Mungu alitupa vitu kisha akatupa akili ya kuvitumia vile vitu. Nchi hii tuna mito mikubwa sana tuna Mto Ruvuma Mto Kagera, mto Mara mto Maragarasi nk. Sanjari na hayo tuna Ziwa Eyasi, ziwa Rukwa ziwa Burigi, ziwa Nyasa ziwa Tanganyika na kubwa lao ziwa Victoria. Hizi ni baraka tayari ambazo...
Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja.
Mwenyewe...
Yaani tunaharibu wenyewe Mazingira kwa Uzuzu wetu huku wengine tukikataa Kupanda Miti mingi au hata Kuitunza tu ili ije itusaidie kwa Kivuli, Upepo na hata Mvua leo tunataka Kumhangaisha Mwenyezi Mungu mwenye Majukumu Mamilioni kidogo dhidi ya Watu na Mataifa mbalimbali atusamehe na atushushie...
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi.
Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Wakuu habari,
Naomba kufahamishwa kwa anaejua hivi inawezekana kujaza form za kuomba passport mara ya pili endapo umeprint za kwanza na ukagundua kuna makosa katika ujazaji? Maana najaribu kuwapigia uhamiaji ili kupata ufafanuzi/ muongozo simu hazipokelewi.
Nawasilisha.
WITO MAALUMU KWA WATANZANIA WOTE KUFANYA MAOMBI NA DUA KWA AJILI YA RAIS WETU MPENDWA SAMIA SULUHU HASSANI
√Ndugu zangu Watanzania
Nawaomba kuanzia leo tutenge muda wetu mahsusi ili kumuombea Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani
√Ndugu Watanzania
Mama yetu ni Mcha Mungu...
Habari zenu ndugu wana JF, leo usiku niliona maono au niliota ndoto mtu mwenye silaha ya kivita (SMG, AK47) akimnyooshea hayati Magufuli kana kwamba anataka kulipa kisasi na watu wanaoshuhudia wakiwa hawana la kufanya. Baadaye ilionekana kama hayati alifanikiwa kukimbia na yule mtu kumkimbiza...
HESLB YATOA SIKU NNE WAOMBAJI KUFANYA MAREKEBISHO
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa siku nne kuanzia Oktoba 4-7, mwaka huu kwa wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022 kufanya marekebisho ili kukamilisha taratibu za maombi yao.
Ili kupata taarifa za...
Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili.
Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki amewaomba Watanzania kila mmoja kwa nafasi yake kufanya maombi kwa ajili ya taifa la Tanzania na rais Samia Suluhu Hassan Mungu aweke walinzi juu ya ufahamu wake ili uamuzi atakaoufanya katika nchi uwe wa busara na wenye tija kwa...
Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililobeba mwili wa marehemu " funeral car"
Suluhisho ni nini?
Kufanya maombi mazito kama ni mkristo...
Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu
Kufanya tambiko Zito la...
Habarini ndugu zangu,mimi ni kijana umri wa miaka 23 mkazi wa Dar es salaam -Temeke,ni mwaminifu,mchapakazi nachukua nafasi hii kuomba kuwa msaidizi wako katika shughuli zako mbalimbali za kila siku ambazo kutokana na ubize ulionao inakuwia vigumu kuzifanya.
Nipo tayari muda wowote...
Habari zenu viongozi kwa jina naitwa Yasser Mikidadi natafuta kazi ya kuendesha Uber & Bolt pia nina leseni class c1,c2,c3 ni kijana muaminifu na ni mchapakazi.
Kwa mawasiliano zaidi: 0623033336
HAKAINDE HICHILEMA PRAYER AS HE PREPARES FOR INAUGURATION
Holy God, Author of Life and Liberty, Creator and Sustainer, may Your Name in all the earth and in the heavens above be glorified and exalted, now and forever more.
In Your infinite wisdom, you have set me to be a leader of Your people...
Wadau habari?
Vijana wetu wako JESHINI, vipi maombi ya vyuo kwao? Maana hakuna mawasiliano na hatujui utaratibu wao wa kuomba vyuo na mikopo ukoje anayejua.
Msaada please
Mwili wa Kristo uliopo Tanzania kesho katika umoja wetu tumwombee Askofu Gwajima. Tuombe Mungu ampe ujasiri na hekima ambayo hakuna atakayeweza kuhojiana nayo!! Roho Mtakatifu ahusike mwanzo mwisho!! Ikiwezekana baada ya mahojiano kitokee kitu kitakachowashikisha adabu toka kwa mzee wa siku...
Wananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha.
Mbowe anakomolewa kwa sababu ya UZALENDO wake...
Bwana Yesu apewe sifa!
Itakuwa ni safari ya kitume ambapo wagonjwa na wenye shida mbalimbali waliopo gerezani tutawaombea.
Kwa pamoja tutamwomba Mungu awape wepesi katika mitihani wanayoipitia kwa sasa.
Hili ni agizo la Yesu kwamba tukiyatenda haya kwa waliopo majaribuni basi twamtendea Yesu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.