maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Shangazi Fatma Karume afika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yake kuhusu mambo ya katiba na mengineyo

    Mwanadada mpigania haki za binadamu na demokrasia nchini, amefika mbele ya kikozi kazi cha mheshimiwa rais kwa ajili ya kutoa maoni yake namna gani ya kupata tume huru ya uchaguzi, namna gani kufanya siasa safi nchini na katiba mpya.
  2. Suzy Elias

    Chawa wa Samia wanatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe

    Maisha yanaenda kasi sana! Kwa sasa hivi hapa Tanzania kama lipo kundi linatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe basi ni chawa wa Samia pro max. Kasi ya kukosolewa Samia kwenye mitandao ya kijamii haiwafurahishi kabisa hali inayowapelekea kutamani sheria ya Magufuli ya kuminya vyombo vya...
  3. MIMI BABA YENU

    Maoni ya mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta nchini

    Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta. Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa kupanda kwa bei za mafuta ni tatizo la dunia nzima na siyo Tanzania pekee.
  4. Nyankurungu2020

    Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

    "Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule 👇
  5. chiembe

    Hii imekaaje kitaalamu? CHADEMA wanatembeza hashtag ya katiba mpya, lakini wanamzuia Msigwa asitoe maoni kuhusu Royal Tour, wanaaminika?

    Watanzania tuwe makini ... Uhuru wa maoni ni moja kati ya ajenda ambayo Chadema wanasema wanaipigania kupitia katika katiba mpya, Leo mchungaji msigwa katoa maoni yake kuisifia royal tour na mama Samia, Chadema wanamshambulia, hivi hawa hiyo katiba mpya wanayoitaka wanajua maana yake? Hawa...
  6. ACT Wazalendo

    Edgar Mkosamali: Upotevu wa Mapato na Utoroshwaji wa Madini Bado Tatizo Sugu Nchini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MADINI ACT WAZALENDO NDG. EDGAR MKOSAMALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023 Utangulizi Ndugu Waandishi wa Habari, kama mnavyofahamu kwamba hivi sasa tupo katika Bunge la Bajeti, macho ya watanzania yanaangaza kwa kiasi gani...
  7. BigTall

    Kuanzia Mei 2022, Mahakama kuanza kupokea maoni ya wafungwa, mahabusu

    Kuanzia mwezi Mei, 2022, Mahakama itaanza utaratibu maalum wa kupokea maoni kwa wafungwa na mahabusu kwa kutumia mfumo wa dodoso kuhusu mwenendo wa utoaji haki. Akizungumza jana na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa huduma kwenye kituo cha kupokea maoni ya wateja wa mahakama, Mtendaji...
  8. L

    Maoni yangu kuhusu Vita ya Urusi Kama Magharibi Au NATO watalazimika kuhusika moja Kwa moja

    Nimepitia mijadala kadhaa ya vijana mbali mbali nimeona Tatizo ama lipo katika syllabus tunayotumia kuwafundishia masuala ya kidipomasia ya mataifa mbali mbali ,vijana wengi sana hawana ufahamu Kabisa , vita wanaijadili kama Mpira kwamba yeyote anaweza kupigwa, Vita inajadiliwa kama hadithi za...
  9. S

    Kwa maoni ya Dkt. Slaa, inawezekana Ben Saanane na wengine walitekwa na kupotezwa na Chadema

    Kuna vitu vingine ni bora kukaa kimya badala ya kuongea, kwa kuwa unapoongea watu wataweza kujua kina cha busara zako kama ni kirefu au kifupi sana. Katika maisha, ni bora kukaa kimya watu wadhani una busara, kuliko wewe kudhani una busara ukaongea hadharani na kufanya hata wale waliodhani una...
  10. beth

    Mkutano wa Wadau wa Demokrasia: Kikosi Kazi chawaita wenye maoni kuyawasilisha

    Walio na Maoni kuhusu masuala mbalimbali yaliyoainishwa baada ya Mkutano wa Wadau wa Demokrasia uliofunguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Desemba 2021 wametakiwa kuyawasilisha kwa Kikosi Kazi kilichoundwa Masuala makuu 9 yaliyoainishwa na Kikosi hicho ili kuwasilishwa Serikalini na kufanyiwa...
  11. EL ELYON

