Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu.
Kama hela ipo kuzaa mapema raha sana.. wote wamezaa wakiwa early 20s.
🚨🇵🇹 Je wajua kuwa Cristiano Ronaldo hakutakiwa kuzaliwa Na mama yake ?
Alipogundua kuwa ni mjamzito alienda kwa Daktari kwa ajili ya kutoa mimba, kwa sababu familia yao ilikuwa masikini kiasi kwamba hawakuruhusu wapate mtoto mwingine.
"Nilipokwenda kwa daktari, niliona kwamba skuweza hata...
Mamlaka Kusini mwa California Alhamisi ilimkamata mwimbaji Sean Kingston, ambaye jina lake halisi ni Kisean Anderson, kwa makosa mengi ya ulaghai na wizi kwa hati ya kutoka Florida. Kukamatwa kwake kulifuatia uvamizi katika nyumba yake ya Kusini mwa Florida mapema siku ambayo pia ilishuhudia...
Ndugu zangu Watanzania,
Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la kugusa hisia za watu na ambalo liliteka hisia za watu wengi sana mitandaoni na DUNIA nzima kwa ujumla...
Wadau hamjamboni nyote?
Pichani Aziz Ki ni mchezaji bora, anayeogopewa zaidi na mabeki wengi na ndiye aghali zaidi nchini Tanzania na Afrika mashariki Stephan Aziz Ki akiwa na mamake Mzazi
Aziz Ki anachezea Klabu ya Yanga ambayo inaongoza ligi kuu ya NBC huku inatarajia kutetea huo kwa...
Amezaliwa Louisiana, USA mwaka 1991, Alifungwa Jela kwa kumuuwa Mama yake Dee Dee Blanchard mwaka 2016 kwa msaada wa mchumba wake Nick Godejohn.
Gypsy( Binti) na Nick walikutana mtaandaoni kwenye dating site na aliweza kumshawishi wasadiane kumuuwa mama yake kwa sababu alikuwa akimdanganya...
Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu
Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh
Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa...
Tunaweza kusema kuwa Harmonize ni moja kati ya wasanii wanaomuenzi mchezaji machachari wa PSG Achraf Hakimi kwenye harakati za kukwepa kuibiwa mali na Wanawake wa mjini.
Range Rover ya Msanii Harmonize kwenye Registration number jina linasoma Habiba Chivalavala, hilo jina sio la mtu mwengine...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kijana mmoja kutoka Arusha ajulikanaye kwa jina la Idrisa Baltazari (30) amefanikiwa kumuua mpenzi wa mama yake aitwaye Manzi Yambayamba (34) kwa sababu za wivu wa kimapenzi.
Habari kamili kutoka eneo la tukio zinadai kuwa kijana huyu pia...
MUHIMU: NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO, SWALI NI YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ?
Hata mama yake Yesu alitolewa posa na Yusufu akiwa nyumbani kwao na akahamia kwa Yusufu akiwa na miaka 14...
Habari zenu wakuu, kuna jambo lilikuwa likiniacha njia panda sana,
Kuna binamu yangu umri wake kwa sasa ni 33 to 34 hajaowa mpaka sasa na amekuwa akipambana kujiweka sawa kiuchumi na huku akitafuta mwenza wa maisha yake.
Baba yake mzazi amekuwa akimshauri mwanae umri umekwenda na muda...
Bibi harusi mtarajiwa, Rehema Chao (37) na mama yake mzazi, Agness Chao (75) wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum kugonga lori.
Ajali hiyo iliyotokea baada ya Rehema aliyekuwa dereva wa gari hilo kukwepa shimo na kugongana na lori, pia imesababisha kifo cha...
Ameandika Dr. Sisimizi
Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame.
Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
alphonce mawazo
kitu
kujifunza
maajabu
maisha
makamanda
mamayake
marehemu
mashaka
mawazo
mbowe
miezi mitatu
paul makonda
siasa
umasikini
wakuu
wanachadema
wao
ziwa
Bado sijafahamu sababu hasa za Wanasiasa kujazana kwenye Msiba wa Bibi yule, ambaye yeye mwenyewe hakuwa Mwanasiasa.
Bali nadhani uwepo wa Mtoto wake, mpigania haki Emmaus Bandekile Mwamakula yaweza kuwa chanzo cha kujazana kwa wanasiasa kwenye msiba huo wa mkulima mdogo wa Kijiji cha Itunge...
Kwa niaba yangu Mwenyewe na kwa niaba ya Wapenda haki wote wa Tanzania, natoa Pole kwa Baba Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwa kupoteza Mama yake Mzazi.
Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu. Amina
Muuguzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mawengi Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, Ubatizo Sanga mwenye umri wa miaka 55 amefariki baada ya kupigwa na mchi wa kinu kichwani na baadaye kubakwa na Mtoto wake Asifiwe Haule mwenye umri wa miaka 25.
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva...
Serikali imeondoa walinzi wa aliyekuwa Mke wa Rais Mama Ngina Kenyatta katika nyumba yake ya Gatundu na Muthaiga.
Kulingana na maafisa, Mama Ngina, ambaye pia ni mamake Rais wa zamani Uhuru Kenyatta, maafisa wake wa ulinzi waliondolewa jioni ya leo muda wa saa kumi na moja jioni huku maafisa wa...
Rapper Jay-Z's mother, Gloria Carter, has tied the knot with her long time partner, Roxanne Wilshire, in a star-studded wedding in New York.
Jay-Z and his celebrity wife Beyonce were among those witnessing the event that happened on Sunday night.
Hollywood celebrities in attendance included...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.