Ndugai alikuwa Spika wa kwanza kujiuzulu kama sijakosea, na alijiuzulu baada ya kuongea kitu kuhusu nchi kuuzwa kwa sababu ya madeni, nilipata wasiwasi kwamba kama upo chama kimoja na Rais basi huruhusiwi kuwa na maoni tofauti,niliona kuminywa kwa Uhuru wa maoni.
Na, Robert Heriel
Moja ya dalili ya MTU Maskini na mjinga ni suala la kuongozwa na Maoni na mitazamo ya Watu wengine zaidi kuliko kuongozwa na Sheria na Kanuni.
MTU Maskini na mjinga Kabla hajafanya lolote hufikiria kuwa Watu watasemaje na kumuonaje, au watamchukuliaje.
Unajua umaskini na...
Mfano leo Wales 🏴 na England 🏴 wameimba nyimbo zao za Taifa japo wapo kwenye muungano wa 'United Kingdom🇬🇧'.
Mapendekezo yangu hapa nyumbani Tanzania 🇹🇿 tufanye hivo pia kwa Tanganyika na Zanzibar, hii itaonesha uhalisia na chimbuko la kila mmoja chini ya kivuli cha Muungano...
Tangu kutokea kwa ajali hii, kumekuwa na maoni mengi na watu mbalimbali kuhojiwa ili watoe maoni yao. Kinachonmishangaza ni kuwa, wakati chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni hali mbaya ya hewa(najua uchunguzi unaendelea) mpaka sasa sijaona waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa...
Ukraine wanaendelea kukomboa miji iliyopigiwa kura za maoni na Warusi.
Hivi yule kamanda wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye muuaji namba moja kule Syria, mbona sijaona chochote cha ajabu kwake.
=========
Ukrainian troops say they have taken back the key town of Snihurivka, 50km (30 miles) to the...
Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi...
Matokeo ya Sensa 2022 inaonyesha kuwa idadi ya watu wa Zanzibar ni 3.06% tu ya watu wote wa Tanzania. Idadi hii ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya watu kwenye baadhi ya mikoa ya bara.
Takwimu hizi zinaonyesha namna muundo wa serikali yetu unavyotakiwa kubadilika kuwa wa kimajimbo ili...
Kamati ya Mdundo wa Kitaifa iliyoundwa hivi karibuni na Waziri Tamaduni Sanaa na Michezo Mohamedi Mchengrwa imepokea maoni Kutoka kwa Wadau mbalimbali wa muziki ikiwemo watayarishaji wa muziki, watunzi, watangazaji wa vyombo vya habari pamoja wasanii wa ngoma za asili lengo ni kupata vionjo...
Kumekuwa na jitihada za kuona hali ya shule ya sheria (LST) inaanikwa kwa uhuru.
Hata hivyo jitihada mbalimbali zimekuwa zikiyeyuka "miraculously" bila sababu halisi kuwekwa hadharani.
"Hii nchi ni ngumu sana" - alisikika ndugu mmoja akiugulia maumivu moyoni.
Hili ni la kamati ya majaji...
Maoni kuhusu Mbunge/Wabunge kivuli/Vivuli (Shadow Member of the Parliament)
Inaletwa kwenu nami Kelvin Nyagawa (Mwanasheria)
Kwani Prof. Rwekaza ni Professor wa sheria?
Kwanini hakupewa chairman Prof. wa sheria?
Tukimuuliza Prof. Rwekaza ili tuwe na tume huru kisheria nini inahitajika...
Prof. Shivji ametoa maoni yake kuhusu kadhia ya Law School. Anasema Shivji:
“Pasipo mijadala au ubunifu huwezi kuendeleza fikra, na hii inakwenda moja kwa moja kuathiri usomaji na ufundishaji.”
Prof. Shivji anafahamika kwa misimamo yake. Anachozungumzia hapo ni umuhimu wa critical thinking...
Ameyasema hayo leo akitimiza miaka 72.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete akihojiwa na clouds Media Group ktk kutimiza kwake miaka 72, amegusia Katiba Mpya.
Amesema ameasisi Mchakato wa Katiba Mpya kwa kuunda tume ya maoni ya Warioba na baadaye Bunge la Katiba.
Rasimu ilipatikana na ikabaki kura ya...
Kuna siku baada ya ibada nilikushauri ubadili jina la kanisa maana jina lasasa lina shida na nikakwambia maneno yanaumba ila ukaniambia jina liko sawasawa na huna mpango wa kubadili. Tangu sikuile sikuja wala hatujaonana.
Iko hivi, wewe mwenyewe umewaambia waumini wako (pamoja na katibu) kuwa...
Wanajeshi zaidi ya 5,000 waogopa kuzingirwa, waamua kutoka nduki, ni mojawapo wa miji ambayo walikua wamejichukulia, shughuli inaishia Crimea maana ndiko ilianzia...
Sijui mgambo wanywa gongo watafanya nini tofauti na hawa wanajeshi wanaokimbia mapambano.
Russia has withdrawn troops from the...
Kiufupi Joti amesema nyimbo zilizotesa sana B.Fleva Tanzania ni Kwangaru, Hakunaga, Starehe, Sinderela etc, bila mpangilio maalumu.
Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba Tanzania namba moja kabisa ni Starehe wa Feruzi akiwa na Prof Jay. Zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala.
The...
HOTUBA YA RAIS VLADMIR PUTIN KUIDHINISHA KUTWALIWA KWA DONBASS.
Watu wa Donbass wamefanya chaguo lao, chaguo lisilo na utata, Tutawakumbuka daima mashujaa wa "Russian Spring".
Hakuna Umoja wa Kisovieti, zamani haziwezi kurudishwa, na Urusi ya kisasa haihitaji hii, hatujitahidi kuirejesha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.