    Naomba maoni yenu kuhusu ajira kwa vijana nchini

    Nina wazo au proposal ambayo inahusu mradi mkakati mdogo utakaohusu kilimo na ufugaji kwa vijana waliohitimu vyuo nk. Kama mnavyojua tatizo kwenye jamii ni fursa pia tena kubwa nimeandika proposal ambayo itakuwa inakusanya vijana kuanzia 50-100 kufanya kwa pamoja mradi wa kilimo na ufugaji...
  12. bolivia

    Ushauri maoni juu ya malipo ya NSSF

    Hbr na poleni na swaum wana JF:- Niende kwenye point kuu ya mada hii nina mzee wangu anakaribia kustaafu serikalini kama mtumishi wa umma kwenye kada ya afya, tumezaliwa watoto 4 Mungu ni mwema wote tulibahatika kwenda na sasa tumebahatika kwa uwezo wa Mungu tupo kwenye ajira nini pointi yangu...
  13. kokudo

    Nimepigiwa simu na kutukanwa kisa kutoa maoni

    Habarini za wakati leo, nimekutana na mkasa ulioniacha mdomo wazi. Siku mbili nyuma niliagiza mzigo kutoka China na nikasafirisha na kampuni moja kimsingi ilikuwa ni mara ya kwanza kuwatumia. Mzigo ulivyofika nilipata usumbufu namna ya kumfikia transporter wa kuleta mkoa nilipo. Karibu siku...
  14. Mwande na Mndewa

    Maoni kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    MAONI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025 Watu wajiepushe na kumponda Magufuli maana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu sana 2025, Nguvu ya umma sio ya kubeza hata kidogo,Mwaka 2015 ilikuwa CCM vs UKAWA usijeshangaa...
  15. MoseKing

    Kutana na maoni ya kushangaza ya Katiba mpya kama yalivyokusanywa na Tume ya Warioba

    Una lipi la kusema?
  16. Bams

    Maoni ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu Katiba mpya yawe chachu kwa Taasisi nyingine

    Sote hivi karibuni tumeshuhudia msajili wa vyama vya siasa, Jaji Mutungi, kwa kupitia Kamati yake iliyoiunda, akiwakilisha maoni ya taasisi anayoiongoza, kuhusiana na katiba mpya. Nasema ni maoni ya taasisi yake, kwa sababu sote tunajua kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, siyo taasisi...
  17. Baraka Mina

    Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anapokea taarifa ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa leo tarehe...
  18. Kichwamoto

    Wale tunajiuliza nyakati za vikao nitoe maoni au nikae kimya na kujiuliza faida na hasara ya kila option tujuane

    Asalaam wana JF! Binafsi huwa napata wakati mgumu kwenye vikao maeneo mbali mbali hasa kwa tahadhari ya kupunguza negative people. Huwa natafakari faida na hasara za kuchangia ama kutochangia maoni kuhusu jambo husika. Natulia kimya nafuatilia kwa umakini nachukua notes ila natumia code za...
  19. figganigga

    Askofu Niwemugizi: Rais Samia sikiliza maoni ya watu hata yale yasiyokufurahisha

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kutojitukuza na badala yake kutoa nafasi ya kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama hayafurahishi masikioni. Ushauri huo wa Askofu Niwemugizi ni sehemu ya hotuba yake katika...
  20. Roving Journalist

    ACT-Wazalendo: Mkataba wa Mashirikiano ya kibiashara na Jumuiya ya Ulaya (EPA), unaruhusu upotevu mkubwa wa Mapato

    Utangulizi: Mkataba wa Mashirikiano/Muungano wa Kiuchumi (European Partnership Agreement-EPA) ni makubaliano ya kiuchumi yanayolenga kuunda eneo huru la biashara (Free Trade Area) kati ya nchi za umoja wa Ulaya (EU) na mataifa ya Afrika. Makubaliano haya yanajadiliwa na kuingiwa kupitia...
Back
Top Bottom