mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Kuzuia maandamano ni hujuma kwa serikali ya Mama Samia. CCM idhibiti wanaoihujumu

    Nikicheki kwa jicho la mwewe ni kuwa kitendo cha kutumia nguvu kubwa sana kudhibiti haya maandamano ya CHADEMA ni kuihujumu serikali ya Mama Samia na kuipaka uchafu. Wanaomshauri Rais wapigwe tu chini. Ingawa CHADEMA nao walizingua kuja na kauli ya "Samia must go" , serikali ingetumia busara...
  2. B

    Magulu-ku- Taabu: Msamiati mpya kutoka kwa Rais Samia

    Imekuwa ni kawaida kupata misamiati mipya kutoka kwa marais ofisini. Huu ni msamiati mpya kwa wale wapendao kuishi kwenye taabu: BAKITA wakae mkao wa kula. Haikosi msamiati huu unawahusu zaidi wale Simba na chui wa kizimkazi. Kwenu Mahulukutaabu: Habari ndiyo hiyo. Pia soma:Rais Samia...
  3. B

    CHADEMA wanazo sababu za kumpongeza Rais Samia kwa hotuba yake badala ya kulalama!

    Kwamba kumbe nini kilitumainiwa? Kwamba Chadema kama ilivyo kwa wananchi wengine wamekuwa wanachukizwa mno na tekaji tekaji hizi? Kwamba Chadema kama ilivyo Kwa wananchi wengine wanaona ni muhimu uchunguzi huru na wa haraka kufanyika sasa? Kwamba Chadema kama ilivyo kwa wananchi wengine...
  4. kavulata

    Pre GE2025 Anaetaka kumpinga Rais Samia asigombee 2025 anaweza kuja na hoja gani? Anahujumiwa?

    Inafahamika kuwa 4Rs zilimnyanyua juu juu juu zaidi kimataifa Rais Samia kwenye nyanja ya demokrasia. Hii inaweza kuwa chanzo cha hasira kwa wale wote waliokuwa wakisema hataweza. Bwawa limekwisha, SGR anabeba watu, madaraja yanamalizika kujengwa, barabara za mabasi ya haraka vumbi linatimka...
  5. K

    Rais Samia tusikilize vizuri tena, unahujumiwa...

    Tulisha mshauri Raisi Samia na kumuonya kwamba anahujumiwa. Anahujumiwa na makundi mawali 1. Viongozi wanaotaka madaraka 2. Viongozi sio wengine wa vyombo vya usalama ambao wanataka kuleta fujo ili Raisi awaone wenyewe kwamba ni lazima awategemee. Wata zusha kila mbinu ili kumtisha Rais awaone...
  6. Mjomba side

    Rais Samia aonyesha ufundi wake wa kupika madikodiko

    Kusanya vitabu vya Historia, tembelea hifadhi za kumbukumbu na rekodi za kimataifa, lakini hii haijapata kutokea Tanzania. Kwa mara ya kwanza, Rais wa Tanzania Samia Suluhu ataonesha Taifa ufundi wake wa kupika chakula kwa kutumia nishati safi siku ya tarehe 8 Septemba 2024, na kuruka live...
  7. Y

    Pre GE2025 Rais Samia ukitaka upite uchaguzi 2025 komaa na kundi la vijana, kama Hayati Magufuli alivyochagua kundi la wanyonge

    Dear President Samia, Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania !. Bila shaka umzima wa afya na waendelea vyema kulijenga taifa letu. Nakuombea kwa Mungu afya tele na uimara kwa vile usalama wako wa kiafya ndio msingi wa usalama wa taifa letu. Kwa majina naitwa ndugu Yusufu Rajabu...
  8. The Khoisan

    Hivi ni kwanini Serikali ya Mama Samia inatumia nguvu kubwa kuwaondoa Wamasai Ngorongoro?

    Hii issue ya Wamasai kuhamishwa kutoka kwenye makazi yao ya asili imepamba moto kwenye hii awamu. Mkoloni mwenyewe hakuwahi hata kuattempt kufanya hivyo na serikali za awamu zilizopita pia hazikujaribu kuwaondoa. Cha kushangaza awamu hii wanajaribu kwa kila mbinu na hali kuhakikisha kuwa...
  9. Zanzibar-ASP

    Je, vyombo vya usalama vinatumika vibaya (njama) kumharibia kisiasa mama ?

