mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Mambo ya Kuzingatia kabla haujafungua kesi

    Kitu nilichojifunza kwenye kufungua kesi. No.1 Hakikisha wewe mwenyewe una ushaidi ulioshiba bila kutegemea watu. No.2 Usiokote mawakili wa barabarani, tafuta mawakili kupitia watu wako wa karibu na pia usimtumie mwanasheria ambaye ana njaa ni rahisi kununulika akakufelisha. No.3 Ni ngumu...
  2. Mambo Muhimu Zaidi Kuhusu Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja JUNI 2024

    Land flipping (kununua na kuuza ardhi)ni mchakato wa kununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukiuza kwa bei ya juu baada ya muda mfupi ili kupata faida. Hii inaweza kufanyika kwa kuboresha ardhi kwa njia fulani. Njia za kuendeleza ardhi ni kama vile: ✓ Kuendeleza miundombinu, ✓ Kuomba...
  3. Siungi mkono haya mambo yanayomfanya na Manabii, Waziri wa mambo ya ndani chukua hatua.

    WAKUU Tusifanye masikhara huu mchezo unaofanyika pale Kawe na kule Kimara Temboni, haufai na hauna ustawi kwa afya ya Taifa letu. Na huwa ni nashangaa sana @Wizara Mambo ya ndani, wanalea na kutetea huu ujuha kwenye Taifa linalohitaji jitihada za ziada kujikwamua ili Wananchi wake waweze...
  4. Mambo 5 ya thamani kuliko mwili wa mwanamke

    Mpendwa Bachelor, Ikiwa sababu kuu ya kuwa mwanamke ni kwa sababu ana kifurushi kikubwa cha mbele aka Manchester united na kifurushi cha nyuma aka Arsenal, basi hauko kwenye MAPENZI. Haijalishi unafikiria nini, ikiwa unaona tu mali yake ya mwili basi UMEPOTEA katika TAMAA...
  5. W

    Hoja za African Supremacy waafrika kujisifia ni watu bora zaidi huwa zinanichekesha, ukweli ni kwamba tunashika mkia mambo mengi yena kwa kujitakia

    Tuna uwezo mkubwa kimiujiza, wajerumani wachache waliwaua babu zetu wengi sana waliochanjwa na kinjikitilengwale dawa ya kuzuia risasi. tuna tiba asili zenye nguvu - magonjwa, magonjwa kama malaria, kipindu pindu, ebola inamaliza waafrika wengi mno. Tunapendana, achilia mbali waafrika kuwa...
  6. Njia gani nzuri ili Tajiri ayachukulie kwa uzito mambo unayomshauri pengine huwa anayasahau kwa sababu ya ana mambo mengi

    Labda nielezee Kwa mfano ili nieleweke. Kwa mfano unafanya kazi katika kiwanda au kampuni na wewe ni kibarua tu means huonani sana na management ya juu na kila linaondelea juu hujui wala huhusiki tu kwenye mipango yoyote. Hujui uhusiano wao Kwa wao hujui wanayoyasema. Sasa nyie vibarua kuna...
  7. SoC04 Katika miaka 5-25 ya mabadiliko ya nchi na jamii ningependa kuona au kuchangia mambo yafuatayo ili kupata maendeleo yenye tija katika nchi yetu

    KWANZA AWALI YA YOTE NAMSHUKURU MUNGU KWA AMANI NA NEEMA ALIYOTUPA SISI KAMA TAIFA LAKINI YAFUATAYO NI MITAZAMIO YA MIAKA 5 HADI 25 NTAKAYOCHANGIA;- 1. Kulingana na mtazamo wangu miaka ijayo kutakuwa na ongezeko kubwa la watu na makazi hivyo kwa hiyo hatua inatupasa kama jamii tuzingatie hayo...
  8. M

    Mambo ya kuzingatia kwa wanawake waliopo kwenye ndoa kwa kizazi hiki

    1. Usikope bila mumeo kujua. 2. Kaa mbali na ma ex wako wa zamani ambao ulikuwa nao kabla ya ndoa. Futa mawasiliano yao ukiwezekana. 3. Rafiki au mgeni yeyote wa kiume asije nyumbani kwenu na ukaribishe ndani wakati mumeo hayupo.Hata kama ni rafiki wa mumeo. 4. Usiende kwenye nyumba ya...
  9. WAZIRI WA MAMBO YA MDANI

