maliasili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii afanya ziara ya kushtukiza Serengeti kukagua miundombinu pamoja na huduma zinazotolewa kwa wageni

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Maliasili Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa Serengeti amefanya ziara ya kushtukiza katika Lango la Nabi la Hifadhi ya Taifa Serengeti Kisha kukagua miundombinu pamoja na huduma...
  2. JanguKamaJangu

    Shigongo katika Mkutano wa Mabunge ya Dunia, aelezea umuhimu wa Afrika kutumia maliasili

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki Mkutano wa Mabunge ya Dunia (Interparliamentary Union) unaofanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York Nchini Marekani. Mkutano huo unajadili jinsi dunia, ikiwemo Tanzania, itakavyotimiza malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) kama kuondoa...
  3. Stephano Mgendanyi

    Maliasili na Utalii Yapongezwa kwa Kutafsiri Maono ya Rais Samia

    Wizara ya maliasili na utalii imepongezwa kwa kutafsiri kwa vitendo maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha juhudi kubwa katika kuendeleza sekta ya utalii kwa kufanya uwekezaji mkubwa kwenye Taasisi za wizara ikiwemo Mamlaka ya usimamizi wa...
  4. B

    Je maliasili imebadili Sheria faini za pikipiki?

    Habari zenu ndg jamaa, naomba kuuliza kama Kuna mwenye kujua, nilikua najishughulisha na biashara ya kubeba mkaa hapa mkoan Dodoma katika mihangaiko yangu mwaka Jana mwezi wa na Nne tulikamatwa na maliasili Mimi na mwenzangu tulikua wawili. Mwenzangu pikipik ili kua mpya hata week hajamaliza...
  5. Fortilo

    Waziri wa Maliasili: Nani karuhusu jamii hii irekodiwe na wageni? Wanalipwa? Inatuchafua sana

    Ndugu Waziri Salam, Kuna video za jamii ya Wahadzabe zinazoishi maisha ya kijima porini, na ni jamii "duni" kulingana na mfumo wa maisha wa kisasa. Lakini kwa bahati mbaya sana, kuna wageni wenye asili ya Asia wamekuwa waki record mtindo wao wa maisha na ku label kama Watanzania. Ni video...
  6. kmbwembwe

    Tanzania huenda kuna hila kuigeuza Congo mashariki kwa ghasia ili wavune maliasili.

    Ukifikiria sana haya mauaji na utekaji watu usio na jibu na kisha chama kimoja cha siasa kuiandama serikali kama ndio inahusika unaweza kujiuliza maswahi mengi bila kupata majibu. Tunavyojua wale tunaojua nchi za magharibi wameazimia nchi za Afrika lazima wasiweze kuendelea kwa kutumia maliasili...
  7. Yoyo Zhou

    Nchi za Magharibi zapotosha ukweli wa ushirikiano wa China na Afrika katika sekta ya maliasili

    Bibi Jacquie anaishi katika kijiji cha Mayeba kilichoko misituni kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ingawa kijiji hicho kiko karibu na migodi maarufu ya KFM na TFM, ambayo ina madini ya Shaba na Cobalti yenye thamani kubwa, lakini wanakijiji walikuwa wanaishi maisha magumu...
  8. Erick Black

    Ajira za maliasili, jeshi usu TFS JU 04

    TFS Tanzania wakubwa wanataka askari conservation ranger iii , changamkeni wakubwa.
  9. M

    Museveni: Kuna nchi wanaita watu wawekeze na wakodi hadi maliasili zao

    Tulipokua msituni, tulisema tunapambana kwenda kulinda kila kitu cha nchi yetu, Maneno ya Rais museven akiongea na vijana wa NRM, katika karamu ya jioni iliyoandaliwa ikulu, Utajiri wa waganda ni rasilimali na ndio maana nimeweka sheria kali kwenye copper, dhahabu hakuna kuja kujichotea na...
  10. L

    Marekani kuchochea kile kinachodaiwa "udhibiti wa China wa maliasili za Afrika " kwafichua ubabe wake

    Kutokana na kuongezeka kwa changamato za mabadiliko ya tabia nchi, mahitaji ya mabadiliko ya nishati duniani yameongezeka katika miaka ya hivi karibuni, na kuonyesha umuhimu wa kimkakati wa Afrika ambayo ina asilimia 30 ya rasilimali za madini duniani. Hii imekuwa fursa muhimu kwa Afrika...
  11. kipara kipya

    Tetesi: Chini ya zulia waziri wa sukari alalamika kwa watu wa karibu waziri wa zamani wa misitu mapori na wanyama ndio mchawi wake!

    Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Ukweli ni kuwa maliasili sio mali za wananchi. Wanasiasa wanaamini mali ya wananchi ni zile artificial kama nyumba, gari n.k

    Kwema Wakuu! Weekend hii nilikuwa na mzee mmoja mserikali àliyestaafu mambo ya uongozi. Katika mazungumzo yetu tukajikuta katika mjadala mkali kuhusu maliasili na rasilimali za wananchi. Nikamwambia madini, maziwa, Gesi wanyama na maliasili zingine mali za wananchi wa taifa hili. Mzee yule...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Edwar Lekaita aweka msisitizo maliasili na utalii kufanya kazi kwa karibu na WMA

    MBUNGE EDWAR LEKAITA Aweka Msisitizo Maliasili na Utalii Kufanya Kazi kwa Karibu na WMA Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka mpya wq fedha 2024/2025 amesema WMA inasaidia wananchi...
  14. Stephano Mgendanyi

    MBUNGE WA MBOGWE, Mhe. Nicodemas Henry Maganga Amtaka Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Kufika Mbogwe Kutatua Migogoro ya Ardhi

    MBUNGE WA MBOGWE, Mhe. Nicodemas Henry Maganga Amtaka Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Kufika Mbogwe Kutatua Migogoro ya Ardhi "Kupitia Kamati ya Mawaziri Nane (08) wanaoshughulikia utatuzi wa migogoro ya vijiji 975, hifadhi ya Msitu wa vilima vya Mkweni haiikuwa kwenye orodha ya Misitu...
  15. PendoLyimo

    Wizara ya Maliasili yapania kuboresha halibora ya wafanyakazi

    Wizara ya Maliasili imepania kuendeleza halibora ya wafanyakazi wakati huu sekta hizo zikiendelea kuwa na nchango mkubwa katika uchumi wa nchi ikiwemo kuongoza kwa kuingiza fedha za kigeni kwa asilimia 25. Hayo yameelezwa na Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Angellah Kairuki wakati akifungua Kikao cha...
  16. Miss Zomboko

    Afisa Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Mufindi na M/kiti wa Mapanda kizimbani kwa ubadhirifu wa zaidi Sh. Milioni 19

    Afisa Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Wilaya ya Mufindi Bw. Jeswald Gustav Ubisiambali na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mapanda Bw. Oberd Francis Madembo, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kwa mashtaka mawili; 1. Ubadhirifu na ufujaji 2. Wizi...
  17. R

    Bandari, ardhi, misitu na maliasili zetu, ni Mali ya URITHI, hazitauzwa wala kukodishwa kwa wageni, kataa wahuni

    Salaam, Shalom!! Kuna uteuzi ulifanyika siku ya kusaini mkataba BATILI wa kukodisha URITHI wetu, Bandari Kwa wageni. Uteuzi huo umekuja na wimbi la Matukio ya kutengeneza wenye Nia ya kutusahaulisha wanaukoo juu ya kilichofanyika. Jambo muhimu juu ya nini Hasa kilisainiwa kwenye mkataba Ule...
  18. Venus Star

    Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

    BWANA YESU ASIFIWE Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake. NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii...
  19. S

    Kibaka akiiba kuku, mnavisha tairi na kumchoma, Mtawala akiuza au kugawa maliasili za nchi kiholela, mnamtetea na kutaka aheshimiwe!

    Kibaka akiiba kuku wa jirani, unakuwa na uchungu sana na huyo kibaka hata kama kuku si wako. Ila Mtawala akigawa maliasili za nchi kwa wageni katika mazingira ya utatanishi, hutaki hata asemwe na akisemwe eti amekoswa adabu! Kibaka unaweza mtia kiberiti kwa hofu kesho anaweza kuiba na kuku...
  20. BARD AI

    Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

    Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
Back
Top Bottom