mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. Venus Star

    Uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (MSLAC)

    Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imezinduliwa rasmi tarehe 24 Januari 2025 katika mikoa sita ya Tanzania, ambayo ni Kigoma, Geita, Kilimanjaro, Tabora, Katavi, na Mtwara. Kampeni hii inalenga kuwasaidia wananchi kupata uelewa wa masuala mbalimbali ya kisheria, kuongeza haki...
  2. Megalodon

    Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

    Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi! Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la JPM kutaka kuongeza muda wa Utawala, kwanini tunaruhusu la Samia kupita bila chujio? Tena kwa ajenda...
  3. Pdidy

    KWA SGR HII DAR MORO DOM MH MAMA SAMIA MI 5 TENA KURA YANGU UNAYO MAMA

    NIlikuwa nasikia tu na kuona kwenye TV aisee MH mama SAMIA kwa treni hii niliyopanda dar n Moro baadae Moro Dom MH mama una mi 5 Tena inakusubiria MUNGU akupe uhai na upendo WA kuendelea kuwatumiikia wananchiiiiba KUIPENDA nchi yetu Wacha wale wahuni waumizane kugombea uenyekiti Sisi...
  4. cleokippo

    DOKEZO Serikali imulikeni Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema pesa zinazotokana na 10% ya mapato ya ndani

    Kumekuwa na simtofaham kuhusiana na pesa zinatolewa na serikali kwa ajili ya kuinua uchumi wa vijana, akina mama , wazee na walemavu katika halmashaur ya wilaya ya Sengerema. Awali kulikuwa na tetes ya kwamba pesa hizo zingetoka kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa lakini mpaka sasa hivi...
  5. Kalamu Nzito

    Mama Samia anafungua nchi

    Nchini Tanzania, hapo kale mtu alihofiwa kufa kwa; 1. AJALI 2. MAGONJWA Sasahivi orodha imeongezeka kidogo 1. AJALI 2. KUTEKWA 3. NJAA (Maisha magumu mno) 4. MAGONJWA Mama Samia anafungua nchi😁
  6. milele amina

    Madaktari Bingwa wanaojiita Madaktari wa Mama Samia, huduma zenu na matangazo yenu yana ukakasi

    Habarini ya Asubuhi Wana Moshi Kila asubuhi, jiji la Moshi linapokea wingu la matumaini na changamoto. Hii ni kutokana na tangazo la hivi karibuni la madaktari bingwa lililotolewa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Wengi walidhani kwamba tangazo hilo lilikuwa ni hatua ya kuleta afueni kwa...
  7. sonofobia

    Napendekeza tumpe tuzo ya demokrasia Mama Samia: Kama alivyofanya BAWACHA

    Kama ambavyo taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zimemtunuku tuzo mbalimbali Mama Samia kwa kusimamia demokrasia na siasa safi. Ikiwemo tuzo pekee kuwai kutolewa na chama cha siasa kwa rais aliyepo madarakani. Maarufu kama tuzo ya Mbowe. Sisi JF tuunge mkono juhudi za Mama Samia...
  8. Tajiri Tanzanite

    Hizi tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ni kuichafua na kupanda mbegu ya chuki kwa mashabiki wa Simba dhidi ya Serikali

    Hapo vip! Unajua kujitoa ufahamu kwa kiongozi au uongozi yeyote kwa kuichukia Simba na kufanya vitendo vya chuki na vyakibaguzi ni kuichonganisha na kupanda mbegu za chuki baina ya uongozi wa awamu husika na mashabiki wa Simba ambao ni zaidi ya millioni 40. Niwambie viongozi wanapo iyona...
  9. Mzalendo Uchwara

    Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani

    Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar. Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya...
  10. M

    Hongera Mama Samia, Kwa kuwezesha Kutinga Afcon

    Kiukweli ushindi wa Leo bila mashabiki ungekuwa mgumu sana, wachezaji wamejitoa baada ya watanzania wengi kuingia uwanjani. Naishukuru sana serikali ya CCM ikiongozwa na Dk. Samia Suluhu Kwa kutuwezesha watanzania masikini kuweza kuingia uwanjani na kuwapa saport wachezaji wetu. Lastly...
  11. B

    Maafa ya kariakoo Rais hapaswi kulaumiwa

    Mambo vp wakuu.. Nimekuwa nikifatilia nyuzi nyingi humu pia hata mitandao mingine. Watu wengi wamekuwa wakimlaumu sana Raisi wa nchi.. Lawama nyingi zikiwa ni kwanini Raisi asafiri wakati Kuna maafa nchini kwake?? Kariakoo waziri mkuu alienda na kutoa maagizo .. sasa Raisi afate Nini?? Je...
  12. H

