Mungu alishaweka sheria tule vyakula vifuatavyo
Wanyama - wawe wenye kwato + miguu ya kupasuka kati + mwenye kucheua
walioruhusiwa: Ng;ombe, mbuzi, kondoo, swala, nyati, n.k
wasioruhusiwa: Nguruwe, Kobe, punda, mbwa, nyau, panya, n.k.
Samaki - wawe na magamba + mapazi
walioruhusiwa...
Wana janvi sina mengi ,najua mpo vizuri tu, na neema ya Bwana ipo juu yenu
Husika na mada tajwa hapo juu,
Yupo ndugu Lema ambaye kwa wakati flani alikua mbunge Arusha mjini na sio mda mrefu ametoka nje ya nchi Canada alipokua kama mkimbizi wa kisiasa
Uyu mwamba moja ya kauli alizotoa akiwa...
Ukweli huwa haubadiliki hata watu wengi wakiamini uongo ama kudanganywa bila kujua.
Suala la makanisa kutumia hayo maneno ni upotoshaji mkubwa
Mungu alimuumba mwanaume na mwanadamu, Hapo kinachozungumziwa ni jinsia alizoumba, hakukuwa na jinsia ya tatu, hapa sioni kama kuna valid point...
Mtangazaji mkongwe Gerald Hando amerudishwa EFM rasmi ambapo amekiri kukosea
========
Mtangazaji maarufu wa EFM, Gerald Hando leo amerejea kazini baada ya kukaa benchi miezi mitatu kasoro siku moja. Hando amesema kauli yake aliyoitoa ndio imemletea changamoto na ikaonekana amekiuka 'editorial...
Mie Sina mengi Ila tunaoweka comments humu mtandaoni tukibeza kuitwa kwa Sakho timu ya taifa, Mara anaenda kukaa Benchi, Mara hata Benchi hakai tuwe na akiba ya maneno yule mtoto anaweza kupewa dakika 10 akafunga goli Bora la mwaka Sasa sijui tutaficha wapi sura zetu.
Tubeze lakini tuwe na...
Nimekataa uwapo wa uchawi na wachawi kati yetu. Tulionao ni wababaishaji na watu tunaowatuhumu kwa kuwasengenyasengenya tu. Wachawi kiukweli hawapo na bado ninawatafuta. Ninataka wajitokeze na nimesema kama kuna anayewajua awataje, atuitie au atuoneshe
Nisikilizeni vijana na wasomaji wangu. Ni...
Mwenyekiti wa UWT Taifa amesema hayo alipokjwa anatoa salaam za UWT kumkaribisha rais wa JMT mama Samia kuzungumza na wanawake na Taifa leo katika uwanja wa Uhuru
CDE Mary Chitanda amesema kwa kunukuu ukurasa wa 52 wa kitabu cha Bibi Titi Mohammed ambaye aliandika kuhusu nafasi na ushiriki wa...
BARAZA la Kiswahili Taifa (BAKITA) limeonya matumizi ya maneno “Famchezo nini, Famasihara nini, na Fautani nini” yanayotumiwa na watu katika majukwaa mitandaoni likisisitiza kuwa maneno hayo sio fasaha wala sanifu.
Limeshauri watumiaji wa Kiswahili kutumia maneno “Unafanya mchezo nini, Unafanya...
Simu zetu Zinatunza kumbukumbu na mara nyingi hukuletea maneno unayoandika kwamba kama ndilo uendelee na kuchapa sentence.
Ubaya hutokea pale unapoandika haraka haraka na kutuma sms au ujumbe Kwa wapendwa na watu wetu muhimu.
Hii inawakuta wengi wanapochapa maneno na kuletewa neno kama chaguo...
Asalaam alhkumu.
This is the world we are passing through. Fanya yote tambua iko siku utalala kwenye tumbo la ardhi.
Jifanye mbabe, nguli gaidi n.k kaburi inakusubiri, hela ni mfumo na hela ndo kitu ambacho kinabadilisha watu mwisho kujipa ukuu kwasababu anachambambi chambi.
Endelea na...
Msaada wakuu, hii hali imeanza kuwa serious sana. Kwa sasa inanikuta kila mwezi tofauti na awali ilipokuwa inanitokea mara moja kwa mwaka
Inaanza uko maeneo fulani ukiwa na mtu fulani, wakati unamalizia mazungumzo, ndipo unakumbuka kuwa hayo maneno umewahi yatamka kabla. Hata eneo ulilopo ndilo...
Kwa wale wanaopenda kujinasibisha na watu wa Afrika ya Kasikazini na kuwaita Waafrika wenzao nadhani mmesikia alichosema Raisi wa Tunisia kuhusu Waafrika wabantu.
Waafrika popote walipo ni wahanga wa ubaguzi iwe Afrika, Ulaya, Asia au Amerika. Yote kwa sababu tumeacha asili zetu, dini zetu...
Salaam ndugu zangu,
Kiswahili ni miongoni mwa lugha zinazokua kwa kasi kwa sasa ulimwenguni. Lugha hii inazidi kusambaa Kijiografia pamoja na kuongeza idadi ya wazungumzaji kila kukicha.
Pamoja na mafanikio haya ya lugha ya Kiswahili bado watumiaji wake wengi wanafanya makosa mbalimbali katika...
Tokea nimkanye Binti yangu kwa Maneno ya Kisela ( Kimjini Mjini ) kama haya yafuatayo amebadilika, ananiogopa na ananitii ile mbaya.
"Oya si unajiona umeshakua sawa Viziwa vimejitokeza na Makalio yako Kuvimba kama Maandazi ya Azam? Sasa Wewe neng'eneka tu hovyo na Wanaume Wakulale mpaka hizo...
Nimekumbuka tu baadhi ya maneno ya mwisho kwa Wapendwa wetu, mengine nimeyapata mtandaoni!
1. Mama kwanini umeniacha?
2. Nitawaambiaje Watoto watakapouliza Mama yuko wapi?
3. Ulisema nije tuongee, mbona umeondoka?
4. Amka nikuage mara mwisho.
5. Baba, ungeniambia mapema kuwa unaondoka!
6. Si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.