Aisee, hivi inakuwaje muwekezaji mmoja tuu anafanya mpaka tubadili sheria za nchi ambazo zilitungwa kwa umakini mkubwa? Hii sheria ya maliasili ni mpya kabisa ya mwaka 2017 tuu hapo, ni kwa nini tubadili sheria inayolinda maliasili kwa ajili muwekezaji mmoja tuu?
Ina maana akija muwekezaji...
Aliyewahi kuwa Waziri asiye na Wizara Maalum na pia Waziri wa Ardhi, Maliasili na Utalii, Pia Katibu Mkuu wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Masuala ya Wanawake Na Rais wa kwanza wa Bunge la Umoja wa Mataifa, Balozi Dkt Getrude ibengwe Mongela Ameshauri Rais kuwasikiliza wananchi na kuacha...
Watanganyika tumedhulumiwa ardhi yetu, tumedhulumiwa maji yetu ya maziwani na ya baharini, ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya fedha.
Leo Watanganyika tunalia machozi ya damu, Mzanzibari mmoja anatuzuia tusilie. Mara tukae...
Mada: Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi
Imeandikwa na: MwlRCT
1. Utangulizi
Tanzania ina utajiri mkubwa wa maliasili za nchi, kama vile madini, mafuta, gesi, misitu na wanyamapori. Maliasili hizi zina faida nyingi kwa uchumi, maisha, utalii, tiba...
Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️
Angalieni
Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya...
UTAMADUNI WETU, UTAMBULISHO WETU: KUCHOCHEA MAGEUZI KATIKA SEKTA ZA UTAMADUNI, MALIASILI NA UTALII
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa utamaduni, maliasili na vivutio vya utalii. Sekta hizi zina umuhimu mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii...
MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI
---
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Majaliwa...
Ifuatayo ni orodha ya mataifa 10 ya kiafrika yaliyo ongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kama Madini, Mafuta Ghafi nk kwa mwaka uliopita 2022 kwa bahati mbaya Tanzania sio miongoni mwa mataifa hayo pamoja na kwamba tunaambiwa kwamba nchi yetu ni moja ya nchi tajiri sana Afrika kama sio...
Uoto na maliasili ni rasilimali muhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kubwa katika suala la utawala bora na uwajibikaji katika usimamizi wa rasilimali hizi. Kuna haja ya kuimarisha utawala bora na uwajibikaji ili kuhakikisha kuwa uoto na maliasili zinatumika...
Poleni sana wana Mbarali,
Jana nimemfuatilia Mbunge wa Mbarali Mtega akielezea kwa huzuni kubwa jinsi Watumishi wa TANAPA walivyowatesa wananchi wa vijiji vinanvyopakana na hifadhi kwa kuwachapa na kuwavua wanawake nguo zao na kubaki uchi, kuwapiga mbuzi na mbwa kwa risasi za moto na kuwauwa...
NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO CHA TAASISI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja ameongoza kikao cha kimkakati cha kufanya mapitio ya taarifa mbalimbali za utendaji kazi za Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa lengo...
WIZARA ya Maliasili na Utalii, imesema ndege zinazotua na kuruka katika viwanja ndani ya hifadhi zinasafirisha watalii kutoka Uwanja wa Ndege Dar es Salaam (JNIA), Kilimanjaro (KIA) na Abeid Amani Karume, Zanzibar.
Ufafanuzi huo unatokana na taarifa zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa...
Nchi yetu ni masikini lakini ina utajiri mkubwa wa maliasili,lakini Je maliasili zetu zinaweka ugali mezani kwenye familia ngapi nchini? Je maliasili zetu zinatusaidia vipi kwenye kuondoa umasikini kwenye jamii yetu nchini? Maswali haya kila mtu anajiuliza,lakini jibu ni kwamba si utajiri wa...
Dkt. Kigwangalla akiwa Waziri wa Maliasili na Utalii alianzisha bucha za Nyama pori na kuna Wakati tulikuwa tunauziwa pale kijiji cha Makumbusho.
Je, hizo bucha bado zipo?
Ninahitaji Nyama ya Swala au pofu.
Kama nchi ningeshauri tujifunze kushughulika na kero hata kama hazina madhara ya moja kwa moja!
Huko ulaya wenzetu huwa wanafanya oparesheni ya kuondoa paka, mbwa na ndege wasio natija!
Hata hapa kwetu sioni kama inashindikana kuwaondoa kitaalam hawa kunguru weusi!
Historia inasemekana wazo la...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) ametembelea Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili lililoanza leo jijini Dar es Salaam akiwa ameambatana na Naibu Waziri wake ,Mhe. Mary Masanja(Mb).
Lengo kuu la Onesho hilo ni kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana, Jijini Dodoma, amekutana na Menenjinenti ya Wizara na Wakuu wa Taasisi za Uhifadhi za Wizara ya Maliasili na Utalii kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Uhifadhi na uendelezaji wa Utalii nchini.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amewaagiza Wakuu wa Wilaya nchini kuwawajibisha watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wasio waadilifu katika kusimamia maeneo ya Hifadhi.
Ameyasema hayo leo Oktoba 19, 2022 wakati wa Kikao cha Kamati ya Mawaziri wa Kisekta ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.