mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Joseph Kusaga: Mwaka 2025, Mama ndiye Rais wetu

    Wakuu Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji Clouds Media Group akizungumza kwenye tukio la Uzinduzi wa Malkia wa Nguvu amesema "Huu ni mwaka tunakwenda kwenye uchaguzi na uchaguzi wetu tumeshasema mama ndiye Rais wetu. Mimi Sina Chama ndio maadili ya shughuli ninayofanya lakini mama amepewa...
  2. K

    Pre GE2025 Mama Samia amegundua kosa kubwa chaguzi za 2024

    Uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki leo hii swahiba wa Mama Samia Mbowe angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na kusingekuwepo leo No reform no election ambayo ni agenda kubwa ya nchi kwa sasa. Kitendo cha Mama Samia kuanza kumkasirikia mkwe wake Mchengerwa tena baada ya...
  3. Matukio yanayonipa maswali baada ya kuona mkesha wa kumsubiri mama Samia kuzindua mradi wa maji Mwanga

    Leo nipo mwanga nimepita jirani na uwanja wa Msuya nimeona shamrashamra SIO za kawaida, mji mdogo lakini Leo kumekua Hadi na foleni, wageni ñaona NI wengi sana. Nachojiulza nimekutana na vibinti vidogo Sana Yani kama wanafunzi hivi wametolewa Wilaya za jirani Moshi na same kuja kwenye MKESHA...
  4. Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  5. Vazi bora la mwanamke ni kama lile alilovaa bikra Maria analovaa mama Samia

    Inajulikana mama aliyetakasika,bikra Maria ambaye ni mama yake Yesu alayhi sallaam alivaa kwa heshima sana na mapokezi ya mavazi yake yaliyotufikia kwa njia ya mchoro inamuonesha hivyo. Masista wa kikatoliki wanajaribu sana kumuiga mama yetu huyo.Waislamu daima wametambua hilo na kuendelea...
  6. Marais wote wenye uchungu na nchi zao huwa wabahili kwenye matumizi mabovu, mfano Trump na late Magufuli, Rais Samia jifunze ubahili

    Habari wadau Nazani wote tunaona Trump anachofanya. Trump mwenyewe ni tajiri kweli kweli kuanzia yeye mwenyewe, ukoo wao na mpaka familia yao wote ni matajiri kweli kweli. Pia Trump anaongoza Taifa tajiri kweli kweli. USA ni taifa tajiri sana. Pamoja na utajiri wote huo bado Trump ni...
  7. K

    Mama Samia kuwa makini na watu wa protokali- wanakudanganya

    Najua kuna watu wengi pamoja na mimi binafsi tunamshangaa huyu Mama kubadilika sana kuanzia 2021. Sababu moja wapo inawezekana ikawa watu wake wa protokali ambao wanajiona sasa wenyewe ndiyo wana mlisha habari na kuzuia habari zisifike kwake. Kitendo cha waziri wa elimu kulalamikia kwamba watu...
  8. Mama Samia, Mungu Akubariki Sana...

    Wakuu Leo Sipo Kisiasa Hata Kidogo, Japo Bado Ntamzungumzia Samia Kama Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania. Kwanza Mama, Mungu Akubariki Sana. Katika Vitu Hua Napenda Kuona Kwenye Maisha Yetu Ya Kawaida Basi Ni Hawa Viongozi Wetu Wa Juu Kujichanganya Na Sisi Hata Mara Chache Na Kupata...
  9. Mh. Jumaa aweso hapo ulipo "Unamuangusha mama Samia"

    Ndugu jamaa na marafiki wa Mh Jumaa. Huyu kijana wenu anamuangusha Rais, maji hakuna. Sio kwa walala hoi tu hata wanyama hawapati maji. Ndh Aweso unamuangusha huyu mama yetu. Imagine watu wanatajabhata majina ya mitaa yao. Kimya . Hakuna ufumbuzi
  10. B

    RC HOMERA KUONGOZA UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA- MBEYA

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni kubwa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa ajili ya kuwasaidia na kuwashauri wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria. Uzinduzi huu utafanyika Jumatatu hii Februari 24, 2025 kwenye Viwanja vya...
  11. Pre GE2025 Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025

    Rais Samia ameahidi kujenga msikiti wa kisasa wenye hadhi ya Rais katika Kitongoji cha Migude, Kijiji cha Milo, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omary wakati alipotembelea msikiti huo ambao hali yake...
  12. A

    DOKEZO Wauza michele SIDO - Mbeya hatujapata Mkopo wa Mama Samia mwaka na zaidi sasa kisa uongozi wa Soko

