Najua kuna watu watakuja na mambo ya kizungu ya utafiti, sayansi, research, n.k lakini haya mambo ya asili yana upekee wake yaachwe kama yalivyo,,, mfano wa sisi tulioishi bush kidogo, kidole kikiingia funza, tiba asili ni kuchuma ndulele na kuivika kwenye kidole unapona fasta tu, ni tiba ya...