maombi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Soon nakuwa mama wa kambo. Nahitaji maombi yenu na ushauri wa maisha haya mapya

    Nawasalimu wote. Kama mada inavyojieleza. Mume wangu amenitaarifu anamleta rasmi mtoto wake ambae alikuwa haishi na sisi kuja kuishi na sisi. Wakati nasubiri siku ifike lazma nijiandae.i. Sina bond nae wala mazoea nae zaidi ya kumuona hiyo mara chache na sio kwamba alikuja nyumbani. Awali...
  2. The Mongolian Savage

    Mwaka mpya wa 2007 tulimkabidhi Yesu kila kitu na maombi yetu kujibiwa ipasavyo

    Yeereeeeeh! Wadau mnaendeleaje! Huyu mwamba mchungaji ni wa kipekee. Kanisa lake simple tu la mabati huko Meru milimani enzi hizo. Kuukaribisha mwaka mpya 2007 mwamba alitupanga nakutuambia shida zote mtaziacha nyuma 2006 na mwaka wa 2007 nawaakikishia njia zenu zote Yesu atazifagia...
  3. Course Coordinator

    TAMISEMI ongezeni category ya Ustawi wa jamii ,wengi wanalia maombi yao yanakwama.

    Kwenu TAMISEMI. Waombaji wa ajira wanahangaika kuwa mfumo wa kujisajili na ajira hasa upande wa Ustawi wa jamii unawakataa kwa sababu option iliyo ni ya Health (Bachelor degre ,diploma,advanced dimploma na certificate). Kwenye NTA level mmeeka level 7 pekee wakati kuna vyuo vinatoa NTA level 8...
  4. M

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie. Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password. Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
  5. M

    Viongozi wa dini wamewaombea Wafanyakazi nyongeza ya mishahara siku ya Mei mosi, lakini maombi hayakufika juu

    Leo niliona viongozi wa vyama vya wafanyakazi katika maandalizi yao waliweka viongozi wengi wa dini kuzidi hafla zozote zilizowai fanyika hili hawa viongozi wafikishe maombi kwa Mungu ya maslai bora, mishahara juu kazi iendelee lakini imekuwa tofauti sijui vipi. sijajua kama tatizo liko wapi.
  6. Analogia Malenga

    Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

    Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi. Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
  7. Elisha Sarikiel

    Bila maombi maalum kwa Rais, hatuwezi kuishi kwa Amani na Utulivu nchini

    Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hili ni jambo zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu wetu. Kwa mfano imeandikwa hivyo katika 1TIMOTHEO 2:1-4 “Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya WAFALME NA WOTE WENYE MAMLAKA...
  8. my name is my name

    Hivi kweli kuna watu wanapona kwa maombi?

    Mimi naamini uwepo wa Mungu namuabudu pia mfuasi wa dini fulani. Lakin kwa haya mambo ya mtu kupona kwa maombi au dua tu huwa siamini. Inaezekana kweli zamani enzi za manabii watu walikuwa wanapona kweli kwa maombi/ dua lakin kwa dunia ya sasa sidhani kama kuna hki kitu. Yani mtu kupona...
  9. lee Vladimir cleef

    Naanzisha maombi binafsi kwa ajili ya Simba,Nawashauri Simba hivi

    Mimi Ni Mtanzania,Mimi Ni mpenzi au shabiki wa Simba tokea nimezaliwa ila Ni mshabiki muoga,huwa naumwa Sana Simba ikicheza mechi nzito. Kuanzia leo naanzisha maombi maalum kuiombea Simba ishinde mechi zake zote zikizobaki,maana yake ichukue kombe. Kwa sisi waombaji na kwenye ulimwengu wa roho...
  10. Elisha Sarikiel

    Askofu Dkt. Mtokambali: " Wito wa maombi maalum ya kitaifa ya siku 21 dhidi ya wimbi la pili la maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19)”.

    Wana jamvi amani kwenu ! Leo nachukua nafasi hii kumpongeza askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; kwa barua ya kumbukumbu TAG/MNM/GEN/45 ya tarehe 05 Machi 2021; kwenda Maaskofu wote wa Majimbo,Wakurugenzi wote wa Idara na Vitengo, Waangalizi wote wa Sehemu, Wachungaji wote...
Back
Top Bottom