Wapendwa habari!
Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate.
Nakuja kuangalia CV preview naona degree Mara mbili. Halafu hakuna option ya kudelete wanaojua nifanyeje wapendwa? Maana...
Binafsi ningeviomba vyombo husika viwaache wanachama wa CHADEMA waendelee kumuombea mpendwa wao ambaye ni mwenyekiti wa chama chao mh Freeman Mbowe aliyeko mahabusu ukonga.
Kwetu Wakristo kuombea wagonjwa na wafungwa ni sehemu ya ibada.
Nakumbuka hayati Magufuli tulikuwa tukimuombea.
Mungu ni...
Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20.
OCD asubuhi ya leo...
Uzi huu ni mrefu.
Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
afrika
afya
brazil
ccm
corona
covid
covid-19
covid19
hela
jafo
korona
kubwa
lockdown
magufuli
maisha
maombi
mungu
nyuzi
pandemic
pepo
propaganda
rais
serikali
tahadhari
taifa
taifa letu
tanzania
ulaya
ushauri
video
wanawake
watanzania
who
wizara ya afya
Mnakuwa neutral sana.
Wakati tunashambuliwa mara ya Kwanza, mlikaa kimya hadi Rais alipoingilia kati kazi zenu za maombi.
Sasa Serikali inatumia Muda mwingi kueleza kisayansi jinsi Corona inavyoweza kuua watu na jinsi ya kuukwepa, lakini sisikii viongozi wa kidini wanavyotuaminisha uwezo wa...
Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii
1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi
7. Leo Askofu anatangaza dua...
Wakuu, mie nina kijana aliyemaliza kidato cha sita na sasa yupo JKT kwa mujibu wa sheria.
Nimepata taarifa kuwa mwaka huu vijana hawaruhusiwi kurejea nyumbani kipindi cha kutuma maombi ya kujiunga na vyuo kwa mujibu wa TCU {Tanzania Commission for Universities} badala yake eti patakuwa na mtu...
Unambariki? Kwanini?
Ninambariki mno mno. Nitafarijika niko endelea kumuona anafanikiwa na kuishi na ndoa yake kwa upendo na amani. Mungu azidi kumkinga na hatari katika maisha yake alikuwepo wakati nina uhitaji na kila mtu aliniacha (nalithamini hilo kuliko kawaida) Mungu azidi kumtunza mtu...
Sina maana yoyote juu ya kupotosha imani ya mtu.
Umegundua mwisho wa kutafakari bila majibu ni Mungu anafuata?
Tumwachie Mungu
Mungu atatenda
Nk..
Ulistukaga anatajwa wakati unakwepa jukumu lako!?
Mfano:
Huna kazi. Wanatuambia tumwombe atupatie ajira.
Lakini ukweli ni mmoja tu.
“MUNGU...
Nawasalimia kwa jina la jamuhuri kazi iendele
Kwa kifupi naomba kufikisha ombi langu kwenu wakuu.
Mimi kama kijana natamani sana kujifunza ufundi hasa wa pikipiki na vingine pia kwan ufundi ni hazina kubwa sana kwa mtu kwan hatujue leo wala kesho yetu. Ombi langu kwenu kama nitapata...
Nipo kwa sebule naangalia TV, siamini ninachokiona mchumba wangu anaombewa na mwamposa apate mchumba, sielewi jamani au Mimi simfai, yaani nimechoka hadi akili, sijui nikamuulize kwanini kaenda kuombewa wakati mimi ameshanipata, sielewi
FROM FACEBOOK 😁
Ndugu wapendwa,
Naomba ombi hili kwa ajiliya wanandoa Kama una mwenza unamwona ana mapepo yanamtesa
Wapo wanateseka na majini mahaba.
Wapo wanandoa wanateseka na roho za wizi. Ndani kwa NDAN
Wapo wanateseka na rohiza uzinzuli kutokana. Na kutubuu imefika Mmoja kaamua twende hivyohvyo...
Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara.
Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama...
Bodi ya Mkopo imefungua leo usiku maombi ya Mikopo kwa wanafunzi.
Fungua link hii kufanya applications. https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/pre_applicant/
Kwa wakazi wa Tegeta, Boko , Bunju, Bagamoyo wafike internet cafe iliyopo boko chama kwa mawasiliano tuandikie email...
Kwa majina naitwa sabit nganga nimkazi wa kilombero. Fani yangu ni fund Welding. Pia nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye viwanda vikubwa vikiwemo KILOMBERO SUGAR COMPANY.
Kwaiyo nilikuwa naomba kama kutatokea nafasi yoyote ya kazi tuambizane.
Tell: 0627841578.
Hatimaye leo usiku sa 2359 dirisha la maombi linafungwa, jamani aminini ya kwamba riziki anapanga Mungu wa Mbinguni, mtakaopata nawapongeza sana pia mtakaokosa msikate tamaa (japo mimi sijui nitakua upande gani) ila nawaombea kwa Mungu wale wote mnaopitia magumu Mungu awasaidieni jamani...
Hivi karibuni Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza maombi ya mafunzo ya ualimu ambayo deadline ya kuomba ni kesho kutwa.Naona ukiingia utakuta kuna options ama njia mbalimbali za kulipia. Cha ajabu haijaelezwa muombaji anatakiwa kulipia shilingi ngapi!Mwenye ufahamu msaada tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.