Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa, inakuletea mfufulilizo wa makala elimishi kuwaelimisha Watanzania, kuijua Jumuiya ya Afrika Mashari na Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na fursa zake. Ambapo mtangamano ukikamilika, unakwenda kuunda Taifa kubwa kabisa Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na...
Utangulizi: Awali ya yote napenda kutumia fursa hii kumpongeza "Mh: samia suluhu hassan, raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania" kwa kuonyesha upendo na mahaba makubwa kwenye sekta ya utalli nchini, kwa kuamua kwa dhati kucheza filamu ya "The Royal Tour" kwa lengo la kuhamasisha watalii waje...
Supervisory Telephone Technician
Dar es Salaam
US Embassy Dar es Salaam
The mission of the United States Embassy is to advance the interests of the United States, and to serve and protect U.S. citizens in Tanzania.
About
Announcement Number:
Dar es Salaam-2022-055
Hiring Agency:
Embassy Dar...
Rais Samia Suluhu ametoa kibali cha ajira ya watumishi 600 ambao wataajiriwa katika taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na utalii.
Kuna wakati mtu akienda chuo hataki kabisa kusoma faculty za utalii kwa kuhofia kukosa ajira, lakini sasa Rais Samia Suluhu anazidi kuwapa moyo...
Kufuatia maelekezo wa Waziri wa Fedha, nafasi za wakurugenzi wakuu wa taasisi hizo mbili zilitangazwa kwenye Ajira Portal ya Utumishi.
Ghafla nafasi hizo ziliondolewa na hata leo hii ukizitafuta kupata rejea zake hazipo.
Kama kuna anaejua kwanini zimeondolewa atufahamishe
Kuna hila mbaya sana zinaendelea dhidi ya Wafugaji wa Kimaasai yanayofanyika ndani ya Wizara ya MaliAsili na Utalii. Hila hizo zinafanyika kupitia taasisi za serikali iliyo chini ya wizara hiyo. Taasisi hiyo ni Wakala wa Misitu(TFS), Idara ya Wanayama pori na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo ameshindwa kudhibiti changamoto ya tembo wanaoharibu mazao ya wananchi wilayani Meatu katika Mkoa wa...
Mwanasiasa Dkt Hamis Kigwangalla amezunguzia Wizara ya Maliasili na Utalii ambayo amewahi kuiongoza akisema kuwa ukiwa Waziri wa hapo utahongwa sana hasa kutoka kwa wawekezaji wa vitalu.
“Wawekezaji hasa wa vitalu wanapenda kuwa na maeneo makubwa, wale wa picha siyo sana, watu wa vitalu...
Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amesema katika Jimbo lake, Askari wa Maliasili wamekuwa na tabia ya kukamata watu na kuua akihoji, "Miongozo inaruhusu kumkamata Mtu na kumuua?"
Hata hivyo kabla ya Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja kumjibu, Spika Tulia Ackson akasema...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angelina Mabula na Naibu Waziri wake Mhe. Ridhiwani Kikwete watafanya ziara kwenye Mikoa ya Singida, Mwanza na Mara kuanzia tarehe 15 Machi 2022 hadi 19 Machi 2022
Hii ni kwa ajili ya kufanya shughuli 3 za Kukagua Mpango wa Matumizi ya...
Kwa heshima na taadhima, Mhe Rais kuna kila dalili za upigaji katika Mamlaka hii. Kuna tetesi za chini kwa chini kuwa NCAA imewalipa waandishi wa habari pesa nyingi wakiongozwa na Maulid Kitenge chini ya Uratibu wa mmiliki wa gazeti la Jambo la habari ndugu Mchange. Nguvu wanayotumia ni kubwa...
Leo napenda kuwauliza Wizara ya Maliasili ya Utalii;
1. Kumekuwa na kupungua Wanyama Mbuga za Mikumi na Saadani kwa kiwango cha kutisha! Leo hii ukienda Hifadhi ya Saadani unaweza tembea saa zima bila kuona mnyama yeyote, hali hii ipo Mikumi pia ambapo imekuwa na hali kwa kasi ya kutisha sasa...
Wasalaam ,kwa Wanajukwaa wote imekuwa ni kipindi kirefu tangu vijana waajiriwe tangu mwaka 2018 ,sasa Tunawaomba Sana mhe waziri Atuangalie vijana tuohitimu mafunzo tangu mwaka 2020 hatujaajiriwa tangu tuhitimu na ukizingatia kuna takribani hifadhi mpya NNE zilianzishwa na bado hazina watumishi...
Wakazi wa Kata ya Buseresere Wilayani Chato Mkoani Geita wamemuomba Waziri wa Maliasili na Utalii kuchukua hatua kwa askari wa maliasili wanaowapiga na kuwadhalilisha wananchi nyakati za usiku na mchana wakati wakiendesha zoezi la kutafuta mkaa majumbani kwa madai ya kukomesha uchomaji mkaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.