Habari za muda huu, tena.
Leo nitaongelea na hili pia. Nina uzoefu mkubwa mno wa kuwa karibu na Watanzania wa hadhi mbali mbali, hivyo mengi nimeyaona na kuyafahamu.
Kwa Tanzania, hususani DSM(ingawa mpaka mikoani hii naona inaelekea), watu wanaishi kwa makundi na wengi hufanya vitu vya...