Karasha ya kokoto ya Wachina hapa Singida hatimaye wamefunga kazi zao Ijumaa iliyopita wakidai kushindwa kutokana na kodi kubwa pamoja na tozo mbali mbali.
Raia hao wa Kichina, waliajiri Watanzania 47 ambao wanarudi mtaani. Tukumbuke karasha ilikuwa inatoa ajira nyingine kwa waendesha malori...
Mama mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Regina Daniel (24) mkazi wa Louxmanda Kijiji cha Bashnet Wilaya ya Babati mkoa wa Manyara, anatuhumiwa kuwauwa watoto wake watatu kwa kuwalisha maembe yenye sumu inayodaiwa ni ya Panya .
Tukio hilo la kusikitisha limetokea Desemba 5 mwaka huu ambapo...
Mkurugenzi wa mashtaka nchini mh Biswalo leo amewafutia mashtaka mahabusu 51 mkoani Manyara baada ya kuwasikiliza na kugundua mashtaka yao yana mapungufu.
DPP Biswalo amesema anaendelea na zoezi hilo katika magereza mbalimbali nchini.
Mkuu wa gereza la Babati amemwambia mwandishi wa ITV kwamba...
Nimekita kambi maeneo ya mwambao wa ziwa manyara kama sehemu ya ziara ya kuijua tabia asilia ya Masai, wambulu, Wamang'ati na wengineo!
Huku napata kujua misingi na tabia ya asilia kutoka kwa mababu zao ni ipi!
WAMBULU
Mzee mmoja wa kimbulu ananidokeza kwamba, Kwao mwanamke ambaye Ujauzito...
Wamiliki wa viwanda vya kukamua na kusindika alizeti, mkoani Manyara, wanakabiliwa na uhaba wa malighafi kutokana na kupanda kwa bei ya zao hilo, kutoka shilingi elfu thelathini (30,000) hadi elfu sitini (60,000) kwa debe.
Source:
Kuna mazoea ya kupiga muziki mzito katikati ya makazi ya watu.
Hapa kuna club moja karibu na Top in One Lodge, stand ya zamani Babati wanapiga muziki hadi usiku wa manane bila kujali ni siku za kazi au lah!
Je, mamlaka zimewapa kibali kusumbua wananchi zaidi ya saa sita usiku?
Muziki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.