Mwaka 2010 chama chake cha zamani waliweka katika Ilani yao ya Uchaguzi kupinga posho ya kukaa Bungeni kama hatua ya kubana matumizi ya Serikali. Wakakubaliana kuwa wabunge wa chama chao (CHADEMA) hawatapokea posho ya kukaa (sitting allowance).
Hata hivyo, ilipokuja katika utekelezaji wenzake...
Habari Mh Rais!
Kuhusu kinachoendelea kwenye suala la milabaha kinachoonekana mahesabu take yametengenezwa katika mazingira ya kiupigaji na kizurumati ,
Kuna wasanii wakubwa sana wa zamani hawapo kwenye list na hiyo milabaha na wengine kupewa pesa kiduchu sana Sasa kwa inavyoonekana ni kama...
Lipi ni neno sahihi kwa matumizi.
Maneno kama Yuko na Yupo, Wapo na Wako, Sipo na Siko, Tupo na Tuko, Uko na Upo.
Baba yuko nyumbani au Baba yupo nyumbani.
Kesho sipo nitakwenda Moshi au Kesho siko nitakwenda Moshi.
Leo tupo Kanisa la Arusha Mjini au Leo tuko Kanisa la Arusha Mjini.
Kaka...
Kuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia.
Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia... “Mambo hubadilika, Usinene ukamara” Hii haijanitokea mimi nikuta twita
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!
Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton...
Kati ya mambo yanatufanya tuwe na uelewa mdogo ni kuona viongozi wanajipendekeza kupita kiasi.
Viongozi wasitumie maneno yafuatayo inapokopa.
1. Serikali ya Samia imekopa.
2. Rais amekopa.
Badaya yake watumie neno lifatalo ili kuleta ufanisi.
1. Nchi imekopa.
Kwanza natoa pongezi kwa uongozi wote wa awamu ya sita kwa jitihada kubwa inayofanywa hasa ya kuondoa ujinga kwa watoto wetu kwa kuwekeza nguvu kubwa kwenye kujenga shule na hospitali kila mahali kwa speed ya hali ya juu na kuendana na mahitaji na muda unaotakiwa, jambo ambalo limelazimika hadi...
Habari zenu ndugu zang, ama baada ya salam ningependa kuwaombea heri ya mwaka mpya. Ndugu watanzania wenzangu, historia yetu inatuambia kuwa baba wa Taifa mwl J.K. Nyerere aliiongoza nchi yetu kwa takriban miaka 20 na ushee.
Katika uongozi wake wa kipindi cha miaka tajwa hapo juu, mwl Nyerere...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ma GT, hivyo hatutataji majina na naomba usitaje jina lolote!.
Hatua ya kwanza ni sikiliza kauli hii
Hivi hata baada ya kauli kama hii, kama wewe ni mtu mzima na akili zako timamu, bado unasubiri nini to do the right thing, the needful?.
Swali ni jee tumshauri...
Baada ya kuona mwaka 2021 umemalizika, na muda mrefu sana sijajihusisha na mambo ya dini, nikatahayari sana.
Asubuhi mapema nikatafuta boksi langu ninalotunzia vitabu vyangu vya dini.
Nikapekuapekua, paap!, nikakutana na Biblia kubwa kabisa nyeusi nilipewaga na mama yangu.
Nikafumba macho...
UKIWA KIONGOZI WA UMMA CHUNGA NDIMI YAKO USIJE KUWA KITUKO KWA MANENO YAKO
Na Unoko ni Uzalendo
Ukiona mtu anaweweseka kwa sauti serikali kukopa muulize je yeye hana mkopo na kama anao Bondi ya huo mkopo ameiweka serikali au mali zake binafsi?
Kuna wakati tusijifanye tuna uzalendo wa hii...
Alikuwa akihojiwa na Dar24 na kuulizwa kuhusu minong'ono ya watu kuwa Magufuli huenda hakufariki kwa ugonjwa uliotajwa kweli na kuwa huenda aliuawa
Polepole akakwepa kujibu swali hilo na kusema mtu akishakufa yeye hamzungumzii tena (hata Rais wa nchi?)
Polepole ambaye alikua moja ya watu wa...
Mojawapo ni Star Tv pia YouTube channels zote na magazeti. Vyombo vingine vipelekewe taarifa ya tahadhari, hasa vinavyorusha matangazo ya wachungaji wahuni wahuni
Nina watoto wangu wawili mmoja ana umri miaka 17 mwengine miaka 15. Watoto hawa nimekua nikitumia nguvu nyingi sana kuzungumza nao, kuwa karibu nao na kuwaelekeza katika maadili sahihi na tabia njema za maisha bila mafanikio yeyote. Wananisikiliza kwa makini lakini baada ya hapo ni kama vile...
Naomba msaada kwa mwenye uelewa anisaidie (Kwa lugha rahisi) kuelezea maana na tofauti ya maneno haya (Akili, Nafsi na Roho). Ikiwezekana kwa mifano halisi au kama kuna vitabu au tovuti ambayo inaweza kuelezea kwa kina dhana hizi za Akili, Nafsi na Roho. Nimeyasikia maneno haya mara kadhaa...
Faraja ya maskini ni tajiri akipata masahibu.
Kuna kauli za maskini wanapotafutaga
faraja.
1.Utaondoka na kuziwacha.
2.Hata mbuyu ulianza kama mchicha
3. Leo kwangu kesho kwako.
4. Licha ya mihela yako bado unagongewa mke
Endelea.......
Bwana Nape nikukumbushe tu hii nchi sio ya CCM wala ya Baba yako! Unataka kuuamisha uma ya kuwa nje ya kundi unaloliona wewe basi CCM haipo wala nchi haitawaliki! CCM itapita lakini Tanzania itabakia na kitu kikubwa kukumbuka ni kuwa Taifa ni zaidi ya ukoo au kikundi. Unauhuru wa kutoa mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.