    Kama Mtanzania Mzalendo Ungependa Kumshauri Nini Muheshimiwa Hamad Masauni. Kuhusu Maswala Ya Utekaji Na Ukatili Ndani Ya Nchi?
  10. X

    Wanaume tukumbushane tu mambo machache tunapochagua mke wa ndoa

    Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kumfanya mwanamke kuwa mke wako wa ndoa. Kwa leo tuangazie matatu tu kwa kifupi ili tuendele na shughuli za ujenzi wa taifa. Iko hivi, unapotaka kuoa kwanza usijifikirie wewe tu, ni kweli chagua mwanamke ambaye anakuvutia lakini ukumbuke hujichagulii...
  11. Kama hauna mambo mengi, daka Mitsubishi i-MIEV electric car, hafu sahau gharama za mafuta!

    Wadau wa JF Garage. Kuna chuma, EV kutoka kampuni la Kijapan Mitsubishi inaenda kwa jina Mitsubishi i-MIEV (Mitsubishi innovative Electric Vehicle). Hii unaweza kuipata BEforward kwa bei kati ya Mil 5 hadi 6 na kuendelea, na kodi zake (kwenye calculators ya TRA haipo) nimeulizia ni Tsh Mil 3.5...
  12. Moja ya mambo yaliyonifanya nichukie awamu ya tano ni suala la utekaji. Hata kama wakosoaji ni wapumbavu basi usitumike upumbavu kukabiliana nao.

    MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Suleiman aliwahi kusema, Mhubiri 7:17 [17]Usiwe mwovu kupita kiasi; Wala usiwe mpumbavu; Kwani ufe kabla ya...
  13. Utafanyaje mkeo au mumeo au mzazi wako akiwa na mambo ya Kishirikina? Hivi ñdivyo utakavyofañya

    UTAFANYAJE MKEO AU MUMEO AU MZAZI WAKO AKIWA NA MAMBO YA KISHIRIKINA? Hivi ÑDIVYO UTAKAVYOFAÑYA. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli. Mtu yeyote ambaye haamini nguvu za Mungu huyo ni mshirikina. Mtu yeyote ambaye anaamini nusu kwa nusu ñguvu za Mungu huyo ni Mshirikina. Inaweza ikatokea...
  14. Moja ya mambo yanayoifanya Tanzania iwe nyuma kwenye Teknolojia

    Natanguliza shukulani kwa WanaJF maana mmekua mchango mkubwa sana kwa watanzania wengi kupata maarifa ya mambo mbalimbali hasa kuhusu Teknolojia Kama title inavyojieleza hapo juu na haya ni maoni yangu kuhusu nchi yangu pendwa Tanzania inavyo litazama jambo hili na jinsi ambavyo inashindwa...
  15. Mambo ya kuzingatia ili kupata msaada wa bure wa kisheria nchini Tanzania.

    Msaada wa kisheria ni jambo muhimu katika kuhakikisha upatikanaji sawa wa haki kwa wananchi wote wa jamii. Nchini Tanzania, Sheria ya Msaada wa Kisheria inatambua dhana ya “watu maskini,” ikirejelea wale ambao hawana uwezo wa kifedha wa kuajiri wakili binafsi. Watu hawa wanaweza kukabili...
  16. Ili TAIFA letu lipige hatua kimaendeleo, tunahitaji ku-focus kwenye mambo machache na kuyapa kipaumbele zaidi.

    Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Kwenye principle ya uchaguaji wa jambo flani katika mengi, maana yake umekubali kuyakosa hayo mengine. Kumbuka kuwa haimanishi hayo mengine huyahitaji ila imekubidi kuchagua jambo moja muhimu zaidi kwa wakati huo. Ukiangalia kwa umakini, utagundua...
  17. Ili TAIFA letu lipige hatua kimaendeleo, tunahitaji ku-focus kwenye mambo machache na kuyapa kipaumbele zaidi.

    Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Kwenye principle ya uchaguaji wa jambo flani katika mengi, maana yake umekubali kuyakosa hayo mengine. Kumbuka kuwa haimanishi hayo mengine huyahitaji ila imekubidi kuchagua jambo moja muhimu zaidi kwa wakati huo. Ukiangalia kwa umakini, utagundua...
  18. Ukiamka alfajiri sana mambo yanaenda vizuri

    Kuna faida kubwa sana kulala saa 3 kuamka saa tisa kupiga mazoezi na kufua muda huo na kufanya kazi zako tu nyingine. Tomorrow huanza bila kuchoka
  19. M

    Mambo za wakenya

    Aiseee🤣🤣😂
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…