiiforums.com/threads/how-questionable-adani-deal-makes-electricity-costlier-bangladesh-case-study.2267500/
Na sio hivyo tu hata Kenya ni kwamba...
Iwe kwenye tamaduni na mila zetu. Vijana ni nguzo muhimu sana.
Vijana hutumika kuzalisha, na hata kuvuna na kulinda mazao.
Soma Pia:
Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi
Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
Salaam, Shalom!!
I declare interest, Mimi ni mwalimu wa watoto. Sasa Huwa tunakaa tunajiuliza, walimu Hasa tunakosea wapi?
Tuseme kwamba labda Kuna watoto wengine hawapiti mikononi mwetu, hili Si Kweli,
Mbona huku darasani tunawafundisha msiibe, tunawafundisha msizini, Kila mtu awe na mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.