mambo ya nje

  1. S

    Kutokana na matamshi yake, Prof. Kabudi ataondolewa Wizara ya Mambo ya Nje kama ilivyokuwa kwa Mkurugenzi wa SSRA kutokana na issue ya Kikokotoo

    Kama ambavyo yule mama aliekuwa Mkurugenzi wa SSRA alivyoendolewa katika nafasi yake kutokana na issue ya kikokotoo, ndivyo hivyo Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi atavyoweza kuondolewa kwenye hiyo wizara kutokana na matamshi yake juu ya wabunge wa Bunge la Ulaya. Kama ambavyo sitaki...
  2. Securelens

    Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji kukutana na M/kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU kutoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji

    Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya...
  3. Lord denning

    Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
  4. Mystery

    Uteuzi wa mapema wa Prof. Kabudi, kama Waziri wa Mambo ya Nje ni kujiaandaa kwa ajili ya kesi iliyofunguliwa huko ICC?

    Nimeshangazwa sana na hatua ya Rais Magufuli kuteua mawaziri wawili pekee na kudai kuwa uteuzi wa wizara nyingine utafuata baadaye. Tulishuhudia katika kipindi chake cha awamu ya kwanza, akimaliza karibu miezi miwili bila kuteua waziri yeyote! Sasa nimekuwa nikijiuliza, kulikoni safari hii...
  5. Infantry Soldier

    Armenia - Azerbaijan Military and Political Turmoil: Wizara ya Mambo ya Nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio katika nchi hizo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Wizara ya mambo ya nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio Armenia pamoja na Azerbaijan? Kuna mapigano makubwa ya kijeshi yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo leo baina ya nchi hizo mbili...
  6. Jidu La Mabambasi

    Waziri na Wizara ya Mambo ya Nje wanashindwa majukumu yao: tit fot tat na Kenya

    Yanayoendelea katika mahusiano kati ya Kenya na Tanzania kwa sasa hivi hanasikitisha. Kenya ni jirani yetu na jirani ni ndugu. Hivyo basi, matukio matatu ya haraka haraka yaliyotokea yanatushangaza. Kwanza ndege ya ujumbe wa Kenya ili rudi au kurudishwa Nairobi hivi majuzi. Ndege hii ilikuwa...
  7. N

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ashutumu kushambuliwa kwa Mbowe, ataka uhuru wa siasa

    Msiyemtaka kaja yule naibu waziri wa mambo ya nje wa USA anayeshughulika Africa bwana TiBOR ambaye profesa wa majalalani kipindi fulani alienda kubembeleza na kulilia msaada ka strike again, anataka uhuru wa kufanya kazi za kisiasa jambo amabalo ni gumu kwa CCM mpya maana uwanja ukiwekwa sawa...
  8. B

    Prof. Kabudi: Rais amenituma kuwashukuru Watanzania kwa maombi, asema ameuona mkono wa Bwana

    May 24, 2020 Dar es Salaam, Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi amesema ametumwa na Mh. Rais John Magufuli kuwashukuru waTanzania wote kwa maombi yao kipindi hiki cha janga la corona. Prof. Palamagamba Kabudi akisoma ujumbe wa Rais unaosema alipoamua kutofunga nyumba za ibada wala kuifunga...
  9. Mtini

    Profesa Kabudi anatuongopea? Inasemekana Tanzania na Burundi ziliomba kutoshiriki mkutano wa EAC

    Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda, Dkt. Vincent Biruta amesema, Tanzania iliomba kutokushiriki mkutano wa EAC uliofanyika hivi karibuni. Burundi wao walisema hawatashiriki kwakuwa wana uchaguzi.
  10. I

    Profesa Kabudi hafai Wizara ya Mambo ya Nje

    Wizara ya mambo ya nje ni nyeti sana inahitaji kuongozwa na mtu smart mtu ambae anaweza kuiuza taswira nzuri ya nchi kwenye medani za kimataifa. Katika nyakati hizi ambapo utawala wa Dkt. Magufuli unayooshewa kidole na jumuiya ya kimataifa kuna haja sasa ya kuwa na waziri wa mambo ya nje smart...
  11. Ncha Kali

    Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

    Tumerudi kutoka Madagascar jana usiku ila hatujaja na dawa ya kuanza kugawa leo, tumekuja na dawa za kuanza utafiti na uchambuzi maabara, nimepokea simu nyingi, meseji WhatsApp Watu wanataka niwagaie, jamani sina dawa, sijaja na chupa za dawa”- Waziri Kabudi “Chupa tumepewa mbili tu (control)...
  12. Roving Journalist

    CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho Amesema uamuzi huo umekuja baada ya taarifa zake ndani ya chama kuonesha mwenendo wake kutoka mwaka 2014 kuwa amewahi kupata...
  13. F

    Ni Waziri gani wa Mambo ya Nje wa Marekani ni Maarufu kwa Watanzania kati ya hawa?

    1.Henry Kissinger 2.Madeline Albright 3.Christopher Warren 4.Collin Powell 5.Condolleezza Rice 6.John Kerry 7. Hillary Rodham Clinton 8.Rex Tillerson 9. Mike Pompeo Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzania na unadhani ni maarufu kwa lipi?
  14. N

    Taarifa ya msemaji wa wizara ya mambo ya nje USA: Tanzania ni lazima iheshimu haki za binadamu

    Hiyo hapo inajieleza yenyewe anaitwa Morgan Ortagus, kasema bashite kazuiliwa kuingia USA kwa sababu ya kukandamiza upinzani,haki ya kujieleza (alivyo hovyo bashite akashikia kidedea ka issue cha face swap cha Idris sultan na kusababisha nchi nzima tuchekwe mtandaoni). Mishowe msemaji huyo wa...
  15. G Sam

    Mjadala: Waziri wa mambo ya nje ya Marekani anamkuta Paul Makonda na hatia ya kuua watu! Kwanini anakumbatiwa sana na Rais Magufuli?

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambaye kimsingi ni moja ya viongozi wanaoheshimika sana duniani anaitangazia dunia kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda anadhulumu haki ya mtu kuishi ( Anaua watu) na dunia nzima inasambaza habari hizo. Ukija hapa Tanzania utaambiwa na...
  16. W

    Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiaano wa Kimataifa Profesa Palamagamba Kabudi amewaalika wenzake kadhaa wa Kiafrika na Nordic kwenye Mkutano wa Mawa

    Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Profesa Palamagamba Kabudi amewaalika wenzake kadhaa wa Kiafrika na Nordic kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Afrika-Nordic jijini Dar es salaam tarehe 8 Novemba, 2019. Mada ya mkutano wa mwaka huu Ushirikiano kwa maendeleo endelevu...
  17. Mwl.RCT

    Mkutano nchi za Afrika na NORDIC: Rais Magufuli awakaribisha wawekezaji kuwekeza nchini, kwa sababu kuna amani na ukuaji mzuri wa uchumi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Nchi za Afrika na NORDIC unaofanyika akatika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam. ===== HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWA UFUPI...
  18. Kaka Pekee

    Is Tanzania discarding Nyerere’s freedom-fighting legacy?

    Tanzania Palestine: Former Palestinian leader Yasser Arafat with Tanzania’s former President Julius Nyerere. Tanzania’s stance on Palestine suggests its history of fighting global injustice could be making way for a more pragmatic “economic diplomacy”. In November 2018, representatives of...
Back
Top Bottom