Najaribu kuwaza kwa sauti nzito lakini yenye utulivu wa kutosha tutakayoyasikia au vizazi vyetu watakayotamani kuyasikia kutoka kwetu miaka 50-100 ijayo juu ya uongozi wa Rais Samia.
Kama vile ambavyo, kizazi kilichokuwa hakipo enzi ya uongozi wa Mwalimu kinavyotamani kumjua Mwalimu kutoka kwa...
Haya hapa ni majina ya Kiswahili ambayo herufi zake zote zinaumda maneno ya Kiswahili pia
NAOMI----MAONI
AMINA----AMANI
Tafadhalli ongeza maneno au majina mengine ya aina hii angalau mawili
Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56
“Nimefikia kilele cha mafanikio katika ulimwengu wa biashara. Katika macho ya wajinga, maisha yangu ni mafanikio. Hata hivyo, kando na kazi yangu, nilikuwa na furaha kidogo sana. Mwishowe, utajiri ni ukweli tu...
"Tunafurahi Kesho kucheza na Yanga SC ambayo baadhi ya Wachezaji wetu Wanaishabikia na Wengine Wanaishabikia Simba SC. Na kuhusu Matokeo anayejua ni Mwenyezi Mungu pekee kama tutashinda au tutafungwa" amesema Nahodha wa Asas FC kutoka nchini Djibouti inayocheza na Yanga SC Kesho ( Jumapili )...
Mwezi mmoja uliopita ROSTAM AZIZ Alitangazia Umma kwamba mahakama zetu hazifai kwamba eti zinaingiliwa kwa maelekezo!
Maneno hayo mazito kutoka kwa Rostam hayakuwa ya burebure! Bali ni maneno ambayo yalitoka kwenye kinywa cha mtu anaemaanisha wala siyo kuteleza!
Pamoja na Rostam kuombwa...
Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume.
Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia kuongeza nguvu za kiume lakini bado tu tatizo lipo.
Mabarabarani nako utakutana na wasichana...
Haya haya sasa, mimi kila nikiamka asubuhi, mume ananiambia morning babes!
I love you, na mabusu tele, mwaaaah!
Sasa sijui upande wako ukiamka kunakuwaje? Unaamka na stress za kausha damu (Marejesho/madeni)? Kuwa mkweli basi tuambie, ni stress au mabusu?
Msiopata mabusu asubuhi nawasalimu kwa...
Mfano una daftari la kurekodi stock inavyoingia kutoka stoo au ukinunua, na pia unarekodi stock ikitoka aidha kwa kuwauzia wateja ama kuibiwa.
ni sawa kuandika "zilipotokea na zinapokwenda"
ama kuna maneno yapi yanaweza kuwa mbdala mzuri
Baadhi ya watu wanaotumia hayo maneno huwa wameishiwa hoja, au wana nia zao za kibinafsi. Kiufupi watu hawa hupenyeza vioja vyao kwenye legacy ya mwalimu Nyerere ili wapate ili ionekane kwamba wanaenenda kama Nyerere hivyo jamii isiwahofie.
Mfano ili kufuta legacy ya mwendazake, "Mradi huu...
Wasalaam wana zengwe
Hili suala la IGA na DP World limeleta mijadala mingi na kauli nyingi kinzani, gombeshi na chongeshi.
Ata mimi nimeandika nyuzi hii ikiwa ya tatu, lakini yote ikiwa katika kuchakata uhalali na ukubalifu wa IGA na DP World.
Kitu kikubwa ambacho bado naamini kina tunza...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...
Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga
Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi...
MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI
---
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Majaliwa...
"Kukopa arusi kulipa matanga." "Uuzaji" wa bandari yetu si kwa sababu nyingine, si kwa sababu ya ufisadi au blah blah za kuongeza ufanisi. Ni sababu ya kuelemewa na madeni na hali ngumu ya uchumi iliyotukumba. Tunachekelea kuambiwa tunakopesheka na kuwa deni linahimilika. Yametufika. Ipo siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.