WAISLAM WANASEMA UKRISTO NI DINI YA UONGO.
WAKRISTO NA WAO WANASEMA UISLAM NI DINI YA UONGO.
WAKRISTO NA WAISLAM WOTE WANASEMA DINI YA KIYAHUDI NI YA UONGO.
NA WAYAHUDI WANASEMA DINI ZOTE 2 HAPO JUU NI UONGO.
NA MIMI NIMEAMUA KUKUBALIANA NAO WOTE KUA NI WAONGO👈
Timu ya Taifa Leo imepokea kipigo.
Hii timu tatizo kubwa ni benchi la ufundi.
Hao wenye dhamana ya kuajiri benchi la ufundi inawezekana nao hawana huo utaalamu wa kuajiri.
Huwa wanaweweseka Sana wakati wa kuajiri makocha kwani huwa wanasikiliza Sana kelele kutoka Kwa watu ambao wengi Wao...
Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachowania serkali za mitaa na serkali kuu.
Tukio la kupotea kwa mtoto Joel Johannes Mariki linaibua maswali kuhusu uwezo wa serikali kushughulikia matukio ya dharura kama haya. Pamoja na jitihada zilizofanyika, ni wazi kuwa kulikuwa na changamoto katika utafutaji, hasa kutokana na ukosefu wa matumizi ya teknolojia za kisasa na rasilimali...
Inawezekana nimezeeka sana au nimepitwa na wakati.
Je ni yapi maoni yako juu ya uwepo wa mavazi au viatu visivyo na jinsia yaani akivaa mwanaume ni sawa na akivaa mwanamke ni sawa.
Habari wana bodi!
Tazama huu mchoro kisha uniambie umeona mapungufu gani na nini kipunguzwe au nini kiongezwe ili kuleta kitu kizuri zaidi.
Eneo: 40m x 20m = 800sqm
Ninatanguliza shukrani.
Ipi ni tekinolojia nzuri kwako kulingana na factor hizi
1. perfomance
2. Hosting cost
3. Maintenance
Moderator edit tile inatumia node Jana mongo db...
Kwenye maisha kila mtu ana haki ua kutoa maoni yake kwa vile anavofikiria.
Bahati mbaya wengi tumeshindwa kufikia ndoto zetu au kuamua mambo yetu kwa kuishia kusoma comments za watu humu ambao bila kutafakari tumeishia kufanya maamuzi ya juu kwa juu.
Ni wangapi wameacha kuanza biashara kwa...
Nje ya kurasa za CCM na IKULU hakika unapoanzishwa mjadala umhusuyo Samia watu wanaponda tena waziwazi na hawaogopi siku hizi!
Mfano ipo mada ya Samia kuitaka CRDB iharakishe ujenzi wa uwanja kule Kizimkazi wachangiaji wametema nyongo hatari!
Hasomi maoni ya watu?!
Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi.
Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
Mchakato wa kukusanyika maoni ya dira ya taifa ya maendeleo 2050 ukiendelea umekutana na maoni ya mmoja wa raia akilalamika maadili ya Mtanzania yakizidi kupotea hasa kwa watoto, raia huyu amelalama watoto kuacha kuimba nyimbo za Sunday school na kaswida badala yake wanaimba "vibuno", "honey"...
Wasalaam,
Wana JF wote.
Leo nina mada kidogo kuhusu suala la uchepukaji kwa wanaume hususani walioko katika ndoa kunakosababishwa na wanawake wenyewe.
Nikiwa miongoni mwa wanaume walioko katika ndoa nimeonelea ni vema nikatoa maoni yangu kuhusu suala la wanaume wengi kuchepuka kwenye ndoa...
Katika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Nianze na mfano huu, kuna mtu alikuwa ana umri wa miaka 40's, alikuwa na biashara bahati mbaya ikafa, kwa kupaniki akasema "hakika sasa nitaishi maisha ya shida na familia yangu, na ukiangalia umri umeenda"
Mtu huyu tayar alishaona hana maisha na akaona anguko lake, lakini kiuhalisia ukweli sio...
Lema asema Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu, hii imekuja baada ya kauli ya Nape kuhusu ushindi kwenye chaguzi ambapo alisema ushindi unategemea nani anahesabu na nani anatangaza matokeo, zaidi soma hapa - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.