malipo

  1. G

    Fedha ya kupigia rangi viatu vya Traffic zinaharibu Noti zetu kwa malipo halali

    Katika Watanzania wanaoziharibu (Fedha za Noti) za Tanzania ni makondakta & madereva wetu wa vyombo vya moto yaani magari ya abiria na mizigo wakishirikiana na wasimamizi wa Sheria za nchi hii (Traffic). Fedha tajwa hapo juu hutolewa kwa njia ya kidhalilishaji kwa sarafu zetu na askari pia...
  2. dvj nasmiletz

    Ni Kazi gani halali usiyoweza wala kutaka kuifanya hata kama ina malipo mazuri

    Mimi kazi ya jeshi,polisi na ualimu...ni BIG NO Wewe je??
  3. USSR

    Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

    Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa Wanafunzi. Akitolea...
  4. Hisha Sorel

    Ndio! Mazingira magumu ya kufanya kazi; Ndio! Malipo ya chini; Ndio! Hata hivyo sio kisingizio cha kubaka na kushambulia wagonjwa na wanafunzi

    Wafanyakazi wa Afya na Walimu ni waajiriwa wakuu serikalini. Mshahara wao na hali yao ya kazi ni duni sana . Na tunapaswa kuwahurumia na kufanya kazi kwa bidii ili kuboresha hili swala. Walakini, katika siku za hivi karibuni tumesikia visa kadhaa vya kushambuliwa na ubakaji wa wagonjwa na...
  5. O

    Msaada mwenye kujua kipengele cha malipo ya likizo "incidental expenses on journey"

    Wasalaam wana JF Najua humu kuna wajuzi na wataaluma wa mambo mbalimbali. Nataka kujua kuhusu malipo ya likizo. Kuna hiki kipengere cha "Incidental expenses on journey" kina hitaji mwajiriwa alipwe katika mazingira yapi, maana kuna anaye safiri siku tatu ndipo anafika kijijini kwao hasa msimu...
  6. Auntkuku

    Likizo bila malipo ipoje hii? Ufafanuzi please

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada kwa ambao walikuwa ndani ya utumishi wakaomba likizo bila malipo utaratibu wake upoje. Kwa maana kwamba naanzia wapi ili nipate na huwa wanatoaga muda gani? (miaka)
  7. sky soldier

    Hii mitandao kama 'Tinder' na 'Badoo' inaweza kutumika bila malipo? Maana siwezi hata kutuma meseji

    Leo katika kuchezea chezea simu nimekutana na mitandao ya kujuana, kuwa marafiki, kupeana kampani na hata kutafuta wapenzi. Sasa nmeingiza app inaitwa badoo, tagged na tinder zote naona bila malipo ni sawa na kutoweza kuzitumia. Unakuta unataka umtumie mtu meseji inakwambia ulipie elf 30 kwa...
  8. YEHODAYA

    Kazi ya kwanza ya Wizara mpya ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iwe ni kuruhusu Watanzania kupokea malipo kupitia Paypal

    Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambayo ni mpya tunatarrajia ifanye mambo makubwa ya kuongeza ajira kwa vijana mitandaoni. Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya kuondoa hilo tatizo ni kwa watu kutafuta kazi za kufanya online, yaani mitandaoni. Kazi zipo nyingi...
  9. E

    Msaada tutani, malipo ya NEMC

    Mimi ni mfanyabiashara, ya kuuza spea za malori, biashara ipo katika jengo la ghorofa 3 yani chini, 1st na 2nd floor, chini ndio biashara ilipo na juu ni makazi, sasa nilitaka kujua kuna malipo yoyote ya kila mwaka natakiwa nilipe NEMC kutokana na floor zilizopo hapa? Natanguliza shukurani
  10. Manjagata

    Msaada: Wanaotoa magari bandarini kwa kukopesha malipo ya kodi

    Wadau salama hapa ndani? Niliwahi kusoma uzi hapa JF kwamba kuna raia wanaosaidia kutoa gari bandarini hata kama huna pesa ya kulipia TRA mnaingia makubaliano ya kulipia kidogo kidogo baada ya yeye kulipa. Hii imekaaje? Hakuna utapeli ndani yake? Nina mpunga kidogo hapa ambao unatosha tu...
  11. mwanachuo

    Malipo ya usafiri wakati wa kuanza kazi na kumaliza mkataba

    Niliajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja na kampuni moja ya fedha . Hata hivyo nililipwa pesa ya mafunzo na nauli pekee nikitarajia kulipwa malipo ya kusafirisha mizigo na kujikimu lakini hawakufanya hivyo japo mkataba ulionesha naajiriwa kutoka Moshi kwenda Lindi, ingwa wakati wa kumaliza...
  12. Q

    Halima Mdee, Mwenyekiti wa BAWACHA aidha ajiuzulu au aondolewe haraka kabla hajaleta madhara kwa Chama

    Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa. Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu...
  13. K

    Kumbe upasuaji katika Hospitali za Serikali sharti malipo kwanza?

    Leo nimepigiwa simu na rafiki yangu ambaye tangu jana alimpeleka mgonjwa wake na hiyo jana aligharamikia ununuzi wa madawa kwa mgonjwa wake huku akiambiwa kuwa madawa husika hayapo kwenye stock. Leo mgonjwa huyo huyo anahitaji upasuaji na sharti alilopewa ni kulipia kwanza Tshs.240,000 na...
  14. M

    Wanafunzi tunaojiunga SUA invoice za malipo ya Tuition Fee na Accommodation zinapatikanaje / tunazipata wapi?

    Habari ya muda huu wanajukwaa! Naomba kufahamishwa / kuelekezwa namna ya kupata INVOICE kwa ajili ya kulipia ya Accommodation (makazi) na Tuition Fee (Ada) kwa chuo cha Sokoine University of Agriculture (SUA). Maelekezo yaliyopo kwenye Barua ya kukubaliwa kujiua chuo na yale yaliyopo kwenye...
  15. FedhaBook

    SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
  16. DISPLEI

    RUWASA Mnachelewesha Sana Malipo ya Wakandarasi

    Kuna Kandarasi nyingi za miradi ya maji chini ya RUWASA zinazoendelea na zilizokamilika lakini malipo yanachelewa sana. Watendaji wa RUWASA kuanzia ngazi za wilaya hadi makao makuu hawaonekani kujali machungu wanayoyapata wakandarasi kutumia hela zao kutekeleza maradi hii. Kuna madeni ya...
  17. K

    Natafuta kazi katika kampuni ya clearing and forwarding

    M
  18. G Sam

    NHIF yaja na makali zaidi kwa Watanzania, yaondoa dawa lukuki kwenye orodha ya dawa zinazonufaika na malipo ya bima

    NHIF imekanusha taarifa hizi: NHIF yakanusha kuondoa dawa 138 kwenye Orodha ya Dawa wanazolipia wateja wake Makali zaidi, kasi zaidi. Sasa makato yetu yana faida gani? Huu ni unyonyaji wa aina yake.
Back
Top Bottom