Sitaki kuongeza neno lolote zaidi ya kutambulisha.
Naomba, kwa heshima na taadhima, sikiliza haya maneno ambayo hayakukanushwa ndipo uamue.
Je, tumefikaje hapa?
Utawala ulio boraa ni mchakato ambao una lengo la kukuza ufanisi, uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji katika utendaji wa serikali. Katika kujenga utawala bora, ni muhimu kuwa na mabadiliko yanayochochea maendeleo katika nyanja zote, ikiwemo uwajibikaji. Hapa chini nimeandika andiko ambalo...
Kuna Wendawazimu nchi fulani Jumamosi walikuwa na Furaha ya Kazi bure iliyopelekea Kupokea Hirizi za Kuvaa Shingoni kutoka Uarabuni huku Wenzao wakibeba Ndoo yenye Madini na walivyorudi Makwao wanajisifia kuwa Wamekufa Kishujaa wakitaka Kujitofautisha na Wenzao ambao Wao walisema walikufa Kiume...
MANENO MATUPU YA KISIASA: JE, WANA UWEZO WA KUONGOZA?
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Katika siasa za Tanzania, maneno matupu ya kisiasa yamekuwa yakitumiwa sana na wanasiasa kama njia ya kuwavutia wapiga kura. Hata hivyo, swali muhimu ni iwapo maneno haya yanaweza kuonesha uwezo wa viongozi...
Habari zenu..
Mpira sio uchawi wala mpira sio mdomo na maneno ya kijinga.
Bali mpira ni dakika 90..
Daima usipende kuamini utabiri wao.
Mpira unadunda.
Walitabiri mengi sana.
Mara itakuwa aibu ya taifa.
Aisee mwarabu amelala na viatu.
Amepelekewa moto mpaka kaomba poo.
Daima mbele nyuma mwiko
Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM ametoa tahadhari wa Wananchi dhidi ya Matapeli wanaojifanya kutaka Katiba Mpya kumbe ni Kwa maslahi Yao binafsi ya Kisiasa..
My Take
Naunga mkono hii hoja maana suwaoni asasi za kijamii kupigania Wananchi badala yake ni Vyama vya siasa ndio wako mbele mbele...
Namsikia sikia aliyekuwa mgombea Urais 2020 kupitia CHADEMA Tundu Lissu akijisulubu nafsi yake kwa dhana ya kufikirika tu kwamba hakuna hata kiongozi hata mmoja aliyeshinda.
Anayesema haya atambue kwamba:
Siku ya kupiga kura 2020 niliona misululu mirefu sana ya watu wakisubiri zamu zao kupiga...
Habari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa. Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Salaam Ndugu zangu?
Kuna baadhi ya maneno yanasaidia kutukumbusha sehem au matukio fulani katika maisha yetu.
Je maneno haya umeshawahi kuyasikia
Ngawira
Ndarama
Fagilia
Shangingi
Chekibobu
Utajiju
Utaji JJ
Unakumbuka wapi au mwaka gani?
Maneno gani mengine unayakumbuka?
Ninadhani kuna watu wanabeba ajenda na matamanio ya wananchi na malalamiko ya wananchi kama ni harakati za wafuasi wa Magufuli.
Hali ambayo Mh.Rais na baadhi ha viongozi wenzie wanaziba masikio kwa makusudi kabisa kwa kudhani wanawakomoa hao wanao dhani ni wafuasi wa Magufuli.
Mh.Rais...
Abdalla Mohamed Tambaza akielezea simulizi kutoka kwa Familia iliyotoa ardhi kujenga Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam.
Simulizi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi
Simulizi kutoka kwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne
Abdalla Mohamed Tambaza...
Matumizi sahihi ya maneno haya kwa kweli huwa yananitatiza sana? Huwa napata shida sana kujua ni wakati gani wa kutumia kwa mfano neno "Kwenye " au wa kutumia neno "Katika" kwenye kuongea au kuandika
Hebu wajuvi wa Lugha hii tupeni wengine darasa tuelewe jinsi ya kuyatumia maneno haya kwa usahihi!
Inawezekana uko Mjini ndio, sema Simatifoni siku hizi hadi vijijini zimezagaa, embu mwambie aliyeko Kijijini akutumie picha ya Mmea wa Kiasili ambao Kikwenu, mnatumia kujitibu kitu fulani.
1. Majani ya Mpapai
Aiseee, ukitaka kuongezea Damu kwa wingi na Kwa Gharama ndogoooo, chukua Majani ya...
Soma vizuri hasa huko chini kuna ujumbe wako.
Mungu husimamia neno lake. Mungu ni mwaminifu, hadanganyi wala hadanganywi.
Ukiomba kwake usipopata basi usikae kimya ukaanza kusema Mungu hajibu, sijui Mungu hufanya polepole au hata kusema kuwa Mungu hayupo. Muulize Mungu kwanini nimeomba kitu...
Nilikuwa ninasoma kitabu hiki cha Mashairi ya Tupac. Nimekutana na shairi hili ambalo Tupac akimsifia mwanamke wake Jada. Hapa mwamba anasema Jada alimfanya 'avunje dafu' mara mbili, tena kwa Regal grace. Naomba kujua, hili neno maana yake nini?
Tunapenda kuchagua viongozi ambao wanaweza kuongea vizuri na kuahidi mambo mengi, lakini hatujali sana kuhusu uwezo wao wa kutekeleza ahadi hizo.
Uongozi ni vitendo na utekelezaji wa mipango. Viongozi wa kweli wanafanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha mipango yao inafanikiwa na wanajitahidi...
Kuna midigree inatisha ukisikia mpaka unajiuliza huyu mtu kweli namvyomjua ni kilaza hivi amewezaje kuviweka kichwani. Kumbe ukianza kuongea naye hamna kitu ila Cheti chake kinatisha.
Mfano banking na financial services, sijui highway engineering sijui educational policies and planing etc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.