mambo ya nje

  1. BARD AI

    Sudan Kusini: Rais Salva Kiir amfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje

    Mayiik Ayii Deng amefutwa kazi kupitia tangazo lilitolewa kupitia Runinga ya Taifa bila kuwepo kwa taarifa zaidi za sababu ya kuondolewa kwake. Waziri huyo ni mtu wa karibu wa Rais Kiir na amewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais. Kiir amechukua uamuzi huo ikiwa ni Wiki moja tangu amfute kazi...
  2. Pang Fung Mi

    Mamlaka ya uteuzi iwe makini na uteuzi wa Mawaziri wa maeneo haya

    Wasalaam JF, Nitoe rai na angalizo kwa maslahi mapana ya usalama, ulinzi yazingatiwe, vizazi na vizazi vya hao watu na iwe Mvua, iwe jua, iwe mbalamwezi iwe Giza totoro, kuchunguza muhimu sana, sina wivu na mtu bali kwa maslahi ya taifa, utaifa na uzalendo. Sio kila mtu ni wa kumpeleka wizara...
  3. Carlos The Jackal

    Wizara ya Mambo ya Nje Kimya, Wizara ya Habari kimya, Hivi hamjui Kimataifa huko Tanzania inaonekana kuna "Civil unrest"?

    Mnamuacha Mpaka Mkuu wa Majeshi ndio Aongee?? Kweli ?? Kweli kabisa?. Tukisema hamjui majukum yenu na kwambaz vyeo vyenu ni matokeo ya Baba zenu ,tunakosea??.
  4. L

    Waziri wa mambo ya nje wa China aanza ziara ya kwanza ya mwaka mpya barani Afrika, desturi ikidumu miaka 33 mfululizo

    Kuanzia tarehe 9 hadi 16 mwezi huu, waziri mpya wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang atafanya ziara nchini Ethiopia, Gabon, Angola, Benin, Misri, na pia kutembelea makao makuu ya Umoja wa Afrika na ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu. Hii sio tu ni ziara ya kwanza ya mambo ya nje ya Qin Gang akiwa...
  5. sinza pazuri

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amtaja Mbosso kama mmoja ya msanii wake bora 2022

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan akimshirikisha Diamond Platnumz aka Simba.
  6. Q

    TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro. === Balozi wa Tanzania...
  7. Shujaa Mwendazake

    Tanzia: Waziri wa mambo ya nje wa Belarus afariki ghafla

    Vladimir Makey mwenye umri wa miaka 64 alishikilia wadhifa huo tangu 2012 Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus Vladimir Makey, alifariki ghafla siku ya Jumamosi, shirika la habari la Belta limeripoti, likimnukuu msemaji wa wizara hiyo, Anatoly Glaz. Alikuwa ameshikilia nafasi yake kwa muongo...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia: Zipo Siasa za kuvutana baina ya Mafahari wa dunia na kutaka kuziburuza nchi za Afrika katika Migogoro yenye maslahi yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao kazi cha Mabalozi na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje leo tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar SEHEMU YA MAZUNGUNZO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MABALOZI WANAOWAKILISHA TANZANIA NJE...
  9. S

    Nini kimemsibu Mulamula?

    Mulamula ametumbuliwa. Maswali ni Mengi lkn yapo mawili makubwa yaliyoaibisha nchi yetu kimataifa, yamkini yamesabishwa na makosa ya balozi zetu (zilikuwa chini ya Mulamula) kushindwa kuratibu mambo vizuri? 1. Je, ni ile kadhia ya mama kupandishwa school bus kwenye mazishi ya malkia? 2. Je...
  10. Richard

    Uingereza kuwa na Mawaziri watatu wenye asili ya Afrika ambao wataongoza Wizara nyeti za nchi hiyo, Fedha, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani

    Waziri mkuu mpya wa Uingereza bi Liz Truss jioni hii ameanza kuunda baraza lake la mawaziri na bwana Kwasi Kwateng ameteuliwa kuwa waziri wa Fedha huku bwana James Cleverly akichukua nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje. Bi Suela Braverman ameteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani kuchukua nafasi...
  11. Roving Journalist

