malipo

  1. Sky Eclat

    Sidney Sweeney analalamika malipo anayolipwa hayamtoshi kuishi

    Sidney ni Hollywood Star ambae analipwa $25,000 kwa episode moja. Anasema kati ya hizo 10% inakwenda kwa agent wake, 5% ni ya lawyer na 3% ni ya meneja. Hela inayobaki baada ya tax ndiyo anaishi nayo yeye. Analalamika amechoka kufanya kazi na anataka kuchukua likizo ya miezi sita kutuliza...
  2. M

    TCRA Wafungie API za malipo ya Selcom kwenye app ya Mange Kimambi

    Tunawapongeza TCRA kwa kuifungia app ya Mange Kimambi, kwa TZ mpaka uwe na VPN ndo unaipata. Lakini Hilo halitoshi kwani Bado anaendelea kuwachangisha Watanzania kupitia Selcom. Yaan watu wanalipia upumbavu na ikiukwaji wa maadili kwenye app yake. TCRA tunajua mna uwezo wa kumwambia Selcom...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Mfumo mpya wa malipo serikalini (MUSE) ndio unaoua morali za watumishi na kuchelewesha maendeleo nchini

    Habari! Huu mfumo si mpya sana maana una miaka zaidi ya miaka 2 hivi hapa nchini tangu uanze kutumika. Ni mfumo wa Kidijitali wa pamoja wa malipo ya kiserikali. Mfumo huu ni mwiba kwa wahasibu wezi na watumishi mafisadi. Ulianzishwa na serikali ya Magufuli. Uliweza kufuta matumizi ya check...
  4. N

    Inasikitisha: Wacongo Yanga Princess wasHtaki FIFA kudai malipo

    inaiskitisha sana, dah kwa hiyo mkatooka congo hadi ......he :D😜
  5. A

    Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Tanzania ni moja ya nchi ambazo huduma za kununua na kulipia ving'amuzi zinafanyika kwa kasi sana, hasa baada ya ushindani kuongezeka miaka kadhaa nyuma kutoka kampuni moja ambayo ilitawala soko kupata ushindani kutoka kwenye kampuni mpya zilizoanzishwa hasa moja ambayo ukuaji wake umechangiwa...
  6. I

    Hivi inakuaje kama ukiwa umejisajili NSSF halafu haufanyi malipo?

    Mimi nilijisajili NSSF mwezi May. Kulingana na taratibu za ofisi yetu bado mwajiri wangu hajaanza kutuma hiyo fedha huko. Hivi kule wananiandikia deni au inakuaje? Msaada wakuu
  7. K

    Kulikoni malipo ya TARURA kwa Wakandarasi

    Kwa uaratibu kila mkandarasi anapomaliza kazi na kukaguliwa na watalaam anatakiwa alipwe haki zake. Wengi wa wakandarasi wanaotekeleza miradi ya TARURA hatujalipwa licha ya kumaliza kazi na kukaguliwa. Kwa vile mwaka wa Serikali mwisho ni tarehe 30 Juni kila mwaka tulitarajia tutalipwa...
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Sera ya matajiri wakubwa nchini kuwa Raia wenye asili fulani na kazi fulani iwe yenye malipo makubwa zibadilike!

    Wakuu Poleni na majukumu. Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi. Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko...
  9. sky soldier

    Umewahi kumsaidia mtu ambae mnajuana kidogo au humjui kabisa bila malipo / masharti na siku za mbele akaja kukusaidia ili kurudisha fadhila

    Huwaga naskia kuna stori kwamba kuna watu huwa wanakuja kusaidiwa huko mbele ya safari na watu wasiowajua ama kujuana kwa mbali ambao waliwahi kuwasaidia kipindi ha nyuma. Je, wewe ni moja wapo ama una mtu unaemjua uliewahi kushuhudia kaja kusaidiwa na mtu ambae aliwahi kumsaidia na walikuwa...
  10. Nyendo

    Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure

    Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure. Wanafunzi 90000 wa kidato cha tano na wanafunzi 50000 wa kidato cha sita. Ili kupunguza adha wanazokumbana nazo ada za watu hao imefutwa. Hivyo elimu bila ada itakuwa kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Pia inaangaliwa...
  11. K

    Malipo ya posho kwa watumishi

    Naomba kuuliza posho hulipwa kwa ngazi ya elimu au ngazi ya mshahara? Hii inakaaje ,mwenye ufafanuzi plz your welcome
  12. S

    Hivi wabunge wanaovuliwa Ubunge mikopo yao hulipwa na Serikali au hukatwa kwenye malipo yao ya kiinua mgongo?

