Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa.
Leo anakuwa na mwanaume huyu, baada ya muda mfupi kunatokea chokochoko, mwanaume anatimka zake...
Wakuu habari za muda huu
Poleni sana na mihangaiko wa kwuta nzima.
Natumaini baadhi yetu tumepata muda nzuri wa kupumzika na familia zetu.
Jambo au mambo ambayo napenda leo tuyajadili ni hili:
Wewe kama mwanaume au mwanamke katika kumaliza mazungumzo yenu je ni neno gani bora la kuagana kati...
Salaam Wakuu,
Leo turudi shule kidogo tujikumbushe aina mbalimbali za maneno katika lugha. Mada hii itaeleza kwa ufupi aina mbalimbali za meneno zilizopo halafu mada zijazo ntagusia aina moja moja kwa upana wake. twende kazi hapa chini:
Kabla hatujaenda kiundani kuelezea aina za maneno kwanza...
Bonde la kukata maneno ni nini?
Biblia inatuambia kuna wakati unafika hapa mbele yetu ambao Mungu atayaleta mataifa yote katika bonde lijulikanalo kama bonde la kukata maneno, biblia imeliita pia kama Bonde la Yehoshafau ukisoma kuanzia mstari wa 12. Yehoshafua maana yake ni...
Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha.
Rais Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo.
Katiba mpya haipo kwenye Ilani ya CCM na mgombea (Hayati Magufuli ) na mwenza wake (incumbet president)...
Duniani kote tatizo la ajira kwa vijana halijawahi kutatuliwa na vijana kujiajiri maana kujiajiri ni issue ngumu. Ukiangalia tatizo la ajira linahusisha makundi makuu mawili:
1. Waajiri (Serikali na sekta binafsi)
2. Waajiriwa (Vijana na makundi mengine)
Tuache kuchanganyana kila kundi lifanye...
Wakuu,
Hayo maneno niliyoweka hapo juu yanapatika kwenye Bibilia takatifu kitabu cha Mhubiri.
Mhu 7:16 SUV
Usiwe na haki kupita kiasi; Wala usijiongezee hekima mno; Kwani kujiangamiza mwenyewe?
Nini hasa maana yake?Je usipende kudai haki zako kupita kiasi ama usipende kutoa haki kupita kiasi...
Kwema wote?
Niende kwenye mazungumzo
Maneno ni kitu kinaumiza sana na kimebeba jumbe nyingi na uhalisia japo kuwa tunaambiwa tuzibe masikio au tufanye hatujasikia lakini niseme maneno kwa mtu anayesikia na ni muelewa lazima apate tafsiri na outcomes zote iwe positive au negative.
Mimi binafsi...
Kwa fasili ya harakaharaka
Utata katika maneno au katika matumizi ya lugha ni ile hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja
Mfano:maneno kama vile
📌Ua
📌Mbuzi
📌Chezewa
Mfano wa sentensi:
📌Mwenye kazi yeyote halali
Hapa maana ya kwanza ni kuwa mtu yeyote mwenye kazi huwa halali...
Mama akiongea jana na wana habari alikumbusha kuwa alikuwa pale kwa maongezi zaidi wala hakupenda iwe hotuba.
Mama alikuwa pale kubadilishana mawazo.
Mama ni mwana diplomasia mahiri. Anajua anachokitaka na anajua kukiwasilisha vyema. Mama anakijua kiswahili sawasawa. Mama anacheza na lugha...
Nampongeza kwa dhati Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuamua kuiweka Tanzania upya kwenye ramani ya nchi zinazosimamia na kulinda Utu.
Tangu ameingia madarakani siku 109 zilizopita amekuwa akikemea kwa wazi matendo ya aibu yanayofanywa na mamlaka za nchi hususani polisi na ofisi ya DPP bila...
Habari wadau
Mm ni mwajiriwa nafanya tender lakini mara kadhaa nimekutana na hayo maneno katika TENDER number lakini nimejaribu kugoogle nimeshindwa kupta abbreviations zake kwa anayejua maana zake naomba anielimishe ili kuongeza ufanisi wa kazi.
mfano ukiona tender imeandikwa ICB means...
Vijana mnaoanza maisha hakikisha ndoto yako inatimia mapema iwezekanavyo. Hawa wenza wetu wengi wamejaa maneno ya kukera na kukatisha tamaa sana. Niliwahi kupata demu yeye hataki nifanye mishe za kuingiza pesa (biashara) eti kwa sababu nakutana na wanawake.
Mara kadhaa wazazi wamekuwa wakiwaambia watoto wao maneno mbalimbali wakati wakiwa na furaha au hasira. Ipo nguvu kubwa kwenye maneno ya kutamkiwa ambayo wazazi wengi hawaifahamu.
Kwa hakika maneno yanaweza kujenga au kubomoa maisha ya mtoto kwa kiasi kikubwa. Hivyo fahamu maneno ambayo...
1. Idara (department) mfano idara ya usalama wa taifa
2. Kurugenzi mfano kurugenzi ya mawasiliano ikulu
3. Mamlaka (authority) mfano mamlaka ya bandari
5. Taasisi mfano taasisi ya elimu ya watu wazima
6. Tume mfano tume ya uchaguzi
7. Baraza mfano baraza la michezo
8. Wakala mfano wakala wa...
Good evening jamiiforums
Mnamo mwaka 2018 mwezi wa August niliwahi kuhoji usahihi wa kisarufi katika matumizi ya maneno "Tanzania" na "National" katika kuunda jina la uwanja wa taifa kwa lugha ya kiingereza uliosomeka kama "Tanzania National Main Stadium" kwenye lango kuu.
Soma Hapa>>>...
Hii naamini ni settings tu
Nataka Simu nikitype message kwa Kiswahili nataka yale maneno automatically yawe saved ili next time nikitumia hayohayo kwenye kitype nichague tu
Aina ya simu Redmi
Nisaidieni.
Wadau, kwa wale mliosikia huu wimbo, maneno hayo kweli yanafaa kutumiwa kwa wimbo unaopigiwa katika vituo kama vya radio, kwenye daladala na sehemu nyingine za public?
Binafsi maneno hayo naona yana ukakasi na hivyo nashauri huu wimbo upigwe marufuku na ufanyiwe marekebisho ndio uruhusiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.