    Waziri wa Mambo ya Nje, Dkt. Stergomena awasili Msumbiji katika ziara ya siku 4

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewasili Maputo Nchini Msumbiji kwa ziara ya kikazi ya siku nne (4), ambapo amepokelewa na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Waziri wa Ulinzi wa Msumbiji, Cristovao Chume kabla ya kutembelea maeneo mbalimbali ya...
  12. MakinikiA

    Ujumbe kwa Afrika kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi

    Ujumbe ulikuwa hivi, unajua nyie waafrica yaani sisi kwamba tuna Tabia ya kimalayamalaya hivi hatuwezi tukawa na msimamo wa kusimama na mmoja ndio maana tulibaki mabubu kwenye kura kule UN, kwa hiyo tutumie rasili Mali zetu, tuachane na Tabia hiyo ili tusiwe tegemezi mfano alisema nyie mnaweza...
  13. MakinikiA

    Misri: Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi aanza ziara ya Afrika

    Leo yupo Egypt anena kwamba Afrika tujitambue tuweze kumaliza ukoloni mamboleo. ====== Egypt: Russian Foreign Minister Visits Cairo at Start of African Tour Sergei Lavrov The trip aims to ease Russia's diplomatic isolation amid the war on Ukraine. Lavrov was also meeting the secretary...
  14. Enkaly

    Waziri wa Hungary: Ulaya inajichanganya yenyewe kwenye nishati ya gesi

    Hungary imetuma wanadiplomasia wake Moscow kujadili masuala ya gasi na kukutana na mwenzie wa Urusi Sergei Lavlov. Hungarian Foreign Minister: Europe contradicts itself on gas Hungary's top diplomat visits Moscow to negotiate gas supplies despite EU bid to cut deliveries By Euronews with AFP...
  15. Lady Whistledown

    Vikwazo vya EU vyakwamisha ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi nchini Serbia

    Wizara ya Mambo ya Nje nchini humo, imethibitisha kuahirishwa kwa ziara ya Waziri Sergei Lavrov nchini Serbia kwa sababu ya majirani watatu wa Serbia (Bulgaria, Macedonia na Montenegro) kuzuia ndege yake kutumia anga yao. Serbia inadaiwa bado kuwa na mahusiano mazuri na Urusi licha ya nchi...
  16. meningitis

    Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

    Habari za Kazi wana JamiiForums, Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa taifa. Leo tarehe 11 April 2021 Mhe Samia anafanya ziara yake ya kwanza nje ya Tanzania na ziara hii...
  17. L

    Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana alikutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu Bibi Michelle Bachelet mjini Guangzhou, China. Wang Yi amemkaribisha Bachelet kwa ziara yake ya kwanza nchini China, akisema hii ni mara ya kwanza kwa...
  18. L

    Waziri wa Mambo ya Nje China: “Mkakati wa Indo Pasifiki” wa Marekani utashindwa tu

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amesema mpango wa Marekani uitwao “Mkakati wa Indo Pasifiki” utashindwa tu, kwani unasababisha jumuiya ya kimataifa kuwa na wasiwasi mkubwa na kuwa macho, hasa katika eneo la Asia-Pasifiki. Bw. Wang ameyasema hayo kwa wanahabari baada ya mkutano wake na...
  19. S

    Nani kamziba mdomo Waziri wa Mambo ya Nje Mulamula, kulingana na kauli ya ahadi aliyotoa mwenyewe kuhusu uraia pacha?

    Nimesema siku zote huwa siwaamini wanasiasa. NI mara chache sana mwanasiasa ataongea kitu nimwamini, na siku zote wanasiasa wenyewe wananipa sababu za kusimama katika msimamo wangu wa kutowaamini. Generaly speaking, wanasiasa ni watu waongo. Sasa leo sintasema mengi, bali nitwakumbusha tu...
  20. Lanlady

    Ni nini wajibu wa Mabalozi wa Nchi na Waziri wa Mambo ya Nje?

    Kwa sasa nchi inapitia kwenye wakati mgumu kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, mfumuko wa bei na milipuko ya magonjwa. Kiongozi mkuu wa nchi kila mara yuko nje ya ofisi. America, Zanzibar, Uganda nk. Je, kazi za mabalozi ni zipi? Je, safari hizo zina tija kwa taifa?
Back
Top Bottom