Kwanini watu hawasemi ukweli kuwa Samia hakubaliki Bali wanapiga propaganda tu?
Kuanzia masokoni, vijiwe vya kahawa,mitaani ,maofisini mama hakubaliki ,shida ni nini jamani?
Juzi tukiwa ofisini karibu staff members Kama 15 ,ikawashwa redio ,mama alikuwa anahutubia ,sijui ni Tabora hiyo, aisee...