"Vijana lazima wajue kuwa Chaguzi za Siku hizi nchini ni za hovyo na zimejaa Rushwa, Fujo na hakuna Haki halafu Viongozi hawapendi Kukosolewa na Wananchi ili wajitathmini na wabadilike. Suala la Katiba Mpya huenda likawa na Mashiko kwa wale wanayoitaka sana hivyo wasikilizwe"
Chanzo: Radio One...
Udhalilishaji kwa njia ya maneno unatokea pale ambapo Mzazi/Mlezi au Mtu aliye karibu na Mtoto anapotumia maneno yenye kumuumiza Mtoto Kihisia kwa nia ya kumuonya au kumdhibiti
Baadhi ya maneno yanayoweza kumdhalilisha Mtoto kwa kumuumiza hisia zake ni; Kumkemea au kumkaripia mbele ya hadhara...
- Uso kwa uso
-Huwezi Amini
-Atoboa siri
Watupiana maneno
Afichua mazito
Yani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y.
Pia picha zina editiwa ili kudanganya watu waminye hio video.
YouTube ni ajira, kuna mfumo wa malipo na hili lipo wazi kabisa, kwa...
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na watu kuwa dhana ya kwamba yeye ni msaliti. Amesema alifanyiwa fitna nyingi zilizopelekea yeye...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kupata ufafanuzi/maana na tofauti ya maneno haya ya Kiswahili:-
1. Kipaji
2. Kipawa
3. Karama
Natanguliza shukrani.
Kumekuwa na watu wengi tena wasomi na wengine ni viongozi wa serikali wanajua kwamba Ukisema mwanajeshi ni yule wa Jwtz ila ukisema askari ni wale wa mambo ya ndani yaani Magereza,polisi nk,,,,sasa twende pamoja uelimike na wewe uelimishe
Mwananajeshi ni muunganiko wa maneno mawili yaani...
Niko kwenye bus la Mwendamseke natoka Iringa kwenda Mafinga, kuna mzee sijui kaharibu nini alipokaa maana watu wamemkata jicho baya naye alipogundua wenzake wamekwazika akasema "...hee nyela, mpyanilage nde muyenyo guhumwike..."
Maneno haya yanamaana sawa kimantiki " Rais kafanya X " " Serikali imefanya Y " au " " Tumefanya Z " tumia lolote utakuwa sahihi tu.
Kunabaadhi ya wenzetu wameishiwa hoja hasa huku mitandaoni kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakipinga kwa nguvu zote kutumika kwa sentesi " Rais X kafanya...
SHEMEJI; MANENO YAKO YA DHIHAKA NIMEYASIKIA.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Kwanza nikuambie tuu hapa nilipo nina shahada ya juu kabisa katika Chuo Bora hapa NCHINI, Elimu yangu sio ya kubahatisha japo unaniona ninaishi maisha ya Ndege Kwa sasa lakini tambua CV yangu kielimu ni wachache...
Anaandika SAMSON MWIGAMBA
June 19, 2019
Zitto ajiandae kupambana na Maalim Seif, hana hadhi ya kupambana na JPM
QURAN Tukufu inasema alama za mnafiki ni tatu. Kwanza, akisema hasemi ukweli. Pili, akiaminiwa haaminiki. Na tatu, akiweka ahadi hatekelezi!
Nimekaa na kufanya kazi na wanasiasa...
Kwanza naomba niseme wazi kabisa
Mimi ni kati ya binadamu wanaochukia uonevu na unyonyaji wa binadamu mmoja dhidi ya mwingine. Ile hali ya kuhisi kwamba wewe ni bora na mtu wa maana kuliko wengine (Grandiosity and Megalomania) huwa inanifanya nichafukwe na nyongo sana. Mambo maovu kama ukoloni...
Kuna suala sijui la majengo 70 kila jimbo, sijajua lilianzia wapi lakini Spika wa Bunge Job Ndugai amesema Majimbo hayana tafsiri nzuri kuna majimbo yana kata mbili, huku mengine yakiwa na kata hadi 15. Pia idadi ya watu katika majimbo ni tofauti, kuna majimbo hata watu laki moja hawafiki...
Ugaidi, kwa maana yake pana ni matumizi haramu ya vurugu za kimakusudi kufikia malengo ya kisiasa, haswa dhidi ya raia serikali iliyopo madarakani.
Mbinu hii ya ugaidi Inatumika haswa kuleta vurugu wakati wa amani.
Maneno "kigaidi" na "ugaidi" yalitokea wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa mwishoni...
Nilikuwa nasubilia kwa hamu Sana nione timu inayosemwa iko vizuri msimu huu maana yanga ilipofungwa na zanaco kuna wajinga fulani fulani humu waliibuka na kuanza kutoa kila aina ya kejeli na maneno ya udaku, sasa tumewaona live hakika mtamkumbuka chama na mikson, mapengo yao yameonekana dhahiri...
MAKOLOKOLO YAO NIMEYAPATA KABLA YA WAO KUZINDUA
Shukrani zote ziwaendee majembe wangu majasusi waliopo katikati yao. Walijidai wana siri wakati najua kila kitu wanachofanya.
Sasa rafki yangu vunja bei badala ya kuzindua jersey unaleta sare za kwaya ya kijitonyama hahahaha
Wameweka adi happy...
Kama kichwa kinavyo jieleza, ningependa kujifahamu jinsi maneno haya yanavyo tumika katika lugha ya kiingereza
Katika kiswahili matumizi ya O-rejeshi (o,ye,lo,po,ko,mo,zo n.k) kama
ataka-ye- kuja
Ana-cho-pata
Wali-o-fika
Zili-zo-mo
Swali, Je?
O-rejeshi katika lugha ya kiingereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.