    Hili ndio swali ninalojiuliza hasa ninapotafakari nguvu kubwa inayotumika kuwalinda Halima Mdee na wenzake baada ya chama chao kuwavua uanachama. Kama wamechukua mikopo(bila shaka wamechukua), mikopo hiyo italipwaje iwapo watasitishiwa ubunge wao na ukizingatia wako wengi na mikopo ya wabunge...
  13. William Mshumbusi

    Kama Halima aliahidiwa kazi ya kukopwa miloni 30+ ili akimbie nchi. Hawa wapinzani vinara Lissu na Lema wamepewa kazi ya malipo kiasi gani?

    Kama ni binadamu wa kawaida, mchambuzi mzuri wa siasa na mwanaharakati huwezi Sasa kukosa mashaka juu ya Mwenendo wa Freeman Mbowe tokea awali kabisa. Uwenda anajenga upinzani bandia na wanaharakati hutumika kuwapumbaza tu. Anasema alikuwa tayari kumuajili mdee South je kafanya hivyo kwa Lema...
  14. Inevitable

    Kikokotoo(Mafao): Rais Samia anastahili pongezi kwa hili

    Jana, statement toka Ikulu ilieleza kuwa Rais Samia amepokea mapendekezo ya kanuni mpya ya mafao ya Pensheni, kama ilivyoombwa na chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) siku ya sherehe za wafanyakazi (Mei Mosi, 2022), ambapo sasa amekubali ombi la kupandisha malipo ya mafao, kutoka 25%...
  15. K

    Malipo ya hisa zangu

    Ninazo hisa kadhaa kwenye Makampuni mbalimbali lakini sijapata malipo yangu kwa muda mrefu. Nimesikia kuwa kuna kampuni inaweza kunisaidia kufuatilia mgawo wangu wa hisa zangu. Ninawaomba kama mtu anaweza kunipa jina la kampuni hiyo, namba ya simu au barua pepe anisaidie ili niweze kuwasiliana...
  16. Lady Whistledown

    Serikali ya Nigeria yaharamisha malipo ya fidia kwa watekaji nyara

    Bunge la Seneti la Nigeria limepitisha mswada wa kifungo cha miaka 15 jela kwa kulipa fidia ili kumwachilia huru mtu ambaye ametekwa nyara, na adhabu ya kifo kwa uhalifu wa utekaji nyara ambapo mwathirika hufariki Muswada huo, ambao unarekebisha sheria ya ugaidi ya Nigeria, unaamuru hukumu ya...
  17. Rurakha

    Tahadhari kwa mnaotumia mfumo wa malipo wa Selcom Paytech Plc

    Salam kwanza kabisa napenda kushare na nyinyi uzoefu wangu kuhusu mfumo wa malipo wa Selcom Mimi ni Wakala wa benk na mitandao ya simu huwa ninafanya miamala mingi ya malipo kama tra ada ya vyuo vya serikali kwa kupitia mfumo wa malipo wa selcom Sasa nachotaka kuwatahadharisha ni kwamba huu...
  18. Gentleman96

    Huruma malipo ya Uandikishaji Makazi Mkoa wa Mbeya

    DHURUMA MALIPO YA KUANDIKISHA POST CODE ............... (retweet hadi kwa waziri) Nasikitika kuandika kuhusu dhuruma iliofanyika Mbeya, zoezi la uandikishaji post code limefanyika Mkoa wa Mbeya na kwa wizi wa malipo kwa vijana waliofanya kazi. .. Baada ya matangazo ya kazi hiyo kutoka vijana...
  19. Bushmamy

    Wanakijiji waomba malipo ya minara ya simu iliyopo kijijini kwao wapewe kwa ajili ya ujenzi wa zahanati

    Wakazi wa kijiji cha Mazwe, wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wameomba viongozi wa Minara ya simu ya Tigo na Airtel walioweka minara yao kijijini hapo tangu 2013 malipo ya minara hiyo iwanufaishe wanakijiji wa kijiji hicho kwa kujenga zahanati kutokana na kuwa malipo hayo hayafiki katika ofisi...
  20. bolivia

    Ushauri maoni juu ya malipo ya NSSF

    Hbr na poleni na swaum wana JF:- Niende kwenye point kuu ya mada hii nina mzee wangu anakaribia kustaafu serikalini kama mtumishi wa umma kwenye kada ya afya, tumezaliwa watoto 4 Mungu ni mwema wote tulibahatika kwenda na sasa tumebahatika kwa uwezo wa Mungu tupo kwenye ajira nini pointi yangu...
Back
Top Bottom