    Kuna vitu vinafikirisha na kuzaa maswali yaliyokosa majibu kwa haya yanayoendelea hapa nchini kwa sasa yakihusisha kupotea ovyo kwa watu, kamata kamata ya wapinzani, wanaharakati na waandishi wa habari. Taifa linalazimishwa kwa nguvu kubwa mnoo kuingizwa kwenye taharuki isiyo ya lazima. Vyombo...
  10. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Jafari Chege Aja na Mkakati Mpya Katika Kongamano la Vijana Rorya Tunaruka na Mama Samia 2025

    Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Wambura Chege ameandaa Kongamano la Vijana Rorya Tunaruka na Mama Samia lililohusisha Semina za mafunzo mbalimbali yenye fursa kwa Vijana wa Rorya. "Leo ni siku ya Vijana Rorya bila kujali itikadi za Vyama vya Siasa. Natamani niwaone vijana...
  11. Pdidy

    Serikali tunaomba treni ya SGR Dar - Moshi - Arusha tumechoka na mabasi

    Shikamoooo mama popotee ulipoo Tumewiwaaa kuwaombaaaa mtusaidie jaman watu wa arusha moshiii tupateee na sie sgr Mungu awabariki sanaaa sanaa kwa hili
  12. Mzee Mwanakijiji

    Kakuku Ka' Mama Rhoda ni kama Ka' Mama Samia?

    Na. M. M. Mwanakijiji Tulipokuwa watoto wadogo tulijifunza kawimbo ambako sikuwahi kukutafakari maana yake. Ni kawimbo ambako labda watoto wengi wa Kitanzania katika sehemu mbalimbali wamekaimba na labda bado wanakaimba miongo mingi baadaye. Ni kawimbo ambako unaweza kukapotezea lakini...
  13. Cute Wife

    Pre GE2025 Unafikiri nini kimewaondoa Makamba na Nape kwenye Uwaziri?

    Wakuu, Usiku umekuwa mchungu kwa Nape na Januari Makamba, tena Nape katenguliwa akiwa akiwa kwenye warsha! Pale unaenda sehemu kama waziri unaondoka mbunge! Makamba naye alitoa boko lake, huenda hiki ndio kimemuondoa: Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina...
  14. Roving Journalist

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma. Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
  15. Roving Journalist

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma. Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
  16. MSAGA SUMU

    Pre GE2025 Miaka 3 kwenye game, suala la nyomi bado inaonekana shida kwa Rais Samia

    Karibia miaka 3 sasa lakini suala la kujaza watu kwa mama Samia bado linaonekana shida. Ukiachana na watu wa hamasa wa UVCCM ambao huwa wanatangulia kituo kinachofuata kwa ajili ya kumpokea rais, viongozi wa CCM na serikali, pamoja na msafara inaonekana mama Samia anapitia wakati mgumu sana...
  17. Nehemia Kilave

    Nadhani kwa mambo yanavyokwenda hatuna budi kumpa pongezi Rais Samia

    Binafsi mimi sio muumini wa siasa za CCM lakini kama haya machache yafuatayo mnyonge mnyongeni haki yake tumpe :- 1. Kuwa msikivu , mama anasikiliza mpaka kelele na maoni ya mitandaoni na ya msingi kuya fanyia kazi . 2. Kuruhusu mikutano ya kisiasa 3. Pasipo kujali nani atanufaika kisiasa...
  18. Jidu La Mabambasi

    Deni la Taifa na ukoloni mpya: Namuunga mkono Rais Samia lakini si chawa

    Namuunga mkono mama Samia katika kufungua uchumi na kuingiza mitaji ya kibiashara pzmoja na kuruhusu uwekezaji kutoka nje na ndani ya nchi. Lakini mimi si chawa, na kila hatua mbele lazama iwe na tafskuri ya mustakabali wa yale watanzania tunayotegemea miska ya mbeleni. Wazungu, waarabu si...
  19. Annie X6

    Pre GE2025 Namshukuru Rais Samia napata mshahara ninaostahili kama Bingwa katika fani yangu

    Wanaosema mi5 tena wanamaanisha. Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
  20. M

    Pre GE2025 Watu wa mwambao wana utamuduni wao, hakuna shaka watamchagua Mama samia kiti cha Urais. Kwa nafasi ya Wabunge...

    Watu wa Mwambao wana utamaduni wao unayotokana na dini yao. Musiwapangie sawa na utamaduni wenu. Utafiti nilioufanya kwa watu wa mwambao huwaambii kitu, weshamchagua Samia kura ya Urais. Yaani haijalishi. Jambo lolote litalofanywa na watendaji wa Serikali litakaloumiza hisia za Waislam kwa...
Back
Top Bottom