maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Kuongezeka kwa kampuni za betting Tanzania, nini maoni yako?

    Miaka ya hivi karibuni kuanzia 2015 Hadi sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la kampuni za michezo ya kubeti kuja kuwekeza Tanzania. Je nikutokana na kuimarika kwa huduma za internet, au upatikanaji mzuri wa njia za malipo ya simu? Je kutokana na uwekezaji wanaokuja nao mathalani kila kampuni...
  2. Richard

    Ushauri- Raisi Samia usiogope tangaza kura ya maoni tupate katiba mpya, kisha uchaguzi wa 2025 ukishinda utaleta mapinduzi ya kiuchumi

    Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za hapa na pale. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo pia yahitaji maamuzi magumu pale unopoona pahitaji...
  3. Kikapuu

    SoC02 Elimu bora ni ipi?

    Utangulizi. Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine (Wikipedia). Elimu...
  4. Yericko Nyerere

    UTENGUZI/UTEUZI Maoni na ushauri

    Napokea maombi ya wafuasi wangu Inbox wakitaka maoni kuhusu utenguzi, na uteuzi wa IGP na DCI. Maoni yangu ni mafupi tu, Jeshi la Polisi lina siasa kali ambazo zinaliangamiza taifa, Ushauri nilishauweka katiks kitabu cha Ujasusi, Mh Rais vunja jeshi hili na unda Huduma ya Polisi. Kwa maoni...
  5. M

    Haya ni baadhi ya maoni ya Watanzania kuhusu ugawaji wa majiko ya Gesi Kanda ya Ziwa

    Haya ni baadhi ya maoni yaliyokusanywa na Mtandao wa Facebook wa Gazeti la Mwananchi leo Julai 19,2022 kuhusiana na mpango wa Waziri Januari Makamba kugawa majiko ya gesi mikoa ya Kanda ya Ziwa Mirisho Kitomari Umesema Kaya masikin je iyo gesi ikiisha atapata wp pesa yakujaza Tena gesi...
  6. Acehood

    Msaada au maoni yako ni muhimu hapa.

    Natumaini sote ni wazima wa afya. Naomba kujua ni jinsi gani naweza kupata kazi iwe ya kujitolea(volunteer) au kuajiriwa katika mashirika ya kimataifa ( UN, UNHCR, UNDP,FAO,USAID,UKAID nk.). Iwe ni skilled work au unskilled work, yoyote tu. Mimi ni university graduate wa 2021. Asante.
  7. JanguKamaJangu

    Maoni ya Democrats: Wanamtaka mtu mwingine agombee Urais wa Marekani 2024

    Most Democrats want someone other than Biden to run in 2024: Poll A new Siena College-New York Times poll highlights the US president’s dwindling popularity amid domestic and international crises. Only 26 percent of Democratic respondents want Joe Biden to be the party’s nominee in the next...
  8. Mpwayungu Village

    Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake. -------- Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza kwenye sekta ya miundombinu, viwanda na utalii katika maeneo ya Igogo, Isamilo na...
  9. Lady Whistledown

    Tunisia; Mwandishi wa habari kizuizini kwa kutoa maoni kumhusu Rais

    Polisi nchini humo wanadaiwa kumshikilia mwanahabari Salah Atiyah kwa kutoa maoni katika mahojiano ya televisheni kwamba Rais Kais Saied alilitaka jeshi kufunga makao makuu ya chama cha wafanyakazi cha UGTT na kuwafunga viongozi wa upinzani kifungo cha nyumbani Waendesha mashtaka wa jeshi...
  10. M

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Samia ni Jembe - Mbowe

    "Tukianza kutafuta asiye na dhambi ili tujadiri naye kuhusu kesho yetu hatutampata,hivyo tuna kila lazima ya kuacha chuki na visasi na kuwaamini viongozi wetu" "Siwezi kuwa chawa wa Mama (Rais Samia) na wala sio wa chawa wa mama, lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, utawala wa Mama japo...
  11. Z

    Kwanini Serikali isituwekee link au mfumo wa kimtandao ili wananchi watoe maoni yao kuhusu Katiba Mpya

    Kwa sasa technologia imesonga mbele sana.kwa nini tusiwe na link au mfumo wa mtandao ili wananchi watoe maoni yao kuhusu katiba mpya?
  12. Q

    Siri ya Pinda kuongezwa kwenye ‘Kikosi Kazi’ ni wajumbe kuelemewa na hoja ya Katiba Mpya

