manyara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Manyara: Mtendaji wa Kijiji ahukumiwa Miaka 41 jela kwa Ubadhirifu, Matumizi mabaya ya Madaraka na Wizi wa Mali ya Umma

    Aprili 25, 2023, Mahakama ya Wilaya ya MBULU imemtia hatiani Mshtakiwa Bw. SAMWEL QAMBINA DUKHO, katika Shauri la Uhujumu Uchumi Na.06/2022. Shauri hili lilikuwa mbele ya Mh. Victus KAPUGI na liliendeshwa na Mwendesha Mashtaka MARTINI MAKANI Katika shauri hilo mshtakiwa alikua anashtakiwa kwa...
  2. JanguKamaJangu

    TANAPA yasema mvua zimeharibu Daraja la Marera katika Lango Kuu la Hifadhi ya Taifa Ziwa Manyara

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limesema uharibifu huo umetokea katika Daraja la Marera lililopo Kilometa 2.3 kutoka lango kuu la Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, TANAPA imeeleza kuwa jitihada zinaendelea kurekebisha daraja hilo na miundombinu mingine.
  3. Sildenafil Citrate

    Watu 33 wanusurika Kifo kwa kula nyama iliyouzwa Tsh 2000 kwa kilo

    Watu 33 wa kijiji cha Kazingumu kata ya Namelock wilayani Kiteto mkoani Manyara wamenusurika kifo baada ya kula mzoga wa ng'ombe aliyekuwa anapatiwa matibabu ambapo nyama hiyo walinunua kwa shilingi 2000 kwa kilo badala ya bei ya kawaida ya 8000. Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mbaraka Al Haji...
  4. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Masanja atatua mgogoro wa mpaka kati ya kijiji cha Buger na hifadhi ya taifa ziwa Manyara

    NAIBU WAZIRI MASANJA ATATUA MGOGORO WA MPAKA KATI YA KIJIJI CHA BUGER NA HIFADHI YA TAIFA ZIWA MANYARA Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametatua mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Ziwa Manyara Mkoani Arusha na wananchi wa kijiji cha Buger katika Jimbo la Karatu...
  5. J

    Kilimo cha korosho mkoani Manyara

    Wadau, Naomba kuuliza kuna mtu ameniambia kuwa kama mtu anataka kufanya kilimo cha mikorosho Mkoa wa Manyara ni sahihi. Je, kuna ukweli juu ya hili jambo?
  6. BARD AI

    Manyara: Naibu Waziri Pauline Gekul atuhumiwa kuchochea migogoro ya ardhi

    RC Makongoro Nyerere ametoa tuhuma hizo dhidi ya Gekul na kumtaja pia Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji, Babati, Abdulrahaman Kololi kwa kuwatuma wananchi kuvamia shamba la mwekezaji Amemwagiza RPC George Katabazi kuwakamata waliovamia shamba wahojiwe hadi wawataje wanaowatuma, na kudai kuwa...
  7. Roving Journalist

    Rais Samia: Wanasiasa tuache kuchochea Migogoro ya Ardhi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Manyara katika Mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Kwaraa leo tarehe 23 Novemba, 2022 SEHEMU YA HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, SAMIA SULUHU HASSAN Kilimo, Mabadiliko ya...
  8. Carlos The Jackal

    Wakulima Manyara wamuunga mkono Rais Samia

    Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana. DKT BASHIRU, SONGA MBELE Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku. Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda. Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
  9. Babuu100

    Wenyeji Mbulu mkoani Manyara naomba mnijuze haya

    Wasalaam. Wakuu hivi karibuni natarajia kwenda Mbulu kikazi sasa ningependa kufahamu ni lodge gani nzuri zipo hapo town. Na vipi kuhusu nyumba za kupanga, zinapatikana? Alfred saigilomagema
  10. Lycaon pictus

    Kwanini Mbeya na Manyara wanaume ni wengi kuliko wanawake?

