mama yake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Mahakama yamuhukumu miaka 30 jela kwa kumbaka mama yake. Mtuhumiwa na mdhamini wake hawajulikani walipo

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu mfanyabiashara, Kaloli Mkusa kifungo cha miaka 30 jela na fidia ya shilingi milioni moja baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mama yake mzazi. Hata hivyo mfanyabiashara huyo mwenye umri wa miaka 30 pamoja na baba yake Joseph Mkusa ambaye alimuwekea...
  2. L

    Kutana na mchezaji wa Gabon aliyezaliwa 1990 mama yake alifariki 1986

    Mchezaji huyo ana kesi CAF kutoa ufafanuzi kuhusu umri wake
  3. JanguKamaJangu

    Mtoto wa miaka minne aiba gari la mama yake aingia nalo mtaani

    Mtoto mwenye umri wa miaka minne amenusurika kuumia baada ya kupata ajali ya gari alilokuwa akiendesha mtaani bila ruhusa kutoka kwa wazazi wake Nchini Uholanzi. Polisi wa Kituo cha Utrecht wamesema mtoto huyo akikwangua gari hilo katika maeneo mawili ya kuegesha magari baada ya hapo akaondoka...
  4. Suzy Elias

    Kumbe hata mama yake Zitto ni kilema?!

    Sikufahamu kwalo! "...huyu Zitto hapaswi kabisa kucheka kilema cha mtu ukizingatia hata mama yake ni kilema tena cha kuchovya!" Mdau. Ndugu zangu tuwiwe na kiasi huku tukikumbuka hujafa hujaumbika.
  5. Sky Eclat

    Jamaa anamwambia mkewe arudi tumboni kwa mama yake kama hana future

    Ilikua hivi, alimchumbia akiwa mwanafunzi, ahadi kibao walipeana mpaka ndoto ilipotimia ya jamaa kupeleka posa na kukipa mahari. Mke alielewa hali ya jamaa na alihamia baada ya hatua za mahari kukamilika. Sasa anataka kusimea mafunzo ya upishi kama ahadi zao walizoahidiana kabla ya ndoa. Mume...
  6. Equation x

    Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

    Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya. Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani yetu. Wakati huo, hao wakaka walikuwa na miaka 25 hivi kwa kukadiria. Walikuwa warefu, wamejazia, na...
  7. Myebusi Mweusi

    Nina watoto sita, kila mtoto na mama yake, sitaki mama zao wawe "single mothers", nawezaje kuishi nao wote?

    Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti. Je nifanyeje niwa convince 😋 niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wote pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja. Niwafundishe maadili...
  8. Nyendo

    Mwanamke mmoja aligundua mama yake mzazi anatoka kimapenzi na aliyekuwa mme wake

    Mwanamke mmoja nchini Kenya aitwaye Martha Wanjiku, ameeleza kisa chake, baada ya kubaini mama yake mzazi amekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na aliyekuwa mume wake kwa zaidi ya miaka 25. Martha ameeleza kwamba aliolewa na mwanaume huyo na ndoa yao ilidumu kwa miaka miwili pekee na ilipofika...
  9. John Haramba

    Moshi: Anayetuhumiwa kumuua mama yake kwa panga afikishwa mahakamani

    Washitakiwa watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi leo Jumatano Februari 23, 2022 wakikabiliwa na mashtaka ya kumuua Patricia Ibreack Paul (66) mkazi wa Rau mjini Moshi Kisha kuuzika mwili wake kwenye shimo nje ya makazi yake. Washitakiwa hao ni Wendy Mrema ambaye ni...
  10. Analogia Malenga

    Kigoma: Mbaroni kwa kumuua mama yake mzazi

    Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linamshikilia kijana Helman Jonh (23) kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi Selina William (63). Akizungumza leo Jumanne Februari Mosi 2022 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, James Manyama amesema kuwa kijana huyo alikuwa akimdai mama yake Sh300, 000. Amesema tukio...
  11. Sky Eclat

    Mama yake ameshafariki ndugu wanamsubiri ajenge choo

    Rafiki yangu ni mtoto wa pekee kwa mama yake. Mama yake ni mwenyeji wa Mtwara. Alikua mfanyabiashara na mzigo aliufuata Kariakoo. Katika mahangaiko ya kukusanya mzigo alikutana na mfanyabiashara kutoka Kaskazini. Walianza mahusiano kwakua mama alikua single. Mzee alikua na familia yake na...
  12. T

    Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    MOSHI: BINTI AMUUA MAMA YAKE MZAZI ILI ARITHI MALI, MWILI WAGUNDULIWA BAADA YA MWAKA MMOJA • Meya Juma Raibu ashindwa kujizua amwaga machozi na kulaani vikali, awaasa vijana kuacha tamaa na starehe •Meya Raibu ampongeza Rpc Kilimanjaro ACP Simon Maigwa na timu Yake Kuendelea Kusikiliza Na...
  13. Analogia Malenga

    Kenya: Jamaa ambaka mama yake mwenye miaka 90

    Patrick Mumo(45) anatafutwa na polisi wa kaunti ya Makueni, Kenya kwa tuhuma za kumbaka mama yake mwenye miaka 90. Kijana huyo alifanya unyama huo na kukimbia ambapo mama huyo aligundulika na mwanae mdogo alipokuwa akilalamika kuwa na maumivu ya kiuno. Akisimulia tukio hilo amesema Patrick...
  14. D

    Kipi kiliwafanya wahenga kutunga misemo kama hii "Asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu"

    Kuna wakati nashawishika kuamini hata bibilia huenda iliandikwa kwa utaratibu kama huu wa wahenga! Mfano misemo hii ingekuwa na majina ya wahenga ingeleta maana ileile ya kibiblia! Mhenga 1:1 Mtoto umuleavyo ndivyo akuavyo Mhenga 1:2 Asiyesikia la mkuu huvunjika guu Mhenga 1:3 Asiyefunzwa na...
  15. beth

    Dar: Kijana mbaroni kwa kumuua mama yake mzazi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linamshikilia Julius Mzava (26) Mkazi wa eneo la usalama Chang’ombe Wilaya ya Temeke kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi aliyefahamika kwa jina la Magdalena Peter (56) kwa kumchoma kisu sehemu ya mwili wake. Tukio hili limetokea tarehe 08/10/2021...
  16. YEHODAYA

    Mzungu aliyegoma kurudi Ulaya ili amtunze mama yake mzazi

    Wakati watu hupenda kwenda Ulaya huyu mzungu mbelgiji hataki kwenda Ulaya kisa anatunza mama yake
  17. Suley2019

    Njombe: Mtoto adaiwa kumuua mama yake mzazi kisa mali

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Emma Mfikwa umri (43) ameuawa kikatili kwa vitu vyenye ncha kali na mtoto wake wa kumzaa kutokana na kile kinachodaiwa ni migogoro ya kifamilia iliyotokana na kugombania mali. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Julai 27, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
  18. tyc

    Kilimanjaro: Binti adaiwa kumuua mama yake kisha kumng’oa macho

    Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Kindi Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro anadaiwa kumuua mama yake mzazi, Marietha Mushi (62) kwa kumnyonga na shuka, kisha kumpiga na kitu kizito kichwani na kumng’oa macho. Habari zinaeleza kuwa mama huyo alikuwa na ulemavu wa mkono jambo...
  19. N

    Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

    Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah. Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka...
Back
Top Bottom