Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam.
Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu
Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na...
Mimi nafuatilia sana Siasa za Jimbo la Arusha Mjini, Jana nimemsikiliza sana diwani mmoja akimuomba radhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha akijifanya analilia kama mtoto wa kike aliyenyimwa Kodi ya pango na bwana wake akidai kuwa Gambo amekuwa mtu wa mizozo na migogoro na madiwani wenzake.
Eti amemuomba...
Wanakaumbi.
🇺🇲🇷🇺 Marekani na Urusi zitaanza mazungumzo nchini Saudi Arabia ili kumaliza vita nchini Ukraine.
Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao kwa sababu hakuna kinachowategemea.
Wamefanya kazi yao kama "wajinga wa maana", na sasa wanaweza tu kutazama na kukaa kimya...
Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa.
Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces...
Habari wana bodi.
Kutokana na Anachoendelea kukifanya Trump huko USA, Nimepata tafakuri ya hapa kwetu Tz.
Tuko na baadhi ya taasisi zilizo shindwa kabisa wazi wazi kutekeleza matakwa ya kuanzishwa kwake hivyo ni sawa na hakuna.
Uzi huu ni wa kupendekeza hizo taasisi, Na kupendekeza zifutwe au...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa maoni kuwa Tovuti mpya ya mfumo wa TANCIS unasumbua tangu ulipozinduliwa Januari 20, 2025, maoni hayo yamepokelewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
TRA ilizinduwa mfumo huo na kueleza una maboresho na utakaosaidia kurahisisha uondoshaji wa Hivi...
Leo nawaletea kisa hiki cha mjomba angu aliyewahi kuwa kiongozi wa ukoo katika koo moja ya
Wanganyitaka waliopatikana NGANYITAKA.
Haikuwa rahisi yeye kuwa kiongozi katika katika koo hiyo ila mkanganyiko ulijtokeza baina ya wazee wa ukoo ndipo kama bahati tu akapata nafasi hiyo!
Ikapelekea wana...
Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata.
Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti...
Radack Chasambi alionekana kutoa maoni yake juu ya mchezaji kioo kwenye ligi, Yeye Kwa mtazamo wake aliamua kumtaja Maxi Nzengeli kuwa ni mchezaji anayemvumtia na ana mtazama kama kioo na kufata nyendo zake
Baada zilizo hoja kutoka Kwa wachambuzi na baadhi ya members humu Jamii forums...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Najikita moja kwa moja kwenye mada husika. Naiomba serikali iboreshe mfumo wa ukataji tiketi kwenye tren yetu ya mwendokasi SGR. Nalisema hili kwa sababu nimeshuhudia zaidi ya mara moja mfumo unaonesha tiketi zimeisha (nafasi zimejaa)...
Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
chadema
kijamii
lisu
maarufu
maoni
mbowe
mitandao
mitandao ya kijamii
mkutano
mkutano mkuu
mkuu
moja
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
taifa
uchaguzi
uchaguzi wa mwenyekiti
upande
ushindani
wajumbe
wengi
Sipingani na ule msemo maarufu wa ukweli unauma, lakini leo Kuna baadhi ya mambo yamenifanya kuamini kuwa kumbe hata uongo,kusingiziwa jambo ambalo hukulifanya huwa inauma zaidi.
Wafia Chadema mitandaoni karibu wote wako upande wa LISSU.
Watu wanaoikosoa Serikali bila kuwa na mlengo wa chama wako na Lissu.
Inaonekana picha ya Upinzani mitandaoni ni chama kisicho na ukaribu kabisa na watawala. Yaani ule wa kupinga na kuponda. Chochote nje ya hapo unahesabika ni CCM au...
Ni maoni yangu yanastahili kupingwa,kuungwa mkono au kukosolewa ama kuboresha zaidi.
Kwa mwanaume jambo ambalo unapaswa kulipa kipaumbele zaidi unapoanza maisha Yako ya kujitegemea boresha kwanza sehemu ya kulala.
Kwanini napendekeza sehemu ya kulala iwe nzuri.
Baada ya michakato,kazi ngumu...
Haya si maneno yangu:
Yaliwakuta NCCR ya Marando, yakawakuta CUF ya Lipumba na sasa siyo siri, bundi katua chama pendwa.
Kwamba ilihitaji kufunga kumwombea mwenyekiti hekima ya mfalme Suleiman aache kuvutaniana mtoto?
Looh!
Kwani yakitokea huko kwingine nani hakuyaona?
Kama ilivyo kwa...