    Ni kwanini?
  11. J

    Manyara: RC Nyerere afungua kongamano la watu wasioona

    Na John Walter-Manyara Mkuu wa mkoa wa Manyara Charles Makongoro Nyerere amesema serikali itaendelea kushirikiana na watu wenye ulemavu katika kuwapatia huduma zote zinazohitajika kama watu wengine. Amezungumza hayo katika kongamano la watu wasioona linalofanyika katika ukumbi wa chuo kikuu...
  12. J

    Polisi Manyara yawadaka sungusungu sita kwa tuhuma za mauaji

    POLISI MANYARA YAWADAKA SUNGUSUNGU SITA KWA TUHUMA ZA MAUAJI. Na John Walter-Babati Mwili wa Mohamedi Musa Said (42) anaedaiwa kuuawa na kikosi cha ulinzi shirikishi (Sungusungu) wa usiku mjini Babati katika mkoa wa Manyara, umezikwa oktoba 17,2022 nyumbani kwao mtaa wa Kwere mjini hapa. Baba...
  13. I

    Ziwa Basotu, wilaya ya Hanang, mkoa wa Manyara lilishafanyiwa maboresho?

    Mnamo mwaka 2020 kuelekea mpaka 2021, ziwa Basotu, wilaya ya Hanang, mkoani Manyara lilikuwa linaleta madhara makubwa kwa wananchi kwa maji yake kujaa, kusambaa kwenye makazi ya watu na kusababisha mafuriko. Nakumbuka vyombo vya habari vilitoa takwimu mwaka 2021 kuwa watu zaidi ya 90 walikosa...
  14. Sildenafil Citrate

    Ahukumiwa kuchapwa viboko 6 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya mkoa Manyara imemhukumu John Emmanuel (18) mkazi wa kijiji cha Malangi wilayani Babati kuchapwa viboko sita (6) baada ya kukutwa na kosa la ubakaji. Hukumu hiyo ya kesi namba 73 ya mwaka 2021 imetolewa leo Septemba 26,2022 na Hakimu mkazi mkoa wa Manyara Mariam Rusewa.Hakimu Rusewa...
  15. S

    Ubaguzi aliouanzisha Hayati Magufuli umeuathiri sana Mkoa wa Manyara

    Mkoa wa Manyara uliundwa mwaka 2002 baada ya kuugawa uliokuwa mkoa wa Arusha. Bahati mbaya Baada ya Magufuli kupata urais wa Tanzania alitangaza wazi kuwa mikoa ya Kaskazini itabidi isubiri wakati mikoa mingine wakipelekewa maendeleo. Mwanzoni sikuamini, lakini sahivi ndio nimeamini ile kauli...
  16. Taifa Digital Forum

    Alichokifanya Rais Samia baada ya kuombwa na familia hii Manyara

    Urais ni utumishi wa Umma, shuhudia alichokifanya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa mama na mtoto wa familia hii kutoka Mkoa wa Manyara
  17. peno hasegawa

    Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Wakuu wote wa Idara ni Makaimu

    Waziri wa Tamisemi fika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Wakuu wote wa idara ni makaimu na Wizi wa fedha ni mkubwa sana. Ni nini kinasababisha wakuu wa idara kukaimu Nafasi hizo kwa miaka na miaka?
  18. JanguKamaJangu

    Manyara: Amuua mkewe kisa Tsh. elfu kumi

    Jeshi la Polisi Mkoani Manyara linamshikilia Petro Basco (38) mkazi wa Gabadaw Wilayani Babati Mkoani Manyara kwa kosa la kumpiga mkewe Maria Sakware (49) kwa fimbo na kumsababisha kifo huku chanzo kikielezwa kuwa mtuhumiwa kumtuhumu mkewe amechukua pesa yake kiasi cha shilingi elfu 10. Tukio...
  19. rich1

    #COVID19 CHANJO ya Corona Kiteto-Manyara

    Kwema ndugu zangu. Naomba kutoa yangu ya moyoni naona kama Serikali inatuchanganya kwenye masuala ya chanjo ya Corona maaana kwenye vyombo vya habari wanasema n hiari lakini huku Kiteto mkoani Manyara imekuwa tofauti wakina mama wanazuiwa kupima watoto clinic mpaka upate chanjo ya Corona na...
  20. Roving Journalist

    Manyara: TAKUKURU yapokea malalamiko 64 ya rushwa, kuna kesi 26 Mahakamani

    Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara imetoa ripoti yake kwa muda wa miezi mitatu, Januari hadi Machi 2022. TAKUKURU imetoa elimuya rushwa na athari zake katika jamii, kwa askari wa Jeshi la Polisi eneo la Tengefu la Mirerani. Pia imefanya semina 31, mikutano ya...
Back
Top Bottom