    Mwaka jana miezi kama hii walitutembelea maofisa wa bank ya CRDB tawi la Livingston na kutushauri kutuongezea mtaji kwa kutupa mikopo, sisi wafanyabiashara wa hali ya chini tulichangamkia fursa kwa kwenda bank kufungua account na kupata fomu za mkopo huo ulioitwa mkopo wa Mama Samia Matokeo...
  13. Raisi Wangu Mama Samia Nikumbuke Kwenye Ufalme wako

    Kwa jinisi raisi wangu Mama Samia Suluhu Hassan anavomwaga ajira kwa graduates imenibidi namimi mgonga ulimbo nizidishe maombi kwake awe na afya njema. Maana naona mwanga wa kulamba ajira ndani ya muhula wake wa kiuongozi. Aisee marafiki zangu wa karibu wengi wameitwa kazini bado mimi tu...
  14. K

    Rais Samia ikumbuke kata ya Ijuganyondo iliyopo Manispaa ya Bukoba Mjini, inakosa huduma muhimu za kijamii

    Mh Rais ikumbuke kata ya IJUGANYONDO iliyopo Manispaa ya BUKOBA MJINI maana kata hiyo Ina changamoto nyingi sana. Yaani huduma za kijamii hazipo katika kata hiyo.
  15. M

    Trump ni Magufuli mweupe, anachokisema anakitekeleza haraka, wiki 1 tu kafukuza wahamiaji haramu na Kafuta USAID. Rais Samia pata somo

    Kasi ya Trump kwenye kutekeleza maamuzi magumu ni kubwa sana, natamani Rais wetu Samia na yeye awe na hii kasi. Hata Tanzania kuna taasisi kibao zinafilisi serikali hakuna cha maana zinazofanywa zinapaswa kufutwa fasta fasta TRUMP anatoa THANK YOU haraka kuliko thank you za Simba na Yanga.
  16. machinist chini : pesa za mama samia zinazotokana na 10% ya mapato ya ndani zatafunwa halmashaur ya wilaya ya sengerema

    Chanzo cha habar toka ndani ya ofis ya mkurugenzi halmashaur ya wilaya ya sengerema zinadai kwamba pesa zilizotolewa na mh rais wa jamhuri ya muungano kwa ajili ya kuwainua vijana , akina mama na wazee zinazotokana na 10% ta mapato ya ndani zimetafunwa na ofis ya mkurugenzi wa halmashauri ya...
  17. Wananchi wa wilaya ya Tanganyika waomba Kampeni ya msaada wa Kisheria ya Mama Samia iendelee

    Wananchi wa vijiji vya Lwega na Mwese vilivyopo halimashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamesema kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia inapaswa iwe endelevu kwani imewajengea uelewa wa kufahamu mambo mbalimbali ikiwemo kutatua migogoro. Katika vijiji hivyo migogoro mingi...
  18. Kwanini Serikali ya Rais Samia inashambuliwa na Luhaga Mpina na Waziri wa kisekta, Msemaji na Katibu Mkuu wapo kimya?

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM Mhe Luhaga Joelson Mpina kwa wiki kadhaa sasa amekuwa akiishambulia vikali kwa hoja nzito nzito Serikali ya awamu ya sita (6) inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan lakini mamlaka husika ziko kimya kabisa. Tujaribu kufikiria kama Wananchi wataamua kuchukua...
  19. J

    Namshauri Rais Samia amteue Mzee Warioba na kumtengua Mzee Wassira maana anaendana zaidi na 4R zake

    Kama Mama ana nia ya dhati kutekeleza 4R basi atafute wasaidizi sahihi watakaofanya naye kazi ktk chama. Binafsi naona mtu kama Jaji Joseph Warioba angekuwa mtu muhimu sana katika kusimamia maridhiano kati ya CCM na wapinzani. Kwa upande mwingine sioni mantiki ya uteuzi wa Mzee Wassira kwani...
  20. Kama mama Samia ameonyesha kwa vitendo kwenye nishati ya kupikia kwanini hawaonei huruma wajawazito wanaotukanwa na wasaidizi wake?

    Ni mambo ya kushangaza kidogo, je tumerogwa? ama tumejiroga? Ni hali ya hatari kwa kweli inakuwaje serikali imetumia pesa nyingi kwenye michezo lakini imeshindwa kununua vifaa vya kujifungilia kina mama? Mkuu wa mkoa wa Dar anaongoza mapambano ya kuwatukana wajawazito kisa tu yeye na familia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…