Hello lads and ladies.
Legends!
Tupitie flashbacks zetu tukiwa campus notes zina majina yake, vikaratasi vya kuibia majibu kwenye Tests na UE na majina yake.
Wakali wa vizenga, dessa, simbi kwenye soksi , chooni, network collabo za chooni, signal kama zote. Wale ambao hawakuwahi kutumia desa...
Baada ya mechi ya raja casablanca vs vipers kumalizika nimeona makolo wengi wakijitamba kwamba vipers ni wabovu na ndio timu ambayo wanatakiwa kuchukua points 6.
Ukweli ni kwamba vipers sio wabovu kwa kiwango cha kusema makolo nae atajipigia kirahisi rahisi tu ukweli ni kwamba vipers walikutana...
Wahenga wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hapo juu ni video yenye maneno kuntu kutoka kwa huyu Dr wa mchongo.
Maneno haya ni ya hekima kubwa na yanapaswa yakae vifuani kwetu sisi wanaume, yaingizwe kwenye katiba mpya
Hatuwezi kubadili Biblia au Misahafu ila hili ndilo neno la uokovu...
Artificial Intelligence in Tanzania: Tumetengeneza Artificial Intelligence platform ambayo inaweza kukusaidia kuongeza ufanisi na productivity ktk kazi zako, leo nita share vitu vichache kidogo ambavyo inaweza kukusaidia
- kuelezea documents za kisheria lugha rahisi sana (legal documents...
Wengi wanadhani Chadema walianza rasmi mikutano yao hapana, baada ya uzinduzi huo kitakachofuata ni ratiba rasmi ya mikutano na ndiyo itakayotoa huenda yote wanayoyatarajia watanzania kulingana na itakavyofanyika.
Kuna watu wanaodhani kwenye uzinduzi utaongelea matatizo yote ya nchi, hapana...
Wakati tuhuma za kumtorosha mke wa manara kule Dubai na Kisha kumtembezea rungu pale konde village zikiwa bado hazijapoa , Harmonize a.k a konde boy mnyama amejikuta kwenye vita nzito na boss wa next level music Ray-vanny ,
Harmonize kupitia instastory amewashauri wasanii waachane na nyimbo...
Mzee wa Nasemajeeee...
Mizuka ya huyu mwamba ni next level..
Ndiyo Dj anayetrend zaidi kwa sasa kutokana na style yake ya kupiga miluzi mingi pindi anaposherehesha.
Hajaajiriwa na kituo chochote cha radio au tv, bali anapiga mixing kali kwenye kumbi mbalimbali za starehe na burudani hasa hasa...
Nipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara hapa mtaani huwa nina chumba changu ambacho japo sikitumii sana bado nakilipia kama kawaida.
Sasa leo tarehe 12.01.2023 majira ya saa 2 asubuhi kafika mama mmoja kukinga maji ya mvua kwenye nyumba nayoishi maana kwa mji wa Bunda mvua zimenyesha hii leo...
Wapwa, habari za muda huu?
Kuna neno 'Onyesha' naona linatumika vibaya na mara nyingi limekuwa likitumika mahali ambapo si mahali pake.
Kuna maneno mawili watu tumekuwa tukiyachanganya 'Onesha' na 'Onyesha'.
'Onesha' likisimama kwa maana ya kumfanya mtu atazame kitu au jambo fulani, wakati...
Bondia bora wa muda wote katika madaraja yote ya ngumi (Pound for pound),Floyd Mayweather aliwahi kusema "If it makes dollars it makes sense" kauli hii aliitoa baada ya watu kumshutumu kwamba amefulia kwa kitendo cha yeye kucheza exhibition fights na kuacha kupigana na real boxers wanaotrend kwa...
Wanabodi,
Leo 30/12/2022 tunapoanza safari ya kuuaga mwaka 2022 hapo kesho na keshokutwa kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 hivyo naomba nianze makala yangu hii ya "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa kusema "kwaheri 2022, na Karibu 2023, kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya 2023 in advance, kwa rai moja tuu...
1. Mlete mzungu
2. Trab na trat
3. No mara waaa
4. Mwamba huyu hapa
5. Wanathiiimba
6. Ndoige
7. Niite mbwa nmekaa pale
8. Kumwagilia moyo
9. Kupaka maini rangi
10. Unaupiga mwingi
11. Afutatu
Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka 2022, hii ni baadhi ya misemo na .aneno yaliobamba zaidi...
Kumekuwa na mtindo kwenye Jamii kugeuza maneno yenye mlengo wa ki matusi kuwa kama sentensi au misemo rasmi na halali kuitumia kwenye maongezi ya kawaida.
Na kwa isivyo bahati kwa utitiri huu wa vyombo vya habari imekuwa ni rahisi sana kueneza misemo au mneno yenye ukakasi au matusi hata kama...
Ni takribani Mwaka wa 2 sasa tangu Serikali ya Awamu ya 6 iingie Madarakani. Serikali iliyojipambanua kwa kufungua mipaka na kuichora upya ramani ya Tanzania kwenye ramani ya dunia. Katika safari hii yenye mafanikio makubwa na matumaini kwa Watanzania, Mh Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan , Makamu...
Aliyasema hayati JPM kwenye hotuba yake ya kwanza bungeni 2015.
Leo nimejikuta nayaamini haya maneno..
Mama sijui unakwama wapi? Watanzania sio wajinga wanaona kinachoendelea shtuka mapema.
Kwenye demokrasia hakuna kitu cha maana huwa kinafanyika. Mnaishia tu kuwa na viongozi waongeaji sana na waongo waongo.
Wanaotatua matatizo kwa maneno na si matendo. Watu wa zamani waliona kabisa ubaya wa huu mfumo. Leo nchi yetu imejaa wapiga maneno, matapeli na waongo-waongo.
Mtu anaweza...
Ndugu zangu pamoja na kusikitishwa Na maneno ya mh Dr Bashiru nilishindwa kuandika mawazo yangu mapema kutokana na kusumbuliwa na kioo Cha simu ambacho kinaweka ukungu na hivyo kuwa ngumu kuandika. Na nitakapokuwa nimekosea masuala ya herufi nisamehewe
Ndugu zangu maneno ya Dr Bashiru katibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.