Tatizo hili lili watokea wengi ma askari waliokuwa wanalipwa pensheni miaka ya nyuma awamu ya tano, kwa uzoefu tulijua pensheni hulipwa zote sasa hii habari imekuwa ni kikwazo sana kwa mtu anayetaka kufanya maendeleo ya haraka.
Kwann PSSSF msitoe tangazo rasmi kuwa pesa hamna vizuri maan...
Serikali ya Tanzania kupitia Dira ya maendeleo ya Taifa imelenga kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, miaka minne ijayo. Lengo hilo lilitazamiwa kufanikiwa kupitia sekta ya elimu na mafunzo ambapo ilitarajiwa kuleta maendeleo ya haraka kwa kutumia rasilimali watu iliyoelimika...
Kwa wale ambao bado tunaendelea kusubiria malipo ya malimbikizo, tafadhali atakayepata anijulishe. Mimi bado sijapata. SMS notification nimepata jana hakuwa na kitu chochote.
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo.
Hayo ndio yalikua matarajio...
Baada ya kuanza kulipia kodi ya majengo kwenye mfumo wa LUKU, watu wengi hapa jamvini wamekuwa wakipost screenshot au mtiririko wa sms waliyolipia LUKU ikionyesha makato.
Kitu walichosahau wakati wanatuma hizo screenshot au mtiririko wa malipo, ni kwamba wameanika LUKU meter number zao kwa kila...
Mkulima wa miwa kilombero anapitia changamoto nyingi hadi afikie hatua ya kuua miwa,mfano mkulima ununua mbolea Bilal ruzuku,sumu za wadudu ambao wamekuwa tatizo kubwa kwenye zao ili kwa sasa nk.
Kwa masikitiko makubwa sana kampuni ya Sukari Kilombero imempunja mkulima kwa kununua tani moja ya...
Ifike mahali bora tujiulize kipi kinakwamisha wastaafu kulipwa pesa zao ina maana ni tatizo liko kwenye Kitengo au Idara gani?
Mnaonaje mstaafu si anatakiwa apewe chake alipwe mapema maisha yenyewe yako wapi ndugu viongozi?
Hii dhuluma kwa walimu zitaisha lini?kwa halmashaur ya wilaya babat afisa taaluma sekondari wilaya amelipwa 270,000/wakuu wa shule wanajiita kamat ya mitihan 240,000.waalimu waliosahisha kwa siku tatu wamelipwa elfu 20,000.
Wengi walitumia nauli hapo toa elf 6 kwa siku 3.waalimu waliotokea...
Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali?
Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
Ninatazama Utv Alasiri hapa kwa kweli nchi hii bado tuna changamoto nyingi na pia kundi kubwa la watu hasavijijini wanaishi maisha magumu mno.
Mfano hapa wananchi wa Lindi Njinjo walikua wanaelezea jinsi gani wanavyosumbuliwa na barabara mbovu ambazohupelekea hata kipindi cha mvua wakina mama...
Jamani mimi niko na ATM card ya Equity bank, inaonyesha kuwa iko na uwezo wavkufanya malipo kwa VISA .
SWALI LANGU KWA WAZOEFU . Naomba kujulishwa usalama wa akaunti yangu baada ya mm kilipia app au manunuzi yoyote kwenye mitandao maana nimeona wakati wa manunuzi kwe site husika nahitajika...
Kati ya tarehe ambazo watumishi walikuwa nazo uhakika za malipo ya mishahara ni tarehe 23 ya kila mwezi na ikiangukia wkend basi walikuwa wanalipa kabla ya tar hiyo, je kuna kitu gani ambacho hakiko sawa maana hata serikali haija tangaza rasmi tarehe mpya ya malipo ya mishahara kuwa imebadilika...
habar ndugu zangu
natafuta mtaalam nitakayemlipa kama tutakavokubaliana ili anirudishie email yangu ya gmail ambayo nimesahau pasward zake..namba nilizoweka kwenye email ni mbili lkn nikibonyeza forgot pasward wanatuma code nikiingiza code,wanataka kutuma tena kwenye namba yapili.
kibaya zaidi...
Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia...
Wenzetu Wabunge wawe wakwanza kutumia kodi ya mshikamano kwa kulipwa kwa njia ya simu.
Kwa kuwa wabunge wana mishahara mikubwa na malupulupu kibao ipendeze kodi hii ya mshikamano kila malipo ya mbunge yapitie kwenye simu take.
Hii itasaidia kuutunisha huu mfuko wa mshikamano kwa kasi nakufikia...
Katibu Mkuu wa CCM ameonekana Zanzibar na kwingineko katika ziara za chama chake, ameonekana akitumia usafiri wa ndege za ATCL ambalo ni shirika la umma.
Sasa ili kuondoa minong'ono ya chini chini iliyoanza kusikika kwamba ANATUMIA NDEGE HIZO BILA KULIPA CHOCHOTE , Ni vema basi shirika hilo...
Kupitia waziri wa utumishi na utawala bora, mh Mohamed Mchengerwa, serikali iliahidi kupandisha watumishi wake vyeo kwa kada mbalimbali, ikiwepo na kutenga bilioni 300 kwa ajili ya kulipa madai ya malimbikizo ya mishahara.
Lakini siku ya leo baada ya mishahara kutoka kumekuwa na vilio kila...
"Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga
====
Dodoma. Mbunge wa Mbogwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.