Wasoma uzi huu najua wengine watadhani nimepata uchizi kwa sababu wazo la mtu asiye kitu halithaminiwi.
Mwanzo wa kupatikana kwake (Samia) na kufika nafasi alilipo mimi naiita ni miujia mitupu nathubutu kusema Mungu alimuandaa na akaitengeneza njia, amejitanabahisha katikanamna mbalimbali huku...