maombi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mahakama kutoa hatma ya maombi ya kina Halima Mdee Julai 6, 2022

    Mahakama Kuu ya Dar es Salaam, Masijala Kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi ya Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Halima Mdee na wenzake 18 mnamo Julai 6, 2022. Wabunge hao wameomba kibali cha Mahakama ili kuwasilisha mapitio ya kimahakama wakipinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho...
  2. Q

    CHADEMA waondoa pingamizi dhidi ya maombi ya kina Mdee ya zuio la muda

    Baada ya Chadema kuondoa pingamizi lao, kina Mdee nao wameamua kuondoa pingamizi ambalo walikuwa wameliweka dhidi ya kiapo kinzani cha Chadema. Sasa Mahakama itaanza kusikiliza maombi ya msingi ya ridhaa ya kufungua rasmi shauri la kupinga kina Mdee kuvuliwa uanachama. KIBATALA: Maombi ya...
  3. Askofu: Hakuna Utajiri wa Maombi

    Habari Kamili ya hii taarifa ipo katika Ukurasa wa Tatu ( 3 ) wa Gazeti la MWANANCHI la leo. Wewe haujawahi hata Kushika ( Kumiliki ) Tsh 50,000/= tu 24/7 Unafululiza kwenda Maombini kutaka Mungu akupe Utajiri.
  4. Maombi Kwa Vodacom Tanzania PLC

    Habari za Usiku mabibi na Mabwana... Niende kwenye Hoja.. VODACOM mmetupatia huduma ya M pesa Visa card aisee mmeturahisishia Usumbufu wa Mabenki ya ndani haswa, ulikua ukienda pale CRDB haki ya mama ukitaka kujiunga Online Banking unatazamwa mara mbili mbili, anachukua card yako anakwambia...
  5. Hatua na Taratibu za Kufungua Maombi ya kusimamia Mirathi Mahakamani

    HATUA NA TARATIBU ZA KUFUNGUA MAOMBI YA KUSIMAMIA MIRATHI Je, mtu akifa na ameacha mali, haijalishi kuna wosia au hakuna wosia, zipi ni hatua za kufata ukitaka kufungua shauri la mirathi au ukitaka kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi? Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate...
  6. A

    Naomba kujuzwa uandishi wa anuani kwenye maombi ya kazi kwa mfumo wa Ajira Portal

    Hello mambo zenu. Naomba kuuliza, ivi ukiwa kwenye mfumo wa kuomba ajira kwenye portal katika ku apply kazi, zile barua tunazotakiwa kuandika address ya muandikiwa tunaweka ipi? Mfano hapa unaomba ajira EMPLOYER Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI) Kwahyo address tunajaza ya muhimbili au...
  7. Mahakama Yatupa Maombi Ya Kupinga Uteuzi Wa Askofu Mwakihaba

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya kupinga kusimikwa Askofu mpya mteule, Geofrey Mwakihaba na kupinga kuondolewa madarakani kwa Askofu Dk Edward Mwaikali katika mkutano Mkuu wa Dayosisi uliofanyika Machi 22, 2022. Kesi hiyo iliyofunguliwa na askofu aliyeondolewa...
  8. Je, majina ya nafasi za kazi za TRA yameshatoka?

    Wapendwa samahani sana, Naomba kufahamu kuhusu zile nafasi za kazi kwa wake waliotuma maombi Aprili 2022, ni kweli majina yalishatoka? Usahili tayari umefanyika na wameingizwa kazini?
  9. Inawezekana kupata kazi Serikalini kwa kutuma maombi pasipo kazi kutangazwa?

    Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali. Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa. Najaribu kufikiria kutuma...
  10. Anna Makinda: Maombi ya Ukarani wa sensa ni Bure

    Kauli ya mama Anna Makinda kamisaa wa sensa amesema Maombi ya Ukarani wa sensa Ni Bure na tumeishatoa mwongozo na watu wanaomba kuwa makarani wa Sensa kwa maendeleo ya Taifa letu Tanzania
  11. SOLVED: Kwa wale wote waliotuma maombi NBS na hawajatumiwa e-mail ya password fanya hivi

    Sina muda, fanya hivi... Kwanza ingia Google tengeneza Email mpya(sipaswi kukukumbusha kukumbuka password) Rudi Google kwenye www.nbs.go.tz Anza kujaza fomu upya, Katika zile taarifa zako za mwanzo badilisha vitu vifuatavyo.. 1.Weka email mpya, 2. Badilisha Namba ya FM4 3. Badilisha Namba ya...
  12. Hivi kipindi Kama hiki Ngoswe halikuwa ameshapeleka Maombi ya sensa ?

    Wakuu eti kipindi Kama hiki Ngoswe alikuwa Ameshapeleka Maombi ya Sensa?
  13. Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    wanabodi salaam. Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata.. Naomba kwa anayejua anisaidie plz Sorry kama utaboreka lakini nisaidiwe jamani
  14. SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

    SENSA 2022 Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza. nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
  15. T

    Msaada maombi ya ualimu 2022

    Kuna baadhi ya kozi hazionekani kama Diploma in Physical education haipo je walioomba physical education wamefanyaje?
  16. Mama Salma Kikwete, kutaka wake wa viongozi wakuu wapewe pension ni kumkufuru Mungu!

    Kwa kweli nilishtushwa Sana niliposikia mama Salma Kikwete, akilitumia Bunge la Jamhuri ya Tanzania, badala ya kuongelea Shida za watu wa Jimbo lake la Mchinga, anaongelea mambo yake binafsi. Eti anataka yeye kama mke wa Rais mstaafu, naye alipwe pension! Hivi hawa viongozi wa CCM wanatuonaje...
  17. MSAADA: Ufafanuzi kwenye viambatanisho vya maombi ya ajira 2022

    Habari za wakati huu wadau, natumaini muwazima wa afya. Kwa wale tunaoendelea na kutuma maombi Mungu atusaidie sana. Kuna mkanganyiko kidogo nimeupata kutoka kwa hawa TAMISEMI. Katika page yao ya Instagram waliopost tangazo la ajira kuna mdau aliuliza swali kuhusiana na vyeti kama vinatakiwa...
  18. TAMISEMI, boresheni mfumo wa maombi ya ajira

    Habari wana jamvi Nasikitika kusema kwamba leo nimekesha usiku kucha for nothing, mfumo wa maombi ya ajira haufunguki na hata ukifnguka mzigo una load tu bila response yoyote. Jana nilijua labda pengine ni kwaajili ya watu wengi kuutumia mchana nikasema usiku nitakesha nimalize kila kitu...
  19. Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Ndugu zangu naomba tutumie ukrasa huu kujadi tunazo kutananazo kwenye mfumo wa maombi mpaka hivi leo tarehe 21/4/2022 nimefanikiwa kufungua akaunti mbili tu kwa mbinde sana nilicho kigundua ni lazima ufungue akaunti mpya hivyo...utaingiza email yako kisha itafuata utambuzi wa namba ya UTAIFA...
  20. Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

    Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania wenye sifa waombe nafasi za kazi kuanzia leo, baada ya serikali kutangaza nafasi za ajira 17,412, kwa kada ya elimu na afya. Kauli hiyo ameitoa hii leo Aprili 20, 2022, Bungeni Dodoma, wakati akihitimisha hoja ya bajeti ya Ofisi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…