Unamuona huyo mwanamke ulienae kwenye mahusiano, ana nafasi ya kufanikiwa kwa haraka kimaisha kuliko wewe.
Wakati wewe unapambana mwenyewe hakuna anaekuja kukusaidia, hakuna anayejali kuhusu wewe, hata watu hawakupendi kwa sababu hauna thamani. Unaona unavyowekeza kwa mwanamke, inaweza kuwa...