Mnataka kuleta uwongo kuwa kulikuwa na maridhiano? Acheni janja ya kishamba. Maridhiano gani sasa? Kwani Spika alikuwa na taarifa za uongo? Au ndio Mbowe aliingia makubariano ya kuacha harakati?
👇
Lissu anadai kutema cheche?
👇
Kwa sasa hata kwa baadhi ya matambiko ya kiluguru kuna maneno ya kiluguru utayasikia yanasemwa, haya maana sana ila yanaonesha hali ilivyokuwa kipindi hiko.
Kagone vigonele fungo
Munu mkulu kagona kikunza
Kwekuka wayago tokuja
Hayo maneno utayasikia kwenye matambiko, siku za hivi karibuni...
Mada inajieleza.
Naseeb anaheshima Sana. Na kama unajua unapokuwa na heshima watu wanakuheshim naazia Kwa wema. Wema anavyoheshimiana na mond ni ishara ya kwanza, na anapozaa wanae na mwenza wake wanabaki kuheshimiana, juzi kati huyu binti ambaye amejaaliwa heshima na ni mpole (Jina ) alikuwa...
Waziri wa mambo ya nje wa Hungary aqmeamua kuwaumbua wenzake wa nchi za ulaya ambao viongozi wao wanajitokeza kwenye vyombo vya habari na kudai hawakubali kununua gesi ya urusi kwa ruble, wakati wanajua kuwa wameyaruhusu makampuni yao yanayoagiza gesi kununua kwa ruble kama urusi inavyotaka...
Kwema Wakuu!
Mzee mmoja akasema; Ingechukua miaka 100 Magufuli kukomboa watu wengi katika nchi hii; sasa Itachukua miaka 1000 kukomboa taifa hili.
Akaendelea kusema, ingawaje alikuwa akiumiza wachache Kwa maumivu makali Kwa ajili ya wengi; Sasa Wengi wataumia maumivu ya POLEPOLE Kwa ajili ya...
Kitundu si msemaji wa Baraza au Faragha ya Maaskofu
Taarifa aliyoitoa kwenye vyombo vya habari, ilikuwa ya uongo kwa sababu maamuzi yaliyofanywa na Askofu Shoo kumuondoa Mwaikali kwenye Uaskofu, hayakufuata katiba ya KKKT Dayosisi ya Konde na wala hayakupewa baraka kwenye mkutano wa Maaskofu...
Kuna siku moja nilikuwa kwenye kijiwe cha draft hapa Dar, mzee mmoja alisema msaki (mmiliki wa kibo complex) anatuona Sie wote hapa hatuna akili, nilidhani wanaongea hivyo sababu wanamwonea wivu Ila baadaye nilikuja gundua maneno yao yana ukweli kwa kiasi flani, wala si wivu.
Yani utakuta...
Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana
1 CCM sio mali ya serikali
2 CCM haiagizwi na serikali
3 CCM ndio inaiagiza serikali
Ni maneno machache yana maana kubwa
Twende kazi
Hapi Alli Nakusalimia sana
Britanicca
BOOKKEEPING TERMS.
Tumesema bookkeeping sio kwaajili ya wafanya biashara tu, hata mtu binafsi anaweza kuweka rekodi zake kutokana na shughuli zake za kila siku.
Sasa kuna maneno madogo dogo ya msingi ambayo yanatumika sana na wahasibu.
1. ACCOUNTING PERIOD
Hiki ni kipindi ambacho kampuni au...
Wanasiasa wawili maarufu, Godbless Lema ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, na Zitto Kabwe, kiongozi wa ACT Wazalendo wameingia katika vita ya maneno.
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter, Lema ameandika ujumbe ambao bila kumtaja mtu jina...
Kampuni ya Meta ambayo ni mmiliki wa Facebook na Instagram imelegeza sera yake dhidi ya machapisho ya chuki ili kuruhusu maneno ya chuki dhidi ya Urusi.
Katika tamko lao wamesema wataruhusu sentensi za chuki kama ‘Death to Russian Invaders’ lakini hawataruhusu maneno ya chuki dhidi...
Hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa maneno na maana zake. Ni katika kukuza lugha ya kiswahili nami nimekutana na maneno kadhaa hapa naomba tuendelee kushea ili kufahamu mengi zaidi kadri mtakavyopata.
Yangu ni haya:
1. Kisopwa
-Mwanamke anayependa kuomba omba hela hovyo.
2.Kifuvu
-Mwanamke...
Lugha yoyote hunakshiwa kwa maneno ya kudumu na yale ya muda mfupi. Lugha ya Kiswahili imekuwa na bahati ya kupata maneno mengi ya misimu na baada ya muda hutokomea kusiko julikana.
Kupitia uzi huu tukumbushane maneno mbalimbali ambayo yanapotea kwa kasi hivi sasa.
Kula jiwe- kukaa kimya...
"Sanaa ya Uandishi" ni neno nililolisikia siku chache zilizopita baada ya tukio la kupigwa mashabiki kiwanjani walipoenda kwa kusudi la kutazama mchezo wa soka.
Baadaye kilichofuatia ni tamko kutoka katika uongozi wa Simba. Lugha iliyotumika kukemea tukio la kupigwa mashabiki hao ndio...
Sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura.
Tunauliza where is our pride? Maneno haya ni kinyume kabisa na kujiamini alipotupa Magufuli na...
Habari wakuu.
Huko Twitter msanii Nick Minaj amezua mjadala mkubwa kupitia tweet yake , ambayo ametupiga wanaume madongo ya kutosha kuwa tunajidaganya kudhani wanawake wanapendeza kwa ajili yetu , they do for themselves...
Mimi binafsi nakataa mwanamke anapendeza huku aki expert attention ya...
Mwaka 2016 Y.K Museveni alitanganzwa mshindi kwenye uchaguzi wa Raisi huku mpinzani wake Col Dkt kizza Besigye akiwa gerezani katika kipindi chote cha kuhesabu kura na utangazaji matokeo
Baada Raisi Museveni kuapishwa kua raisi wa nchi hiyo na kuanza majukumu yake ndipo Col Dkt kizza besigye...
Mathayo 5:5. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.
Niccolo Machiavelli, a statesman of the 16th century; he was a philosopher who was contaminated just by trying the flavour of politics. He invented his model which outlined ruthless strategies of seizing power like this:-
Never show...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.