Nikupongeze kwa dhati mama Samia kwa kuongoza vema kwa huu mwaka mmoja.
Haikuwa rahisi, lakini kilichokuwa kinatusononesha wengi ni ile state of fear na uncertainities.
Tulikuwa tunaishi kila siku ikijitegemea, hujui kesho litaibuka lipi.
Vyombo vya serikali vilipewa mamlaka ya kufanya lolote...