Shalom!
Wapendwa tunapoelekea, kukamilisha kipindi Cha Kwaresma, nawasihi wanamaombi tuingie KATIKA Maombi Maombi Maalum ya kuitafuta ukweli Juu ya Mpendwa wetu Ben Saanane! Mpaka Sasa haijulikani yupo wapi, alikufa au yupo hai!
Watoto wake, mke wake wazazi wake wemepitia Magumu sana! Hivo Kwa...
MAOMBI, DUA NA SALA KWA MTU BINAFSI, AU FAMILIA
Anaandika, Robert Heriel.
Andiko hili lafaa kwa mtu yeyote, lafaa kwa rika zote, hadhi, elimu na hali. Andiko hili ni sehemu tuu ya kumbukumbu kwa wajuao mambo haya, aidha andiko hili ni elimu ya manufaa kwa wageni wa mambo haya. Haya basi...
Mara mwisho nikiwahi kuleta Uzi hapa kuishauri Uhamiaji iache kuwarudisha waombaji wa pasipoti bila kuwapokea Jambo lililopelekea vishoka nje ya ofisi zao kushirikiana na maafisa kushawishi ndipo maombi yapokelewe. Vijana wengi na watu wengi tulionao kwenye group la WhatsApp na tunaojadili nao...
Wanabodi habarini za hapa jukwaani.Kuna taarifa inasambaa sana kwenye magroup ya majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii.Taarifa inahusiana na maombi ya kazi ya sensa.
Ukiingia kwenye hiyo link ambayo wameweka na kujisajiri mwishoni kuna hela ambayo unalipia ili kukamilisha usajiri ambayo ni...
Wakuu, tukiachana na watu wako wa karibu kukuomba pesa kipi kingine ukiombwa huwa unakereka sana? Binafsi ni haya matatu.
1.Simu yako ina dakika uniazime?
2.Kuombana vifaa vya kazi.
3.Kuombana mavazi hasa viatu.
Je wewe kuna mengine yanakukera au yote ni sawa kwako?
Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani.
Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara.
Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
Taifa la Algeria mpaka sasa limeendelea kuwa "Neutral" na limekataa kuongeza uzalishaji wake wa gesi kwa ajili ya soko la Ulaya kufidia "gepu" lililoachwa na nchi ya Urusi, Vyombo vya habari vya nchi za kiarabu vimeripoti.
Miundombinu ya LNG
Msimamo huo wa Algeria umedhihirisha umuhimu wa...
Israel imekataa maombi ya kujikaririkariri ya rais wa Ukraine, Ze Comedian Zelensky, kuipatia nchi yake silaha ili kupambana na majeshi ya Russia. Rais huyo kaomba shehena ya silaha hizo alipompigia simu waziri mkuu wa Israel.
Israel imesema haitaki kuhusika kupeleka msaada wa silaha kwa...
Rais Volodymyr Zelenskyy amesema amesaini maombi rasmi ya kujiunga na Umoja wa Ulaya (EU). Pia, ameomba Umoja huo uiruhusu Ukraine ipate Uanachama mapema iwezekanavyo, chini ya Utaratibu Maalum wakati ikijilinda dhidi ya mashambulizi ya Urusi
Wakati huo huo, Jeshi la Ukraine limesema watu...
Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume...
Kutokana na mlundikano wa watu waliokwisha lipia gharama za kuunganishiwa umeme na kupelekea kusubiri kupatiwa huduma hiyo kwa muda mrefu, busara yangu inanituma kuishauri Wizara huska KUIELEKEZA TANESCO kuhudumia wahanga hao kwanza kwa muda utakaokadiwa vizuri kumaliza zoezi hilo.
Haipendezi...
Asubuhi ya jana nikiwa nasikiliza redio kipindi cha dini. Kwenye kipindi kulikuwa na mchungaji anaombea wenye shida na wengine wakawa wanatoa ushuhuda.
Jamaa mmoja akapiga simu kueleza shida yake kwamba kuna hela zimepotea kiutatanishi hapo kwake. Kabla hajamaliza mchungaji akadakia na kuanza...
Mungu tunajuwa Wewe ni Mungu mwaminifu sana. Naniukweli usio pingika ktk malango yako ya siri haikuwa Rahisi kwa Dr Tulia kupita nakuwa. Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tz.
Mlinde na ufunike ktk kipindi hiki waovu wameongezeka ktk uso wa dunia. Unajuwa yakuwa anamitego na majukumu...
Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi?
Hii imekuwa unyanyasaji mkubwa Kwani maelfu walituma maombi ila ewura wamepiga kimya au walishaajiri? Tunaomba majibu
Wanajf naomba mniombee safari yangu kwenda kisiwa cha Malta imekaribia baada ya kuhangaika hapa na pale kusaka visa nimefanikiwa ingawa ilikuwa na vikwazo vingi kutokana na Janga la corona.
Siku zinakaribia kuondoka kwenda kukutana na mrembo J lakini nikiwaza itakuwaje huko nchi za wengine...
GOOD NEWS FOR ALL MINISTY
MAOMBI MAALUM YA KUMWOMBA MUNGU MVUA MERARANI - SIMANJIRO
PRESS RELEASE 17 JANUARI 2022
BISHOP CHARLES GADI
Ndugu Watumishi wa Mungu, Maaskofu wachungaji, manabii mitume, walimu wainjiliti wazee wa kanisa na Waandishi wa Habari,
Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo...
Ni Nani asiyechoka na hii kitu inaitwa CCM kwa sasa?
Ninaamini hata walioko CCM dua yenu ni ili siku moja asiingie mtu asiyetokana na chama chenu, maana hofu yenu ni pale itakapo walazimu kurudisha Mali zoote mlizoiibia nchi yetu!
Kwa kuwa Tanzania ni nchi ya waungwana, na wananchi wake kilio...
Je,
1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu?
2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu?
3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
Tume ya Uchaguzi Nchini Libya imekataa maombi ya Urais ya Wagombea 25 akiwemo Mtoto wa aliyekuwa Kiongozi wa Taifa hilo, Muammar Gaddafi wakidai ni kutokana na sababu za kisheria
Tume hiyo imesema Saif al-Islam Gaddafi anakosa vigezo kwasababu alihukumiwa. Mahakama Jijini Tripoli ilimhukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.