Naomba kila Mtanzania ajiulize swali hili. Kama nchi imetushinda tumpe tu Trump

Naomba kila Mtanzania ajiulize swali hili. Kama nchi imetushinda tumpe tu Trump

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202
Kwa nini hapa Tanzania akitokea mtu akipambana na wezi wa mali za umma anatolewa uhai

Naomba kila mtanzania ajiulize hili swali

Kama bado hatujitambui tumpe nchi Trump
 
Kwa sababu serikali hii haramu imeingia kwa wizi wa kura hivyo mtu yoyote anayekemea wizi anaonekana kuwa anaisema Serikali hivyo lazima atekwe na kuuwawa.
 
Back
Top Bottom