KWAKO MH LUSINDE NA MH KENANI;DK BASHIRU ALIWAHI KUSEMA MANENO HAYA AKIWA KATIBU MKUU WA CCM,JE HAMKUMUELEWA ENZI ZILE!?
Leo 17:50hrs 20/11/2022
1. "Nimekuta wizi wa kutisha kwenye chama chetu cha CCM na wengine nikiwataja hamtanielewa. Wanajifanya ni waheshimiwa kumbe ni wezi,mijizi,wameiba...
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik
Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
agenda
bingwa
dunia
fifa
heshima
kiarabu
kombe
kombe la dunia
kuhusu
kupitia
maneno
ofisi
pongezi
putin
qatar
uislam
ushoga
utamaduni
wakristo
wamarekani
wengi
Salaam Wakuu,
Natumai mnaendelea vyema.
Katika kuendelea kujifunza lugha na namna bora ya mawasiliano leo nimeona nilete mtazamo wangu na nisikie kutoka kwenu pia.
Matumizi ya lugha yoyote yanapaswa kujingatia muktadha na wahusika unaozungumza nao. Katika muktadha wa mazungumzo ya wanaume...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Oktoba, 2022
Mapendekezo 18 ya Ripoti yanasomwa na Prof. Rwekaza Mukandala
Kikosi kazi...
Nahitaji watu wanaoweza kusikiliza kiingereza kisha kuyaweka hayo maneno kwa maandishi. Kazi ipo kila wiki mara tatu, si zaidi ya dakika 20 kila mara. Ikizidi dakika 20 tutakuongezea mpunga.
Mshahara wa kila mwezi ni 100,000 tshs (base salary).
Kwa kila kazi inayozidi dakika 20 tunalipa 800...
Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote.
Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo?
Chanzo...
Huyu manzi tulikutana Nairobi, nilienda kwenye mbishe flani ya chap kwa haraka, mwenyeji wangu akanipeleka club moja inaitwa K1 Klub.
Hapo nilikutana na mamsi mmoja, ni msupuu siyo utani nikamkatia akakatika. Basi siku hiyo nikanunua tu pale vinywaji, alikuwa na beste zake tukapeana number...
Karibuni tena kwenye makala zangu za “Kwa Maslahi kwa Taifa”, zinazozungumzia mada mbalimbali kuhusu taifa letu ziwe ni za kisiasa, za kiuchumi au za Kijamii, baada ya leo ni kuhusu kumuenzi Mwalimu Nyerere, kwa vile Tarehe 14 October ni Nyerere Day, leo naomba tutafakari jinsi sisi Watanzania...
Kuna kipindi wakati niko Rombo nakumbuka nilienda kumuoji mzee mmoja anaitwa mzee Afande kuhusu maswala ya zamani. Yule mzee alinambia kuwa kat ka maisha yake amemwona babu yangu (nami namfahamu), baba yake babu yangu (alifariki 1983 simfahamu) na babu yake baba yake babu yangu (simfahamu). Na...
Tukio hilo limetokea baada ya taswira ya mtu aliyevaa kinyago usoni kuonekana akizungumza kisha ikatokea picha ya Kiongozi Mkuu Ali Khamenei akiwa amezungukwa na Wanawake wanne waliouawa hivi karibuni.
Wadukuaji wanajiita Adalat Ali au Watetezi wa Ali wakihusishwa na waandamanaji wanaopinga...
Habari za muda huu wanajf naomba kuwashauri baadhi ya watu ambao wamejikita kumuhukumu Hayati Dkt. Magufuli mkumbuke Marehemu anawatoto ambao kwa neema ya Mungu wanawepata nyadhifa kubwa nchi hii mtakimbilia wapi?
Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.
Nilikuwa sahihi.
Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere...
Manara alisema aliambiwa na Karia "Wana Yanga chupi zao zimejaa kinyesi". Haya maneno nani mwingine aliyasikia? Walikuwa wapi wao tu wawili? Ilikuaje?
Kama ilikuwa public kwa nini wengine hawakusikia? Itakuwa Haji ni katika kuendeleza utani wake kwa sisi wana Yanga kuna kipindi anajisahau...
Tarehe 30 september kila mwaka ni siku ya utafsiri duniani. Tunaotafsiri vitabu tunapata shida sana kwa kukosekana kwa maneno rasmi ya kuelezea maana fulani.
Lakini mtaani utakuta kuna maneno mazuri yanayoelezea jambo hilo vizuri sana. mfano.
1. Neno la kiingereza MEAN/MEANNESS. Halina tafsiri...
Tundu Lissu alisema bungeni kuwa kazi ya kamati ya makinikia ilioundwa na rais Magufuli ya prof. Osolo na prof. Mruma ni professorial rubbish. Alimaanisha kuwa haina maana yoyote na haitakuwa na matokeo chanya.
Alishauri turekebishe kwanza sheria zetu, tujitoe kwenye baadhi ya mikataba ya...
Wakati barabara ya Shekilango inajengwa mimi ni mmoja wa watu walioponda wajenzi kwa jinsi walivyokuwa wanajenga.
Yaani ilikuwa vurugu mechi, mara wamechimba hapa wameacha, wamejenga hapa wameacha, wametindua huku wameacha. Nikajisemea sijawahi kuona wajenzi wabovu kama hawa na hii njia itakuwa...
Kupata katiba mpya ni shughuli pevu dhidi ya walamba asali, vibaraka na chawa wao. Vipi kuwatemesha matonge midomoni?
Katiba mpya haitakuja kwa maneno Matupu mezani au mitandaoni.
Katiba mpya itakuja kwa mapambano yaliyoratibiwa vyema chini ya mikakati thabiti.
Kuganga yaliyopo na yajayo...
Hatimaye Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta amempongeza Rais Mteule William Ruto, baada ya mkutano wao Ikulu.
Wawili hao walikutana alasiri ya Jumatatu, Septemba 12, saa chache tu kabla ya hafla ya kuapishwa kwa William Ruto iliyotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kasarani.
“Kama alama kuu ya...
Kuna yale maneno ya mwisho hutokea unayasikia kwa bahati mbaya. Mwenzio anajua amekata simu kumbe bado iko hewani. Au anakosa subira na kuyaongea kidole kikielekea kukata simu.
Nilipigiwa simu na shangazi yangu. Tukaongea, then akaniambia hana hela ya sukari. Nikasema, nitakutumia shangazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.