mama yake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Kumlazimisha mtu kutoa sadaka ya shukrani kwa kufiwa na mama yake aliemuuguza miaka 10 kwa cancer na stroke yenye mateso makali sio sawa

    Habari wadau Kuna familia imepata msiba wa mama yao. Mama huyo amefariki kwa mateso makali ya kuugua kwa zaidi ya miaka 10. Mama huyo alikuwa na cancer na Stroke pia. Familia imeuza mali zao karibu zote katika harakati za kumtibia mama yao na mateso ya kisaikolojia ya kuuguza wamepitia sana...
  2. GENTAMYCINE

    Kama Mama yake Diamond ana hizi tabia kwa kile Wapenzi wa Mwanae ambao Mama wakwe wengine wanazo tusahau Diamond kuja Kuoa

    Katika Ukurasa wa Mtandao wa NIVURUGENIKUVURUGE kuna Taarifa pamoja na Video ya Mzungumzaji akisema kuwa karibia Wanawake wote ambao Diamond anakuwa nao Kimahusiano huwa wanashindwana na hata Yeye kuwaacha kupitia sababu zifuatazo za Mama yake na kwamba Zuchu anazivumilia tu kwakuwa analazimisha...
  3. Mkalukungone mwamba

    Shinyanga: Mbaroni akidaiwa kumuua mama yake mzazi na kufika mwili shambani

    Polisi Mkoa wa Shinyanga limefukua mwili wa Asha Mayenga (62), mkazi wa Lugela, Kata ya Nyamhanga, Manispaa ya Kahama uliofukiwa shambani, baada ya kutoweka kwa siku tano. Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa, Januari 17, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi, amesema mwili...
  4. Tajiri Sinabay

    Wakati unachagua mke wa kuoa mtazame pia mama yake

    Salamu wakuu, Ikiwa utaamua kuoa kwa lengo la kuishi na mwanamke hadi mauti yawatenganishe usipuuze huu ushauri. Ushauri huu nautowa kwa wale ambao tayari wameyapatia maisha kwa wewe kijana masikini na unaejitafuta Kama mimi acha kabisa kusoma huu uzi, kwa sababu wewe ndoa haikufai, tena kaa...
  5. Waufukweni

    Golikipa afariki kwa kupigwa risasi akiamulia ugomvi wa mama yake

    Tukio la kusikitisha lililotokea Desemba 25 mwaka huu siku ya sherehe za Krismasi, linamuhusisha mwanasoka mdogo mwenye umri wa miaka 14, Geral Froste kupigwa risasi na kufariki. Imeripotiwa kwamba, risasi iliyokatisha ndoto za Geral Froste, ambaye alikuwa golikipa wa timu ya Montevideo City...
  6. Brojust

    Hela bwana! Beyonce ndio kwanza anakuwa mwali

    Hivi kwa sisi ambao tayati tumefika miaka 38 bado tunajitafuta na tunaonekana kama wazee, Hivi kama ukitoboa labda na miaka 45. Unaweza ukarudi kuwa kijana kabisa ukisingatia diet, mazoezi na vinginevyo ? Au Wenzetu wanaanza hayo mambo wakiwa na miaka 20.
  7. lord atkin

    Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

    Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema. Ameeleza kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha CHADEMA aliyempatia ushahidi wa kina kuhusiana na...
  8. King Jody

    Video: Jamaa atandikwa viboko kwa kosa la kumpiga mama yake mzazi.

    Huko Kilimanjaro ukifaya kosa utapigwa viboko vya kutosha mbele ya mama yako, mkeo, watoto wako na jamii kwa ujumla, ili iwe fundisho.
  9. RUSTEM PASHA

    Abdul ananufaika na nini kupigania Lissu alipwe, mpaka kumfuata Tegeta? Mtoto wa Rais anapigania pesa za mkosoaji mkuu wa mama yake?

    Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama yake Lissu alipwe pesa zake. Inawezekana Abdul ni mtu mwema sana kwa viongozi wa upinzani kuliko...
  10. M

    STORI YANGU; Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na Mama yake!

    Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake. Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
  11. Makonde plateu

    Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na mama yake

    Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake. Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
  12. Mr Why

    Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

    Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake Tazama Video hizi kwa utulivu
  13. Rahidin73

    Mwanamke anaweza kataa kudate na mwanaume anayeishi kwa mama yake....

    Mwanamke anaweza kataa kudate na Mwanaume anayeishi kwa Mama yake, Lakini yuko tayari kudate na Mwanaume anayeishi na mke wake.
  14. Nyamwi255

    Mwenye Mama amheshimu sana

    Na kama ameshatangulia mbele ya haki, basi isipite siku bila kumuombea Dua. Ni hayo tu kwa Leo.
  15. Yoda

    Kwanini zamani mtu alikuwa akitukaniwa mama yake inakuwa ugomvi mkubwa sana?

    Zamani nilikuwa naona watu wakigombana halafu mmojawapo akimtukana mama wa mwenzake ugomvi unakuwa mkubwa zaidi kama njiti ya kiberiti imetupiwa kwenye petrol, Yani hata kama ugomvi ulikuwa unaelekea kutulia hapo utaanza upya na kuwa na vurugu kubwa zaidi, aliyetukanwa mara nyingi atakuwa...
  16. Pdidy

    FBI Wamekutana na mshtuko mali zote za PDidy zimeandikwa jina ka mama yake

    Miaka ile ya 90 wakati Bad Boys wakiwa juu, juu karibu na mawingu kabisa, kulikuwa na mwamba wa kuitwa Mase. Huyu mchizi alikuwa mkali sana kwenye kuimba, ni moto mkubwa sana. Alikuwa mshikaji sana na Diddy, yaani naye alikuwa ndani ya Bad Boys, aliona kila aina ya uchafu, aliona kila aina ya...
  17. C

    Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

    Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula amepoteza hamu ya kula hali, muda mwingine unakuwa unashindwa ununue nini Ili ale Nitumie mbinu gani...
  18. Hypersonic WMD

    Je, Baba yake Kaguta Museveni alikuwa ni Mtwaa/ Batwaa wakati mama yake alikuwa mtusi?

    Wakuu wapenda historia na investigative history! Je ni kweli Yoweri Museveni baba yake alitokea kwa abatwaa na mama yake alikuwa mtusi? Kama ni kweli je kwanini hawasaidii watwaa wenzie wanaokufa au waliokaribu kutoweka duniani kwa sababu ya kutengwa na kubaguliwa kiuchumi, elimu kijamii na...
  19. Kaka yake shetani

    Abduli ni nani ndani ya serikali ya mama yake.

    Kuna mambo naona hata wenye mama tunaona kama ukiwa mtoto wa kiume basi mama hukupa majukumu akifikiri unamuongoza. Tumeona Bangladesh huko waziri wa huko kumbe ni mambo ya mtoto wake mpaka kupinduliwa. Sasa hapa unawezaje kumwambie afande awadhi wewe utakuwa IGP kisa mama yako ni raisi...
  20. Mshamba wa kusini

    Nimechoshwa na toto langu la kiume wivu umezidi kwa mama yake

    Yani huyu wakuja kabla hajaja mimi na mama yake tulikuwa tunaishi vizuri Kidume nilikuwa nalala mapajani, nafanyiwa scrub mwili mzima na kukumbatiwa muda mote Lakini ghafla toka huyu jamaa azaliwe hivi sasa ana miaka mitatu na nusu jamaa lina wivu kutwa kucha kunipiga makofi likinikuta na mama...
Back
Top Bottom