Ulipolileta wazo la kuanzisha 'Timu ya Utetezi wa CCM' mitandaoni katika vikao vya kichama ulisifiwa na wazo lako lako likapita. Vijana wakatafutwa na Timu husika ikaundwa ikiwa na jukumu kubwa la kutetea chochote kinachohusu Serikali au CCM au vyote viwili. Timu yetu ya mtandaoni ambayo humu JF...
Asalam aleykum!
Bila kupoteza muda naomba tujadili hili suala kama dharura.
Ninaomba TCRA, BoT na mitandao ya simu watengeneze haraka mfumo wa malipo kwa njia ya simu.
Huduma kama lipa kwa M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, Halo Pesa, Tigo Pesa na Ezzy Pesa ili tuepuke matumizi ya pesa taslimu...
Kwanza kabisa nianze na swali, Kwa kasi hii ya mabadiliko katika mifumo mbali mbali hasa TRA, BRELA, BOT je kipindi cha nyuma tulikuwa hatuna watanzania wenye akili ? ama watu waliamua kuwa vipofu.
Kama msomi na mchumi katika vitu ambavyo amefanya Raisi Magufuli ambavyo sitasahau ni
1...
Habari wakuu,
Natafuta tenda ya Sales kwa malipo ya commission(yaani kadri ninavyouza) hii na baada ya kuanzisha kampuni ya masoko, Nina uzoefu na hii kazi miaka mitano nikiuza computer mikoani na nchi jirani, Sasa na ni muda muafakawa kuongeza bidhaa nyingine ambapo malipo yetu baada ya mteja...
Nimebahatika kutembelea jijini Mwanza mwisho wa mwaka huu na nimekutana na kitu cha ajabu ambacho sijawahi kukiona duniani kokote kuhusu jinsi ya kulipia maegesho ya gari. Mtu anakuja kuscan plate number yako bila hata wewe kujua, hivyo ni wajibu wako kujua hata kama ni mgeni kuwa unatakiwa...
Hawa watumishi wa umma wanataka kushindana na serikali.
Kumekuwa na wimbi kubwa la kada ya watumishi wa umma kuacha kazi kutokana na hofu, hawa wamepewa mafunzo kazini kwa gharama kubwa na wengi ni wa kada za juu ambao wana nia ya kuvuruga succession plan ambayo kama nchi, gharama kubwa...
'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa CHADEMA na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"...
Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
Kuna kitu kinachanganya sana watu wasio na ajira/waliomaliza vyuo wanaotamani siku moja kuwa wafanyabiashara wakubwa na wajiendeshe sio kuendeshwa, akili zao zinasikia mengi sana kitu kinachopelekea kubaki njiapanda sasa leo acha nifafanue kitu kimoja kwa faida ya nyie ambao hamuelewi tunaposema...
Malipo ya Korosho kwa wakulima wilayani Masasi Mkoani Mtwara yametajwa kuwa ni chanzo cha ongezeko la uwepo wa kina dada wanaofanya biashara ya ngono wilayani humo ili kujipatia fedha hizo za korosho.
Hayo yalisemwa jana wilayani Masasi na Madiwani wa halmashauri ya mji Masasi walipokuwa...
Wenye uelewa wa hili swala bahati mbaya niko mbali na mjini mpaka jumatatu.
Unapotaka kujua uhalali wa kiwanja cha mtu kuna malipo yanafanyika ili upewe barua.
Kiuhalisia wanachukua muda gani maana kuna usanii unatokea mkoa mmoja kaskazini sasa inaenda wiki ya pili na pesa zishalipwa na...
Waziri wa kilimo mh Hasunga amesema mabilioni ya fedha za korosho yameliwa na wajanja hivyo ameunda tume ya uchunguzi kufuatilia ubadhirifu huo.
Pia mh Hasunga amemtaka CAG kuikagua bodi ya korosho kwani kuna kiasi cha zaidi ya sh bilioni 55 hazijulikani ziliko.
Kadhalika Waziri amewataka...
Habari,
Natoa huduma ya matengenezo ya computer (desktop na laptop) na malipo utatoa baada ya computer yako kufanya kazi.
Kama kuna kifaa kitakuwa ni cha kununua, gharama ni juu yako.
Kwa wale wanaohitaji kufungiwa CCTV cameras, watahudumiwa weekend tu.
Napatikana kigamboni Dar. tuwasiliane...
Wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ukiongea nao wanadai walipunjwa malipo. Baadhi waliofariki kabla ya kulipwa, warithi wao wanakuambia hawakuambulia kitu na waliolipwa mlolongo wa malipo kwao ulikuwa mkubwa kuliko.
Upanuzi wa barabara, viwanja vya ndege. Wahanga wa mabomu...
Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika ambayo itawawezesha wauzaji zaidi ya 30,000 kupokea malipo ya Visa kwa kutumia simu ya mkononi pamoja na mawakala 20,000 ambao watawezeshwa kupokea amana na kutoa malipo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.