    Pre GE2025 Tundu Lissu ndiye Rais ajaye baada ya Rais Samia

    Kila ninapomtazama TAL na aliyoyapitia na anayoyapitia sasa hivi naona miaka si mingi anakuja kuwa President wa Jamhuri hii . Sina tangible reasons msije kunikaba lakini kuna vitu katika dunia hutokea tu ili kuwaonesha wanadamu kuwa yupo mpangaji wa mambo tofauti na vile tunavyojiaminisha kuwa...
  13. L

    Rais Samia awatakia heri wanafunzi wa Kidato cha Nne wanaoanza mitihani yao leo Novemba 11, 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewatakia heri wanafunzi wote kidato cha nne Nchini kwote wanaoanza mitihani yao hii leo. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa...
  14. T

    Mnaoshangilia anguko la Kamala kwa sababu ya uswahiba wake na Rais Samia aidha hamjui Trump vizuri au mnajihadaa makusudi

    Barua Ya Kabla ya yote Jasusi anawaomba radhi kwa ubashiri wake kwamba Kamala Harris angeshinda urais wa Marekani kwenda fyongo. Waungwana wakikosea huomba msamaha badala ya kukimbilia kutoa visingizio, au kuhalalisha makosa yao. Jasusi anawashukuru mamia - pengine maelfu - mliomsihi afanya...
  15. Terrible Teen

    Rais Mwinyi ziarani China, Rais Samia ziarani Cuba

    Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili...
  16. Black Legend

    Rais Samia achungulie riba za mabenki, hali ni mbaya

    Leo katika pita zangu huko kwenye ESS, Daaaah, ni hatari saana. Mabenki yanashindana tu kupandisha riba za mikopo ambayo ni kimbilio la watumishi wavuja Jasho wa nchi hii. CRDB, NMB, NBC, nk,riba na mikopo yao imekuwa MIKOPO KAUSHA DAMU. Mlio karibu na Rais Samia jaribuni kumstua kuwa hali ni...
  17. Jidu La Mabambasi

    Rais Samia chukua tahadhari kusuasua kwa TANROADS, utalaumiwa binafsi

    MODS naomba msiuunganishe mada hii na nyingine. Mimi mmoja wa waathirika moja kwa moja wa kusuasua kwa TANROADS, na amana yangu inaelekea kuuzwa na benki kutokana na TANROADS kushindwa kutulipa. Hali ya kusuasua na kuelekea kufa kwa TANROADS ni hali ambao haijawahi kutokea toka Taasisi hii...
  18. Tman900

    Hivi kwanini tunamuita Mama Samia na sio Rais Samia Suluhu?

    Jana Tarehe 2.10.2024, Nilikua naongea Sehemu. Kuna kitu nilikua sijui ikabidi niulize nasikia mara nyingi Rais anaitwa Mama Samia. Anamtoto anaitwa Samia? Wakaja wajuzi wakaniambia Samia ni Jina lake. Kwa mtazamo wangu, kwani Tukimuita Rais MH: Samia Suluhu vipi haitoshi au uchawa ndo...
  19. Shooter Again

    RAIS WANGU MAMA SAMIA NI BORA SANA MAAFISA UBASHIRI KURA YETU UNAYo

    Jana nimetengeneza million 45 aisee namshukuru sana raisi Kwa kutofungia hizi kampuni za betting licha ya wajinga Fulani ambao mambo yamekua magumu kwao kwenye hii sekta ya maafisa ubashiri kukushauri ufunge kumbe hii sekta Ina watu wake ambao ni sisi sababu zinatubadilishia maisha sisi watoto...
  20. Nigrastratatract nerve

    Mama Samia vilabu vya Simba na Yanga vipe sapoti mwaka kesho wasajili wachezaji wa viwango vya hali ya juu utanishukuru nakuambia

    Mama Samia wewe na wanasiasa wenzako endeleeni kubanana hivyo hivyo huku ukiendelea sisi wananchi tupe zindiko tu la kusapoti vilabu vyetu vya Simba na Yanga tupate burudani ya mpira na nyie muendelee kufinyana huko na kutembelea magari yenu ya kifahari. Soma Pia: Rais Samia kununua kila goli...
Back
Top Bottom