    Kazi kubwa ya Kikosi Kazi cha Rais ni kupata maoni kuhusu kudorora kwa Hali ya Demokrasia nchini lkn yenyewe imejikita zaidi kwenye upatikanaji wa Katiba Mpya. Baada ya Kikosi Kazi kupendekeza katiba isubiri hadi 2025 wajumbe waligawanyika kuna wanaotaka mchakato uanze sasa na kuna wanaosema...
  13. K

    Kikosi kazi cha Rais cha kukusanya maoni ya Katiba Mpya

    Chonde chonde tunaiomba kikosi kazi cha Mhe. Rais kinachokusanya maoni ya katiba mpya ipite kwenye Wilaya zote na ratiba iwekwe kwenye magazeti na matangazo kupitia vyombo vya habari. Mhe. Rais sisi wananchi tunataka Katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025. Uchaguzi wa 2025 katiba mpya ndiyo...
  14. Kichwamoto

    Hivi kupost threads za kushauri au maoni kwa viongozi ni Nongwa?

    Kuuliza si ujinga je maada yoyote yenye maudhui ya kushauri au kukosoa kwa maada wazi na yenye weledi ni kosa na imezuiwa? Mods mtusaidie na kama maada za vituko vituko, usanii uchekeshaji na uongo zinapewa kipaumbele zaidi
  15. Fibonacci

    Nimesoma Mining Engineering, natafuta kazi. Napokea pia maoni na ushauri! Karibu

    Habari zenu wakuu! Nina elimu ya diploma ya Mining Engineering, nina uzoefu wa miaka minne (nimeshafanya kazi kwenye mining lab, quarry na small scale mines). Mwenye connection za kazi migodini, tafadhali naomba tuwasiliane kupitia 0622614105, hata mwenye ushauri au mawazo napokea! NB...
  16. Lycaon pictus

    Nawezaje kuanzisha dini mpya? Naomba maoni

    Habari wakuu. Nafikiria kuanzisha dini. Sababu kubwa ni iwe kama kitega uchumi. Naombeni maoni yenu iwe ya namna gani iendane na nyakati za sasa. Najua matakwa mawili matatu. Kitabu pathetic fallacy kinasema kuwa dini ni zao la binadamu kuogopa kufa na kujiona bora(egoism of specie). Sasa hii...
  17. ACT Wazalendo

    ACT - Wazalendo kutoa Maoni mbele ya Kikosi Kazi cha Rais leo Mei 23, 2022

    Baada ya Kikao cha Kamati Kuu kilichoketi jana katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar, Timu ya ACT Wazalendo ipo tayari kuwasilisha Maoni ya Chama mbele ya Kikosi Kazi cha Mh. Rais Kuhusu Demokrasia. Mikononi ni chapisho la Maazimio ya Kamati Kuu Kuhusu Maoni ya Chama Kwa Kikosi Kazi. Timu...
  18. Championship

    Rasimu ya Jaji Warioba ipelekwe kwenye kura ya maoni tupate katiba mpya

    Kwako Mhe Raisi Naomba mswada upelekwe bungeni ili sheria itungwe kuwapa nafasi watanzania wapige kura ya maoni kwenye Ile rasimu ya katiba iliyoletwa na Jaji warioba. Hakuna sababu ya kupoteza tena muda. Hakuna kikundi kingine chenye nguvu au mamlaka ya kubadilisha maoni ya wananchi. Pia hii...
  19. Mwande na Mndewa

    Maoni ya Ishomile juu ya kupanda kwa mafuta

    MAONI YA ISHOMILE JUU YA KUPANDA KWA MAFUTA;- Mtangazaji:Habari Mh,tupe maoni yako juu ya kupanda kwa mafuta. ISHOMILE:let me abruptly regurgitate my point of view vis a vis fuel increase,I absquatulate using my perspicacity and ratiocination as a composimentis homo sapiens and as an erudite...
  20. Mparee2

    Anwani za makazi - maoni

    Utaratibu wa kuwa na anwani za makazi ni jambo jema sana; Napongeza sana Serikali yangu hata hivyo ninamapendekezo yafuatayo; 1. napendekeza kuwe na nyongeza ya kuelekezwa namna ya kuandika anwani baada ya kupata namba kwenye Nyumba; Mf: utakuta nyumba imeandikwa #46 sinahakika nikisema Naishi...
Back
Top Bottom