Mtazamo wa mwananchi. Kama raia atakaye nchi yake iwe yenye maendeleo na ustawi kwa jamii, ni lazima kila idara iwe na uwajibikaji wa hali ya juu, uwajibikaji huo uwe na nidhamu ya nchi husika, hivyo ujenzi wetu hauwezi kuanzia juu, maana yake siyo serikali italeta maendeleo na ustawi kwa jamii...