Sisi wananchi wa kijiji cha Igingilanyi kilichopo katika manispaa ya Iringa ambao tunatakiwa kuhama katika makazi na maeneo yetu ili kupisha upanuzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa Iringa ulipo katika vijijji vya Nduli na Igingilanyi lakini kwa sehemu kubwa utachukua sehemu ya Ingilangyi ambako...
Kampuni ya GOOGLE upande wa matangazo imesitisha malipo yake ya matangazo yanayopatikana kwenye application za simu (admob) na blog au website (AdSense), Google wamenitumia E-mail kufikia mapema mwa mwaka kesho (2021) watasitisha rasmi malipo kwa njia ya Western Union.
SWALI : Western Union...
I’m going to go in and keep it a buck all the way.
Ni hivi, wabunge wengi sana wa bunge la Tanzania ni wachumia matumbo tu.
Hawapo bungeni kuwawakilisha wananchi wa majimbo yao.
Kwa sababu hiyo, mimi ningependa malipo yao yote, yaani kuanzia mshahara, posho zile kipumbavu, marupurupu, na...
PENDEKEZO: Mishahara na Malipo Mengine yaruhusiwe kupitia waleti za simu
Halopesa/Tigopesa/MPesa/Airtel Money/T-Pesa/waleti zingine
Badala ya watumishi katika sekta za umma na za binafsi kulazimika kutumia akaunti za benki kupokelea mishahara, waruhusiwe kupokelea mishahara na malipo mengine...
MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII
Habari ndugu zangi ,
Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki...
Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ametoa siku 14 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao mchanganyiko Dkt Anslem Moshi kukamilisha malipo ya wakulima wote waliouza korosho msimu wa mwaka 2018/2019.
Waziri Hasunga ametoa agizo hilo wakati alipotembelea na kukagua shughuli za utendaji kazi...
Utawala wa Bwana Donald Trump unafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye manunuzi ya aina yoyote au wanaita dollar decoupling.
Dollar ya kimarekani ndio sarafu maarufu inayotumika kufanya malipo Duniani, zaidi ya 60% ya malipo Duniani yanafanyika kwa njia ya Dollar.
Dollar ndio...
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amelitolea ufafanuzi tukio la wafungwa kupandisha bendera za CCM huko Dodoma.
Polepole amesema kama ilivyo kwa JKT na JWTZ hata jeshi la magereza linafanya uzalishaji na CCM iliamua kuwaunga mkono kwa kununua Huduma ya nguvu kazi na risiti ya malipo ipo...
Ni kama utani vile lakini ndio hali halisi.
Mtandao wa kupata leseni za Udereva kwa wiki mbili na zaidi haupo hovyo hata kulipia huwezi kabisa, Mbaya zaidi hawajatangazia Umma hiki kitu.
Iweje mtandao tuliosuka wenyewe utusumbue kihivyo, au hao wataalamu wa IT ni wajomba wa watu fulani...
Waziri wa Elimu katia waraka na ratiba mpya za mihula ya shule jana.
Ndani ya waraka huo kaongeza muda wa masaa mawili kwenye RATIBA za shule yaani zianze SAA 2:00 asubuhi hadi SAA 10:00 jioni badala ya SAA 8:00 mchana.
Katika kuongeza huku hakuzungumzia malipo ya ZIADA (overtime) kwa walimu...
Pamoja na serikali ya Tanzania kutambua ugumu wa mzunguko wa biashara nchini humo kutokana na janga la Corona , na kupitia BOT imetoa maelekezo kwa benki zote kutoa nafuu ya marejesho ya madeni ya mikopo kwa wateja wake , ambapo baadhi ya benki nchini Tanzania ikiwemo Exim bank , ambayo...
Nimepokea ujumbe huu,
"CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi salary ni 1,300,000/=(net) ukipata salary yako ya kwanza utanipa 400,000 na kabla ya saa 10 jioni leo uwe umetuma elfu 45 through tigopesa nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email so una...
Baraza la wazee wa Chadema limetoa tamko lake la kumtetea Mwenyekiti wa chama hicho dhidi ya njama ovu zinazotekelezwa na wabunge waliohamia CCM wakimtumia Mwita Waitara aliyewahi kuwa mlinzi wa Mbowe.
Katika tamko lake baraza la wazee limetaja sifa kuu 3 za Mbowe:
Mosi Mbowe ni mwenyekiti...
Wafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha Nguo cha Winds Group ltd maarufu kama Mazava kilichopo Msamvu, kinadaiwa kuwapa likizo ya miezi 3 wafanyakazi wake bila malipo.
Wafanyakazi wamezuiwa kuingia kiwandani kuendelea na shughuli humo leo Mei, 15.
Kutokana na hill janga la korona nimepewa likizo ya bila malipo. Mimi ni mwalimu katika shule moja private, likizo hii tumepewa wafanyakazi wote.
Ninapitia wakati mgumu sana ninapenda kuwashauri vijana ambao bado hamjaoa nivema mkaoa wadada wafanyakazi pia jaribu kuwa na biashara pembeni...
Habari za muda huu wadau wa JF.
Naomba niende moja kwa moja katika hoja.
Wote tunajua kuwa sasa hivi nchi inapatwa na janga kubwa sana la corona ambalo limepelekea uchumi wa sekta mbalimbali kuyumba.
Leo nimeshtushwa sana baada ya kuona kuna shule flani ya private inalazimisha wafanyakazi...
Naandika kwa niaba ya rafiki:
Ninafanya kazi kwenye moja ya international schools Dar es Salaam. Agizo la waziri mkuu kwamba shule zifunge lilipotoka tulianza likizo na mwezi wa tatu tulilipwa, tulikua tukifundisha kutokea nyumbani.
Sasa week iliopita mwajiri aliandika ujumbe kwa baadhi ya...
Serikali inatakiwa ibadili mfumo mzima wa maisha ya nchi hii na kwa wananchi wake.
Hiyo mambo ya mwisho wa mwezi ni zilipendwa. Tumeshiklia kanuni za mkoloni zile zile kubadilika hatutaki.
Serikali haina plan B miaka nenda miaka rudi.
Sasa hivi watu wanajifanyia kazi kwa mazoea tu na si kwa...
Kwa masikitiko makubwa nimemsikia Mh. Ndugai akimuonya Tundu Lissu kwa kuwa asitake kumlazimisha kufukua yaliyokuwa yamefunikwa kwa kile alichokiita kumtuhumu Spika kuwa ni muongo! Japo kuwa karibu kila binadamu ktk kipindi fulani ktk maisha huwa na deni la kulipa sehemu fulani, lakini hili deni...
Pamoja na viongozi kupunguza mishahara kwa hadi asilimia 80, kupunguza malipo ya kodi na kuanzisha foundation za kusaidia ambao watathirika zaidi kiuchumi Uongozi unapendekeza kufuta malipo ya umeme na maji kwa miezi sita.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.