Salama wandugu
Nimemsikiliza Mwigulu akijieleza kuhusu tozo hakuna cha maana anachoeleza zaidi ya kumung'unya maneno
tulishasema ondoeni tozo siyo kuilemba lemba na kuipaka wanja ionekane kama asali wakati ni pilipili,kodi zilizopo zinatosha kuendesha nchi ila nyie mnacheka na wafanyabiashara...
Wanabodi,
Mimi ni mtu wa mastori mastori hivyo kama wewe sio mtu unaependa mastori mastori just jump this.
Self Proclaimed Psychoanalysis Teacher wa Jf
Naomba nisikutajie majibu yake, ila na mimi naomba kujiita humu Jf ni mwalimu wa somo liitwalo Psychoanalysis na nawaomba mnikubalie na...
Baada ya kuona nchi inapiga hatua kwa kasi chini ya Rais mpendwa wa awamu ya sita, madaui wa taifa kupitia vibaraka wao wameibuka kwa kasi sana
Mama hata halali kabisa akiwaza jinsi ya kuwaletea maendeleo hili lilithibitishwa na Gerson Msigwa lakini bado kuna wajinga wanalalamika tu
Tozo...
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasahau hilo na kama wanaona yana umuhimu sana basi wajinunulie wao lakini sio kwa pesa za Serikali.
Hichilema amehoji “Kwanini...
Nachelea kusema ukiona ndoa inaendeshwa na ushauri wa watu toka nje ya ndoa basi hiyo ndoa haina safari ndefu, itakufa kifo cha mende.
Kuna rafiki yangu alioa miaka miwili imepita kwa harusi kubwa ya kifahari lakini ndoa yake imevunjika, khaaa!!
Kwa ninachoweza kusema ile ndoa imevunjwa kwa...
By Erick Mange
Leo nakuja na maada hii nyeti kabisa katika maendeleo na kukua kwa lugha ya kiswahili katika nchi yetu na duniani kwa ujumla.
Mara kadhaa nmekuwa nkijiuliza kwanini tumeamua kutumia kiingereza kama lugha ya kufundishia wakati lugha ya taifa ni kiswahili?
Sipati majibu.. kuna...
Hakuna kitu kilimuuma sope takadini kama uongozi wa simba ulipotoa statement ya kumkana na kauli yake ya kupiga marufuku mashabiki wa yanga kuingia mechi za kimataifa za simba
ushajiuliza angetoa kauli hiyo akiwa yanga ingekuwaje? kwa uongozi huu wa Hersi na manara ni kama PWAGU NA PWAGUZI...
Jifunze kuzuia ulimi wako usinene mabaya – Mtume Petro anatueleza kwamba ‘Kwa maana, Atakaye kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila’ (1Petro 3:10).
Jizuie kunena unapokuwa na hasira – Katika Waefeso 4: 26 imeandikwa ‘Mwe na hasira, ila...
Donbass fighting is ‘hell’ – Zelensky
The president says Ukrainian forces can’t break Russia’s advantage in artillery and manpower.
Ukrainian President Vladimir Zelensky said on Tuesday that the fighting in Donbass was “hell,” claiming that Kiev’s military remained heavily outgunned and even...
Chunga sana maneno ya wana CCM. Akisema haji jua anakuvizia aje kwa kustukiza. Maneno na matendo yao hupingana siku zote.
Waliposema Elimu Bila malipo ni jambo lisilowezekana, waliposhinda uchaguzi wakasema wanatoa Elimu bila ya malipo.
Wakisema kuwa wanataka nchi iwe na amani, wao humaanisha...
Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja. Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike? Au ni madhara ya Mo kujimilikisha timu...
Upendo ni jambo adhimu sana ambalo sisi wanadamu ni lazima tulifanye, sio tuliongelee tu.
Mbwa ukimwambia I LOVE YOU hawezi kukuelewa. Ila ukimuonyesha upendo atakuelewa sana, na atakupenda pia.
Je, huyo unayemwambia unampenda, je unamuoneshaje huo upendo?
1 KOR 13
Karama ya Upendo...
Wako watu sasa hivi wanatamba, kana kwamba wamesahau yaloyowapata wenzi wao waliodhani ni wao duniani hata wengine walidiliki kutoa shuhuda kwamba ktk wanaokula raha ni wao tu duniani.
Hali ile ile wengi walio upande Wa mshika mpini, wanajisahau kana kwamba waliopita hawakuwa na akili...
Kuna harufu ya hujuma wwenye mifumo ya malipo ya serikali.
Mwanzo ilifanya kazi. Sasa ni kazi sana kuitumia. Mimi nina siku nyingi sasa za kujaribu kulipa kodi za ardhi na gharama za maegesho kwa njia ya mifumo ya kulipa kwa kielektroniko bila mafanikio.
Siku za nyuma nimelipa kodi na tozo...
Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi.
Naandika huu uzi nikiwa na hasira kali sana dhidi ya baadhi ya wachungaji, manabii, Motivational speakers na wengine wote wanaotoa mahubiri au semina mbalimbali. Hii ni kwa sababu ya wengi kuanza kudhalilisha watu kwa kisingizio cha ushauri. Mara...
Wakuu salaam, moja kwa moja kwenye mada,
Kuna watangazaji wa vipindi mubashara ambavyo kuna wataalamu wa afya, elimu, viongozi nk hualikwa kwa ajili ya kudadafua mambo fulani kwa kina.
Natambua watangazaji wanajukumu muhimu la kuongoza mijadala kwa kuuliza maswali au kupokea simu za watazamaji...
Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi?
Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.