Wizara ya mambo ya nje ni nyeti sana inahitaji kuongozwa na mtu smart mtu ambae anaweza kuiuza taswira nzuri ya nchi kwenye medani za kimataifa.
Katika nyakati hizi ambapo utawala wa Dkt. Magufuli unayooshewa kidole na jumuiya ya kimataifa kuna haja sasa ya kuwa na waziri wa mambo ya nje smart...